Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,500
Hakuna majungu hizo ni fikra zako subiri nikuwekee picha za mikutano.
Wajapani wamepewa ahadi nyingi tu.
Vuta subira mkuu Pasco.
Sidhani kama umejibu hoja ya Pasco, vuta subira...wajapani wameahidiwa ahadi nyingi na kadhalika ni maneno ya kujazilishia umbea wako na kujitoa kimasomaso...hoja ya Pasco imelenga katika mada yako ambayo ni ukwepaji wa kodi. Vifaa vya hospitali hulipiwa kodi?
Kama mnaagiza madawa ya kulevya na hamlipi ushuru, haya ya hospitali unataka kuyakata kodi baba? Hii mada yako badala ya kukupatia '7 books' inaweza ikakupatia lawama
Last edited by a moderator: