Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

Status
Not open for further replies.
hivi huyu mama kabla ya kuishi na SLAA alikuwa akifanya hizi safari za mara kwa mara JAPAN, ISRAELI na kwingineko
thatha atakuja kukujibu hapa we subiri, CV yake hamuiwezi ukoo wenu wote,unafikiri huko japan ndio kaenda jana?
 
Last edited by a moderator:
Eti nini safari za MAMA SLAA hazikuwa siri, hiyo inatosha kutuwaminisha kuwa hakuna ufisadi hapo?, mbona rais wa nchi akiondoa tena safari yake kutangazwa na media , bado maneno huwatoka kwamba anatumia pesa vibaya? Huna mpango wa kujenga hospitali , labda baadaye? Umeasisi CCBRT, hiyo unayosema kama utajenga ni baadaye nayo itakuwa taasisi au hospitali ya FAMILIA? Hauna eneo MLALAKUA?

dah kiwango chako cha ufahamu unalingana na unayo andika humu, vuta pumzi njoo na hoja za mashiko sawa Binti.
 
Hapa mtanzania hahitaji kutumia nguvu kufikiria kuwa huo mzigo
ulikuwa wa cdm kwa ajili ya kupata pesa za kununua helkopta ya kampeni;
kujaza jaza mafuta mnayozungukia hewani; na kulipia hizo kodi hewa.

Kha! nawe umenunuliwa na Team Lumumba
CC. Asprin
 
Last edited by a moderator:
Ritz asante sana kwataarifa nilikuasijaipata hii kumbechadema wanampango mzuri hivi wakutujengea hospitali. Afathali maana hizi hospitalizenu badala yakutibu wanamalizia

Kwataarifayako vifaa VGA hospitali vinamisamaha yakodi iliowekwa na serilali

Nashukuru kwahabarinjema juu ya slaa nachamachake
 
Ritz,
Pamoja na kuwa nakuheshimu, lakini unazungumza utumbo bila utafiti. CCBRT Dr Slaa siyo " kateuliwa tu..." Kama unavyotaka kuonyesha. Dr Slaa " Founder" wa CCBRT na ni mwenyekiti wa Board. Pamoja na Disability Hospital CCBRT ina programs nyingi ikiwa ni pamoja na maboresho ya Vituo 14 vya Afya Jijini Dar na Maboresho ya Hospitali za Amana, Temeke na Mwananyamala kabla ya kufungua Hospitali ya Mama na Mtoto. Kazi hizo zote zinafanyika bila siasa kwa kuwa kwenye Maendeleo hakuna siasa. Wakuu, nimekwisha kuweka msingi wa ukweli, sitajibizana ten a na Ritz. Hata hivyo nimalizie kwa kumwambia Ritz kuwa huo ndio uzalendo, kuhudumia Watanzania bila kuchoka, na bila kuwabagua kwa rangi, itikadi, dini au wanakotoka. Kielelezo cha uzalendo ni matendo na siyo maneno wala propaganda.

QUOTE=Ritz;7283094]Kamanda mbona unataka kulazimisha CCBRT siyo mali ya Dr.Slaa ameteuliwa tu mjumbe wa bodi.[/QUOTE]
 
Hivi kwenye mafundisho yako ya upadri, mkeo kumbe anaweza kuwa mama yako ? Nashkuru kwa kunifumbua ujinga huu.

Sa unavyosema mama Nyerere huwa unamaanisha nini? Mbona ni utamaduni wa kawaida..Jadili hoja sio kuanza kutafuta maneno ya kujaza thread tu..
 
hivi huyu mama kabla ya kuishi na SLAA alikuwa akifanya hizi safari za mara kwa mara JAPAN, ISRAELI na kwingineko

Nakushauri na wewe omba ''kuolewa'' na Dr Slaa ili uwe unafanya hizo safari. Au kama vipi tangaza tenda hapa JF kuwa unataka kuolewa ili upatiwe safari za ulaya. Huu wivu ni zaidi ya ule wa KIKE aliousema Samwel Sitta...
 
Wanaukumbi.

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema, Dr. Slaa
anapenda sana kujinasibisha kwamba yeye ni mzalendo wa kupindukia,
anayechukia vitendo vya ufisadi na anayeionea huruma nchi yetu.

Taarifa za uhakika kabisa zinathibitisha kwamba mwishoni wa mwezi Juni,
mwaka 2013 Dr.Slaa na Mchumba wake walitembelewa na kundi la Wapani
wapatao 20 nyumbani kwao Mbweni, Kinondoni ambapo wote kwa pamoja
walikula cha jioni.

Dhumuni la ugeni huo wa Wajapani, ilikuwa ni kuthibitisha kama kweli
Chadema kina mpango wa kujenga hospitali kubwa ya kisasa katika eneo la
Mlalakuwa Dar es Salaam, Wajapani hao ndiyo walipangwa au kuteuliwa
kujenga hospitali hiyo, wameakikishiwa pamoja na mambo mengine ya
kimaslahi yao makampuni yao mengine, kwamba msimamizi wa hospitali hiyo
ndiyo atakayekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2015,
kwa maana ya Dr. Slaa.

Mipango yote ya kujenga hospitali hiyo, inaratibiwa na Askofu mmoja
anayemiliki Kanisa lake maeneo ya Kawe, Dar es Salaam, Askofu huyo
amekuwa akifanya safari za Japani akiwa ameandamana na mchumba wa Dr.
Slaa, Josephine, mpango unafanyanyika vifaa vyote vitakavyoingizwa
kutoka Japani vipitie mikononi mwa Kanisa ili tu visitozwe kodi na
serikali.

Ni Dr.Slaa huyu huyu, ambaye miaka michache iliyopita alitangaza orodha
ya aibu ya mafisadi pale Mwembe yanga, leo hii anawakimbia Mamlaka ya
Mapato nchini TRA.

Hivi kinana katibu mkuu wa ccm kwenye biashara yake ya pembe za ndivu aka tembo licha ya kuuwa tembo analipa kodi?

Mwenyekiti wenu alipia kodi ile sembe au?
 
Labda uelewa wangu wa maswali ya kodi ni mdogo, lakini ninachojua mimi ni kuwa vifaa vya mahospitali vimesamehewa kodi pindi vinapoingizwa ndani ya Tanzania. Sio mashirika ya dini tu, hata watu binafsi wanapojenga hospitali wanasamehewa kodi hizo. Sioni hapo ni kwa namna gani Dr. Slaa anakwepa kodi kwa bidhaa ambazo zimesamehewa kisheria. Maelezo hayo yananifanya nimwone mwandishi wa habari hiyo ni muongo na mchonganishi.

Zamani ilikuwa hata ukijenga shule au miradi inayo saidia jamii moja kwa moja haina kodi
 
Ritz,
Utabwabwaja na propaganda mpaka utachoka. Basi angalau ungelikuwa hata na Taarifa
Sahihi.
1. Kwanza hoja ya kukutana na Wajapani nyumbani, pamoja na kuwa Dr Slaa hazuiwi na sheria au utaratibu wowote kukutana na yeyote anayetaka nyumbani kwake au mahali popote, siyo ya kweli. Hakuna siku hata mmoja, siyo mwezi Juni tu, wajapani 20 walipofika na kula nyumbani kwangu. Kama ni hivyo, mbona unawake picha za Mama Slaa alipokuwa Japan basi. Isitoshe picha za safari ya Mama Slaa hazikuwa siri zilikuwa kwenye FB yake. Mtihani wa kwanza umefeli vibaya sana. Fanya mwingine tuone.

2. Ah! Kumbe ujenzi wa Hospitali! Pamoja na kuwa sina mpango huo, labda Kama utakuwepo baadaye tatizo ni nini. Dr. Slaa nimeasisi taasisi ya CCBRT mwaka 1994 na kujenga, pamoja na programs zingine, Hospitali kubwa kuliko zote hasa kwa performance( look at statistics) Afrika South of Sahara inayoshughulikia disagbilities under one roof, ten a katika Ardhi tuliyopewa na Serikali ya JMT. Sasa hivi, tunajenga Hospitali kubwa ya Mama na Mtoto itakayokuwa tayari 2014/15, nayo pia katika nyongeza ya ardhi tuliyopewa na Serikali. hospitali zote ziko exempted. Ukwepaji kodi uko wapi. Kama CCBRT imepata cheti cha TRA, Kama stori yako ungekuwa kweli, si ni utaratibu huo huo ungelifuatwa! Tatizo liko wapi hapo? ritz una akili ya ajabu, ningetaka kufanya biashara ningeshindwa kufanya hivyo kupitia CCBRT. Nadhani mnatafuta pa kushikiza, piga ramble zaidi labda itakusaidia!
Dr.W.Slaa,

Jibu hoja siyo kuzunguka, CCBRT ni mali ya familia ya Dr.Slaa?
 
DR Slaa, acha kutufanya wana JF kuwa ni watoto. Ungekuwa muungwana ungejibu hoja za Ritz badala ya kubwabwaja tu. umejibu hoja moja tu kuwa hujawahi kufanya kikao na wajapani nyumbani kwako tena kwa vile tu Ritz hajaweka picha za hicho kikao cha nyumbani kwako na badala yake kaweka picha za Josephine akiwa Japani

badala ya kujibu hoja za msingi, wewe unakmbilia kucheza na akili za watu tu kudanganya. Ni kiongozi gan kama wewe anakuwa na ndoto ya kuwa Rais wa nchi lakni ni mdanganyifu na mjanjamjanja namna hii. Ni aibu kwako binafsi, chama unachoongoza na familia yako. Hapa kuna hoja nyingi zimeibuliwa na Ritz ambazo hujajibu na badala yake umetumia muda mwingi kuelezea mafanikio ya Taasisi ya CCBRT ambayo nayo inaendeshwa kiujanjaujanja. Ile Taaasisi ipo kimaslahi zaidi lakini wanatumia kigezo cha kutoa huduma ili kupata upendeleo kwa serikali. Hoja za Ritz ambazo ulipaswa kuzijibu ni hizi zifuatazo;
  1. Dr Slaa pamoja na Mchumba wako Josephine mlitembelewa na Wajapan 20 nyumbani kwenu na kula chakula cha jioni. Hiyo ilikuwa ni Juni 2013. Hoja hiyo umejibu kisanii sana eti hujawahi kutembelewa na wajapani nyumbani kwako. Kanusho lako limekuja tu kwa vile Ritz ameweka picha za Josephine akiwa Japan ambazo umesema kuwa hazikuwa ni za siri. Naamini kuwa endapo Ritz asingeweka picha yoyote, ni wazi kuwa hata ziara hiyo ya mchumba wako ungeikataa
  2. Ritz amesema kuwa CHADEMA mna mpango wa kujenga Hospitali huko mlalakuwa. Je hoja hiyo imekaa vipi? Si dhambi kwa CHADEMA kujenga hospitali. Hoja ya msingi hapo ni huo ulaghai unaowafanyia wajapani kuwa wewe ndiye Rais mtarajiwa 2015 na kwamba kama ukiwa Rais, makampuni ya Japani yatapata upendeleo kwa kile kinachodaiwa kulipa fadhila. Hilo unasemaje?
  3. Mahusiano ya Dr SLaa, familia yako, chadema na Askofu mmoja ambaye licha ya kuwa Ritz hajamtaja, lakini wadau wametusaidia kuwa ni Gwajima yapoje? Je ni kweli kuwa hospitali hiyo tarajiwa inajengwa kwa ubia yaani Dr Slaa na familia yako, CHADEMA na Gwajima? Kama ni hivyo, ubia huo una malengo gani? Ninachokiona hapo ni ukwepaji wa kodi ambao ni dhahiri Gwajima anahusika
  4. kama hospitali hiyo ni ya CHADEMA, iweje Mchumba wako Josephine ndiye anayefuatilia kwa karibu na si organs za chama chako? Katika hilo, hapo hapana harufu ya ufisadi?

Nawatahadhalisha sana CHADEMA kuacha ushabiki usio na manufaa na badala yake mnapaswa kufuatilia kwa karibu nyenendo za Dr Slaa na mchumba wake kwani wana mambo mengi ya siri wanayafanya kwa kutumia jina la chama na kanisa ila kwa manufaa yao.
 
59659_451739378204932_322908579_n.jpg

Hii Tarehe na mwaka mbona tofauti?
Ndio akili za kimagamba hizo,anakula hapa na kutoa haja kubwa na ndogo hapo.
 
Hapa mtanzania hahitaji kutumia nguvu kufikiria kuwa huo mzigo
ulikuwa wa cdm kwa ajili ya kupata pesa za kununua helkopta ya kampeni;
kujaza jaza mafuta mnayozungukia hewani; na kulipia hizo kodi hewa.
Kweli nimeamini kah*ba ni k*haba tu hata akiwa mtawa hawezi kuficha tabia yake...

Hapa mdada umeonyesha tabia yako ya ndani kabisa,,, tamaa mbaya sana,, naamini buku saba ya Lumumba kwa nyie wenye tamaa ni ngumu sana kuwatosha.
 
Ritz,
Utabwabwaja na propaganda mpaka utachoka. Basi angalau ungelikuwa hata na Taarifa
Sahihi.
1. Kwanza hoja ya kukutana na Wajapani nyumbani, pamoja na kuwa Dr Slaa hazuiwi na sheria au utaratibu wowote kukutana na yeyote anayetaka nyumbani kwake au mahali popote, siyo ya kweli. Hakuna siku hata mmoja, siyo mwezi Juni tu, wajapani 20 walipofika na kula nyumbani kwangu. Kama ni hivyo, mbona unawake picha za Mama Slaa alipokuwa Japan basi. Isitoshe picha za safari ya Mama Slaa hazikuwa siri zilikuwa kwenye FB yake. Mtihani wa kwanza umefeli vibaya sana. Fanya mwingine tuone.

2. Ah! Kumbe ujenzi wa Hospitali! Pamoja na kuwa sina mpango huo, labda Kama utakuwepo baadaye tatizo ni nini. Dr. Slaa nimeasisi taasisi ya CCBRT mwaka 1994 na kujenga, pamoja na programs zingine, Hospitali kubwa kuliko zote hasa kwa performance( look at statistics) Afrika South of Sahara inayoshughulikia disagbilities under one roof, ten a katika Ardhi tuliyopewa na Serikali ya JMT. Sasa hivi, tunajenga Hospitali kubwa ya Mama na Mtoto itakayokuwa tayari 2014/15, nayo pia katika nyongeza ya ardhi tuliyopewa na Serikali. hospitali zote ziko exempted. Ukwepaji kodi uko wapi. Kama CCBRT imepata cheti cha TRA, Kama stori yako ungekuwa kweli, si ni utaratibu huo huo ungelifuatwa! Tatizo liko wapi hapo? ritz una akili ya ajabu, ningetaka kufanya biashara ningeshindwa kufanya hivyo kupitia CCBRT. Nadhani mnatafuta pa kushikiza, piga ramble zaidi labda itakusaidia!
Invisible na Paw majibu ya Dr. Slaa haya yawekeni hapo juu ili wanao ingia kwa mara ya kwanza waone
 
Last edited by a moderator:
Hivi habari hii iwe ya kweli au ni upuuzi nyie wa CCM mnausafi gani wa kukemea jambo lolote kwenye nchi hii? uchafu ulio fanya hajatosha tu. tatizo lenu kubwa ni kukosa aibu, bora hoja zenu mngewapa watu wengine waandike nyie mkae kimya mkisubiri kurudisha mlivyo filisi kwenye inchi hii. kuweni na aibu kidogo mliyo yafanya yana tia kichefu chefu. na hiyo biashara ya sembe mbona hamjikutuambia mnavyo kwepe kod hamjui naman gani mnatutia hasira!
 
DR Slaa, acha kutufanya wana JF kuwa ni watoto. Ungekuwa muungwana ungejibu hoja za Ritz badala ya kubwabwaja tu. umejibu hoja moja tu kuwa hujawahi kufanya kikao na wajapani nyumbani kwako tena kwa vile tu Ritz hajaweka picha za hicho kikao cha nyumbani kwako na badala yake kaweka picha za Josephine akiwa Japani

badala ya kujibu hoja za msingi, wewe unakmbilia kucheza na akili za watu tu kudanganya. Ni kiongozi gan kama wewe anakuwa na ndoto ya kuwa Rais wa nchi lakni ni mdanganyifu na mjanjamjanja namna hii. Ni aibu kwako binafsi, chama unachoongoza na familia yako. Hapa kuna hoja nyingi zimeibuliwa na Ritz ambazo hujajibu na badala yake umetumia muda mwingi kuelezea mafanikio ya Taasisi ya CCBRT ambayo nayo inaendeshwa kiujanjaujanja. Ile Taaasisi ipo kimaslahi zaidi lakini wanatumia kigezo cha kutoa huduma ili kupata upendeleo kwa serikali. Hoja za Ritz ambazo ulipaswa kuzijibu ni hizi zifuatazo;
  1. Dr Slaa pamoja na Mchumba wako Josephine mlitembelewa na Wajapan 20 nyumbani kwenu na kula chakula cha jioni. Hiyo ilikuwa ni Juni 2013. Hoja hiyo umejibu kisanii sana eti hujawahi kutembelewa na wajapani nyumbani kwako. Kanusho lako limekuja tu kwa vile Ritz ameweka picha za Josephine akiwa Japan ambazo umesema kuwa hazikuwa ni za siri. Naamini kuwa endapo Ritz asingeweka picha yoyote, ni wazi kuwa hata ziara hiyo ya mchumba wako ungeikataa
  2. Ritz amesema kuwa CHADEMA mna mpango wa kujenga Hospitali huko mlalakuwa. Je hoja hiyo imekaa vipi? Si dhambi kwa CHADEMA kujenga hospitali. Hoja ya msingi hapo ni huo ulaghai unaowafanyia wajapani kuwa wewe ndiye Rais mtarajiwa 2015 na kwamba kama ukiwa Rais, makampuni ya Japani yatapata upendeleo kwa kile kinachodaiwa kulipa fadhila. Hilo unasemaje?
  3. Mahusiano ya Dr SLaa, familia yako, chadema na Askofu mmoja ambaye licha ya kuwa Ritz hajamtaja, lakini wadau wametusaidia kuwa ni Gwajima yapoje? Je ni kweli kuwa hospitali hiyo tarajiwa inajengwa kwa ubia yaani Dr Slaa na familia yako, CHADEMA na Gwajima? Kama ni hivyo, ubia huo una malengo gani? Ninachokiona hapo ni ukwepaji wa kodi ambao ni dhahiri Gwajima anahusika
  4. kama hospitali hiyo ni ya CHADEMA, iweje Mchumba wako Josephine ndiye anayefuatilia kwa karibu na si organs za chama chako? Katika hilo, hapo hapana harufu ya ufisadi?

Nawatahadhalisha sana CHADEMA kuacha ushabiki usio na manufaa na badala yake mnapaswa kufuatilia kwa karibu nyenendo za Dr Slaa na mchumba wake kwani wana mambo mengi ya siri wanayafanya kwa kutumia jina la chama na kanisa ila kwa manufaa yao.

Mbona wewe umeandika pumba kwa kutumia nguvu nyingi.
 
wana ccm kuweni na aibu angalau kidogo. Hii nchi Mungu hajawaumbia nyie ni ya watanzania wote...lakini mtakuja kuelewa tunamaana gani 2015
 
hospital wananchi wote tuitafaidika!Jee misamaha ya kodi katika cement,sukari,mchele anayopewa mohammed dewji(MB-CCM),mafuta ya magari migodini nani anafaidika?

Nakubaliana na wewe,kwa hiyo ni kweli kwamba kuna hospitali inataka kujengwa na chadema,yes.sasa hapa cha kuangalia ni kama kweli itakuwa ya chadema kwa maana ya wananchi na isije ikawa ya familia ya Babu na mkewe kwa sababu wote ni wajanja wajanja we waangalie tu machoni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom