Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
haya slaa janga sugu la wazawa hilo sijui utajinasua vipi poele mzee slaa sasa upo wazi peupe kabisa.
Dr.slaa ameshasaidia sana watanzania kupitia taasisi yake CCBRT,hivyo ana uzoefu wa kutoa huduma kwa wananchi!JK ana nini?msamaha wa kodi umeruhusiwa na govt ya ccm,hivyo laumu wabunge wa ccm kupitisha wakati mkulo alipojaribu kuifuta
Wewe ulioleta thread ya umbea una matatizo.Huyu alioandika haya eti nae anataka kugombea ubunge, teh teh teh.
Wanaukumbi.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema, Dr. Slaa anapenda sana kujinasibisha kwamba yeye ni mzalendo wa kupindukia, anayechukia vitendo vya ufisadi na anayeionea huruma nchi yetu.
Taarifa za uhakika kabisa zinathibitisha kwamba mwishoni wa mwezi Juni, mwaka 2013 Dr.Slaa na Mchumba wake walitembelewa na kundi la Wapani wapatao 20 nyumbani kwao Mbweni, Kinondoni ambapo wote kwa pamoja walikula cha jioni.
Dhumuni la ugeni huo wa Wajapani, ilikuwa ni kuthibitisha kama kweli Chadema kina mpango wa kujenga hospitali kubwa ya kisasa katika eneo la Mlalakuwa Dar es Salaam, Wajapani hao ndiyo walipangwa au kuteuliwa kujenga hospitali hiyo, wameakikishiwa pamoja na mambo mengine ya kimaslahi yao makampuni yao mengine, kwamba msimamizi wa hospitali hiyo ndiyo atakayekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2015, kwa maana ya Dr. Slaa.
Mipango yote ya kujenga hospitali hiyo, inaratibiwa na Askofu mmoja anayemiliki Kanisa lake maeneo ya Kawe, Dar es Salaam, Askofu huyo amekuwa akifanya safari za Japani akiwa ameandamana na mchumba wa Dr. Slaa, Josephine, mpango unafanyanyika vifaa vyote vitakavyoingizwa kutoka Japani vipitie mikononi mwa Kanisa ili tu visitozwe kodi na serikali.
Ni Dr.Slaa huyu huyu, ambaye miaka michache iliyopita alitangaza orodha ya aibu ya mafisadi pale Mwembe yanga, leo hii anawakimbia Mamlaka ya Mapato nchini TRA.
Majibu kutoka kwa Dr. Slaa
A flag follows the direction of the wind...You are just being nasty because Dr. Slaa is threatening the success of your Chama cha Mafisadi in 2015.
For your information charitable Voluntary Agencies like Churches which offer to build schools or hospitals are exempt from taxes. The equipment they import for such projects is also exempt from customs duty and sales tax. I know this because I personally introduced the exemptions when I was Minister of Finance in 1978.
The best way to speed up social development for our people is to ensure such projects are built cost-effectively.
kama'kweli'anaipenda'hii'nchi'mbona'hospitali'tayari'zipo'kwanini'asijitoe'kuboresha'hata'moja'anakimbilia'kujenga'mpya'huo'ni'wizi'mtuupu
Jibu maswali ya Dr Slaa hapo juu acha kujipoteza.....kwa nini uweke picha ya mjapani 1 na mchumba wa Dr badala ya wajapani 20 ulodai walimtembelea...??/ njaa za fikra zitakuuwa kijana.....!!??Mara nyingi Dr.Slaa amekuwa anikuu maneno ya Mwalimu Nyerere, juu ya nani ni mzalendo na zaidi kwamba kiongozi wa Watanzania anapaswa kuwa awe mtu muadilifu.
mi huwa nashangaa sana kila siku hapa jf nawaona wale washabiki, wapenzi na wanachama wa chadema wamejaa chuki, jazba, matusi, maneno ya kukera, uongo na uzushi na kukosa uzalendo. Hivi hii ndiyo hali halisi ilivyo ndani ya chama chao au ni kukata tamaa?
Slaa na genge lake la chadema ni wajasiriamali wa kisiasa
siasa ni mchezo mchafu
Mimi na Dr.Slaa nani anatakiwa kujibu maswali.Jibu maswali ya Dr Slaa hapo juu acha kujipoteza.....kwa nini uweke picha ya mjapani 1 na mchumba wa Dr badala ya wajapani 20 ulodai walimtembelea...??/ njaa za fikra zitakuuwa kijana.....!!??
We ndumu tu.
A flag follows the direction of the wind...
Mimi na Dr.Slaa nani anatakiwa kujibu maswali.
Hakuna alichojibu Dr.Slaa zaidi ya mipasho.
Vifaa vya hospitali havilipiwi kodi hapa Tanzania.
Mimi na Dr.Slaa nani anatakiwa kujibu maswali.
Hakuna alichojibu Dr.Slaa zaidi ya mipasho.