Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Status
Not open for further replies.
Lizaboni Nilitegemea Dr Slaa angejibu hoja hizi ulizoainisha lakini kaingiza usanii matokeo yake amejiaibisha. Kweli tukakuwa na nchi kweli kama uwezo wake wa kujibu hoja ni wa kiwango cha chini kiasi hiki?
 
Last edited by a moderator:
Mpo kikazi zaidi kwa malipo ya buku 7 mnajulikana ili uzi ule nyomi ndo mmekuja na huu uongo.

Unaujua uongo wewe?![/QUOTE]
wewe unaropoka sasa slaa anauzuri gani kafanya nini kwa taifa hili,
hana huruma na jamii kama aliweza kuiba pesa za msaada wa watoto yatima kanisani atashindwa kuwa na mipango haramu ya kukwepa kodi.
 
Nakumbuka maneno ya Dalailama: ''In the practice of tolerance, one’s enemy is the best teacher.”

MACHADEMA fanyieni kazi hizo tetesi badala ya kuponda tu, huenda mkapata cha kushika.

Halafu mbona uandishi wa DR kama si wa katibu?! Anaandika mwenyewe kweli? Just thinking aloud!

Ndio mwenyewe huyo anaandika kanakwamba anakimbizwa.
 
Nakumbuka maneno ya Dalailama: ''In the practice of tolerance, one's enemy is the best teacher."

MACHADEMA fanyieni kazi hizo tetesi badala ya kuponda tu, huenda mkapata cha kushika.

Halafu mbona uandishi wa DR kama si wa katibu?! Anaandika mwenyewe kweli? Just thinking aloud!

Mkuu, usishangae, huo ndo uwezo wa Katibu Mkuu wa CHADEMA. Sijui akiwa mkuu wa nchi hali itakuwaje. bora angetumia ID ya kificho kuliko anavyojiumbua kwa kutumia ID ya verified User. Sasa ndo tunaona mapungufu yake na hakika huyu dr slaa hafai hata kuongoza kitongoji. Nadhani hii ni laana kwa MUNGU kutokana na kuacha kulitumikia kanisa na badala yake anahangaika na mwili wake
 
You are just being nasty because Dr. Slaa is threatening the success of your Chama cha Mafisadi in 2015.

For your information charitable Voluntary Agencies like Churches which offer to build schools or hospitals are exempt from taxes. The equipment they import for such projects is also exempt from customs duty and sales tax. I know this because I personally introduced the exemptions when I was Minister of Finance in 1978.

The best way to speed up social development for our people is to ensure such projects are built cost-effectively.

Mimi nimemuuliza dr slaa wewe kimekuuma nini,
pilipili ya shamba yakuwashia nini naona unaitafuta tu.

Mpo kikazi zaidi kwa malipo ya buku 7 mnajulikana ili uzi ule nyomi ndo mmekuja na huu uongo.[/QUOTE]
mawazo yako yanaonesha ni kwa jinsi gani umefeli kimaisha, unawaza sana buku saba kuliko hoja, si ajabu kwa viongozi wako kuwa na mawazo mufilisi kama wewe, watu wameishiwa hoja wanaona kilichobaki ni kutoka nje, au kutukana au kupigana, mwanaume hatukani au kukimbia matatizo, hupambana kwa hoja, sasa nyie na viongozi wenu wote mmeishiwa hoja, hamna ujanja tena, chama chenu hakina watu creative, mmejitahidi sana kujaza wahuni na inawagharimu..
 
Unaujua uongo wewe?!
wewe unaropoka sasa slaa anauzuri gani kafanya nini kwa taifa hili,
hana huruma na jamii kama aliweza kuiba pesa za msaada wa watoto yatima kanisani atashindwa kuwa na mipango haramu ya kukwepa kodi.[/QUOTE]

wewe akili yako inafanana ha jina lako.hivi unajua maana ya katikati?!
 
Huyu maza kanisikitisha sana kumbe ni gamba lililo kubuhu

Hata mie nasubiri picha hizo eti ushahidi picha na maelezo haviendani picha ya 2012 maelezo anasema 2013

Atupe huo ushahidi unao onyesha Dr. Slaa anakwepa kodi, picha alizo weka kachukua FB ya mke wa Dr. Slaa.
Kamanda, Dr.Slaa hajawahi kuoa acha kuongea uongo.
 
Nilipojiunga humu JF, nilidhani kuna watu wengi wenye hoja za mashiko ila nimegundua kuna misafara mingi ya mende... hoja finyu na ukosefu wa busara za demokrasia......naamini ningeweza kuchangia iwapo ningepata proposal yao kama itakua ni hospitali ya just for even break point or profit oriented hospital.. hapo ndo ntaweza changia.
 
ATAKAYENIBISHIA NA ANIBISHIE LAKINI UKWELI NDIO HUU: Mtindio wa ubongo haujamuacha Ritz na Lizaboni empty kabisa. Nafikiri ipo sehemu ya ubongo wao ambao haijaathirika kabisa and we should admit that the guys are making good use of the portion.

Serikali ya CCM imetufikisha mahali ambapo ukitaka huduma ya kijamii lazima uandamane au UWE UNAFAHAMIANA NA MTU WA NDANI. Katika hali hii, imejengeka tabia ya kupenda kujipendekeza au kuonesha misimamo mizito hata kabla hatujaombwa rushwa.

Mimi ushauri wangu kwako Mkuu Ritz, haihitaji kufahamiana na Dr.Slaa ndio utibiwe CCBRT. Ulemavu wa akili si tatizo ambalo umejitakia, wewe ni victim tu wa mambo kadhaa yaliyojitokeza kwenye makuzi yako ya awali. Huna haja ya kutumia mbinu mbinu nyiiingi kudhihirisha mtindio. You just walk in to CCBRT reception na uanze kubwabwaja huu utumbo ulioandika hapa JF, believe me, in fraction of seconds utakuwa admitted 'duty free'.

Dr.Slaa ameuliza kama kuna kodi inachajiwa kwenye vifaa vya hospitali, hapo hukutoa jibu, ukarukia mambo mengine kudhihirisha kuwa una matatizo ya akili. Swali hilo hilo ameliuliza Pasco, hukuweka majibu ukabakia tu kama viongozi wa chama chako ambao wanaamini zaidi ktk kunung'unika kuliko kuchukua hatua.

Dr.Slaa amepoteza muda mwingi kukuelewesha mambo ambayo hayaendani na uwezo wako wa kufikiri, badala yake alipaswa tu kukwambia 'huna haja ya kuandaa mazingira, matibabu pale CCBRT ni BURE'
 
Last edited by a moderator:
You are just being nasty because Dr. Slaa is threatening the success of your Chama cha Mafisadi in 2015.

For your information charitable Voluntary Agencies like Churches which offer to build schools or hospitals are exempt from taxes. The equipment they import for such projects is also exempt from customs duty and sales tax. I know this because I personally introduced the exemptions when I was Minister of Finance in 1978.

Umekuja na wewe kumtetea dr? Kweli chadema ni hatari sana. Mnalia ufisadi wa ccm huku mkitetea mafisadi wenu kama slaa.
 
It is so inspiring to read from an old man like you!! It shows that you are active and follow the current trend in our country.Asante sana Mzee!!
 
Kweli mnahangaika, unaleta story za kuuungaunga wala hueleweki,! Dr Slaa alitaja wezi, sio alidhani wataiba

amesahau serikali yao ya magamba ilivyomfanyia vibaya mzalendo Dr Masau na hata baba yake akashindwa kutoa mkono wa pole kama ai rambirambj wala kuhudhuria mazishi. NAICHUKIA SANA HIYO FAMILIA YENU.
 
wewe unaropoka sasa slaa anauzuri gani kafanya nini kwa taifa hili,
hana huruma na jamii kama aliweza kuiba pesa za msaada wa watoto yatima kanisani atashindwa kuwa na mipango haramu ya kukwepa kodi.

wewe akili yako inafanana ha jina lako.hivi unajua maana ya katikati?![/QUOTE]

WAMBEJASANA na KATI kATI, Mbona mnafarakana wakati wote adui yenu ni mmoja? Nawapa homework moja tu. kila mtu apitie posts za mwenzake ndipo mtakapobaini kuwa nyote ni against CHADEMA na DR Slaa. kama mnatofautiana kwa bahati mbaya sawa. ila kama ni kwa makusudi basi ondoeni yofauti zenu ili adui apigwe kirahisi
 
Mkuu, ndo maana hata zile hoja nne alizoainisha LIZABONI ameshindwa kuzijibu kwa vile uwezo wake ni mdogo sana.

Zaidi ya kuwalaghai watu na ngano zake nyingi huyu hawezi kujibu hoja za Lizaboni wala Ritz.
 
Last edited by a moderator:
slaa alijikopesha pesa kibao za chama kagoma kurudisha kwa hiyo nikawaida yake kufanya haya.
 
Umekuja na wewe kumtetea dr? Kweli chadema ni hatari sana. Mnalia ufisadi wa ccm huku mkitetea mafisadi wenu kama slaa.

I think Mtei has a good idea, embu tujitahidi kujibu hoja na sio fikra za downstairs...come up with upstairs
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom