Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Status
Not open for further replies.
Kamanda hebu acha kupotosha CCBRT siyo taasisi ya Dr.Slaa.

Kwenye vikao vyenu vyama Chadema ndivyo anavyowadanganya.

Muulize tena vizuri.
Hakika katika JF hakuna kama wewe, Mambo ya hovyo hovyo.
 
Wanaukumbi.

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema, Dr. Slaa anapenda sana kujinasibisha kwamba yeye ni mzalendo wa kupindukia, anayechukia vitendo vya ufisadi na anayeionea huruma nchi yetu.

Taarifa za uhakika kabisa zinathibitisha kwamba mwishoni wa mwezi Juni, mwaka 2013 Dr.Slaa na Mchumba wake walitembelewa na kundi la Wapani wapatao 20 nyumbani kwao Mbweni, Kinondoni ambapo wote kwa pamoja walikula cha jioni.

Dhumuni la ugeni huo wa Wajapani, ilikuwa ni kuthibitisha kama kweli Chadema kina mpango wa kujenga hospitali kubwa ya kisasa katika eneo la Mlalakuwa Dar es Salaam, Wajapani hao ndiyo walipangwa au kuteuliwa kujenga hospitali hiyo, wameakikishiwa pamoja na mambo mengine ya kimaslahi yao makampuni yao mengine, kwamba msimamizi wa hospitali hiyo ndiyo atakayekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2015, kwa maana ya Dr. Slaa.

Mipango yote ya kujenga hospitali hiyo, inaratibiwa na Askofu mmoja anayemiliki Kanisa lake maeneo ya Kawe, Dar es Salaam, Askofu huyo amekuwa akifanya safari za Japani akiwa ameandamana na mchumba wa Dr. Slaa, Josephine, mpango unafanyanyika vifaa vyote vitakavyoingizwa kutoka Japani vipitie mikononi mwa Kanisa ili tu visitozwe kodi na serikali.

Ni Dr.Slaa huyu huyu, ambaye miaka michache iliyopita alitangaza orodha ya aibu ya mafisadi pale Mwembe yanga, leo hii anawakimbia Mamlaka ya Mapato nchini TRA.

Aksante kwa picha, nilitegemea nione wanakwepa kodi mbona sioni? au macho yangu ya tatizo niwahi CCBRT?
 
Ritz nimesikia Lumumba wameongeza posho,badala ya buku saba wanatoa buku 10.
 
Last edited by a moderator:
Dr. Slaa anawamaliza CCM.

kamanda Slaa endelea hivyohivyo mpaka waende kusema kwa mama kama dogo Asley.
 
Aksante kwa picha, nilitegemea nione wanakwepa kodi mbona sioni? au macho yangu ya tatizo niwahi CCBRT?
Hauwezi kuona chochote kuhusu Chadema Dr.Slaa kakupa upofu.
 
Wakuu! Mleta uzi huu kwanza hajasema chanzo cha habari yake, pili nijuavyo mimi miongoni mwa vitu visivyolipiwa kodi ni pamoja na hospitali na shule; hivyo hata kama kungekuwa na suala hilo la ujenzi wa hospitali tusingeweza kujadili suala la ukwepaji kodi kwa kuwa hospotali hazilipiwi kodi, tatu anaesema kuna ukwepaji kodi ni nani? na mwisho uzi huu umelenga uchochezi wa kidini na kuwachafua watu wa dini fulani kwa sababu maalum. Ritz alete ushahidi wa mambo anayosema hapa asipoleta; tutatafsiri kuwa huu ni mwendelezo wa jitihada zake za kuleta uchochezi wa kidini na bila shaka mods watamuhudumia ipasavyo.
 
Last edited by a moderator:
Kamanda hebu acha kupotosha CCBRT siyo taasisi ya Dr.Slaa.

Kwenye vikao vyenu vyama Chadema ndivyo anavyowadanganya.

Muulize tena vizuri.

ya nani?nani waasisi?Nimeekuuliza JK ana ninialichoanzisha zaidi ya ile studio ya muziki aliyemkabidhi Kusaga House of Talents ambalo limekua chaka la ................kuua vipaji vya vijana!!!

[h=1]history of CCBRT[/h]1994: With the support of CBM, Dr. Willbrod Slaa, MP (still on the CCBRT Board) and Geert Vanneste founded CCBRT. Their mission was to contribute towards poverty alleviation by making rehabilitative services accessible and affordable to people with disabilities. In 1994, CCBRT was registered as a private Non-Governmental Tanzanian Society (NGO), under the Tanzanian Societies Act, No SO8261.
 
chama umeona jinsi nchi inavyoliwa;
na ukifuatilia hata hao wageni watakuwa aliingia kwa
mwavuli wa dini.

Hapa hajaingia ikulu siku akiingia hiyo misamaha ya kodi
itasambazwa kama njungu.


Huyu babu ni laghai lakini utaona wale wajinga wachache wanaoishi mjini kwa ufadhili wa vijiposho watakavyokuja humu kumtetea mbadhirifu huyu; bahati nzuri tu ikulu ataisoma Tanzania Daima
 
Kamanda JF siyo mali ya Chadema, wewe unataka kusikia mazuri ya Chadema tu.

Mkuu Ritz
jamaa amepewa kijiposho cha chai ataandika kila ujinga ili kumtetea nabii wao!
 
Last edited by a moderator:
mh ila hii biashara ya ku export cocaine ni ubunifu mzuri sana...well done kina Ritz
 
Last edited by a moderator:
huu nao ni udaku tu watu wasio makini.hivi kweli dr slaa hapaswi kuwa family friends?kama akila kuku nyumbani kwake ni kosa?mbona wezi wa serikali hii ya mafisadi mnafurahia yote?


Kamanda hebu acha kupotosha CCBRT siyo taasisi ya Dr.Slaa.

Kwenye vikao vyenu vyama Chadema ndivyo anavyowadanganya.

Muulize tena vizuri.
 
Upuuzi kama huu unahitaju kufunguluwa kurasa za wapuuzi.

Mpaka umeamua kufungua kinywa chako kinachonuka mithili ya choo cha sokoni basi ni wazi haya yanayosemwa siyo ya kipuuzi tena!
 
Wakuu! Mleta uzi huu kwanza hajasema chanzo cha habari yake, pili nijuavyo mimi miongoni mwa vitu visivyolipiwa kodi ni pamoja na hospitali na shule; hivyo hata kama kungekuwa na suala hilo la ujenzi wa hospitali tusingeweza kujadili suala la ukwepaji kodi kwa kuwa hospotali hazilipiwi kodi, tatu anaesema kuna ukwepaji kodi ni nani? na mwisho uzi huu umelenga uchochezi wa kidini na kuwachafua watu wa dini fulani kwa sababu maalum. Ritz alete ushahidi wa mambo anayosema hapa asipoleta; tutatafsiri kuwa huu ni mwendelezo wa jitihada zake za kuleta uchochezi wa kidini na bila shaka mods watamuhudumia ipasavyo.
Kamanda udini upo wapi, naona hautaki kabisa kusikia mabaya ya Dr. Slaa, umemua kuomba msaada kwa Mods.
 
Last edited by a moderator:
Buku 7 project from Lumumba ..huna jipya hata kaelimu kako ka sheria hakakusaidii hata sijawahi kuona impact ya elimu yako..kafie zako huko huna jipya wewe....kwa hiyo kutokana na maelezo ya uzi wako ulitaka nini kifanyike sasa?
 
Haya ndio madhara ya lumumba project kuongeza posho. Vi threads vya kijinga vinakuwa vingi sana hapa JF.

Kama kuna kanisa linashirikiana na Josephine pamoja na Wajapani kujenga hospitali hilo ni jambo la kumpongeza Josephine pamoja na hao washirika wake kwakuwa hospitali hiyo itawahudumia watanzania wote hata mburura Ritz nawe utatibiwa, sasa hiki kisabengo kinatoka wapi?

Hii habari si mara ya kwanza inaletwa hapa JF lakini mara zote haionyeshi involvement ya Dr. Slaa isipokuwa misukule ya ccm inaungaunga tu habari ili kutimiza masharyi ya buku saba FC!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom