Dr. Slaa, Mbowe waweka historia Kilombero!

Dr. Slaa, Mbowe waweka historia Kilombero!

It`s wasting of my valuable time to engaged in any kind of discussion with a coward like you! I always stand on my grounds to defend what I believe is the best for our country; You was supporting Malawi a day ago and today you pretends to be Chadema? Do you even know what it mean to be Tanzanian? Your are damn hopeless go to hell!!!

Chama
Gongo la mboto DSM
Angalia hili Gamba kwenye keyboard mnajifanya mahodari wa kuandika Lugha ya Kikristo ila mkiambiwa mjieleze Bungeni kwa lugha hiyo ni mgogoro mtupu, tuliyashuhudia haya kwenye uchaguzi wa Wabunge wa Afrika Mashariki, wengine ni walimu wa chuo kikuu lakini walichemsha lugha.

Vita ni last option pale njia za kidiplomasia zinaposhindwa, Taifa maskini kama Tanzania ambalo lipo kundi moja na Somali na Afghanstan huwezi kunishawishi kusapoti ujinga wa option ya vita wakati njia za Amani zipo na hazijashindikana, na usiniunderestimate ukadhani silijui genge la maharamia ndani ya CCM wanaowasupply silaa waasi wa Congo.

Kama nia yenu ilikuwa kutuibia pesa zetu kwa kisingizio cha vita hiyo janja yenu imeshindwa kabla haijaanza, nyinyi endeleeni tu kudhulumu mifuko ya hifadhi ya jamii ya Wafanyakazi.

Hivi nchi yenye hali hii unaweza kuwaza vita na watu wenye akili timamu tukuchekee tu!? wewe ni mpuuzi wa kwanza maana wa mwisho ana hafadhali.

Hivi ni rahisi kiasi hicho kuibomoa ngome ya CCM? huko Kilombero,mbona wanamsifia mfu?mbona kabla hajafa hakuwa maarufu kiasi hicho?,picha zenyewe watu kiduchu namna hiyo mbona melezo ni ya upande mmoja ni wangapi wa CDM waliofika katika mkutano zaidi ya CCM,wekeni vitu vya ukweli si vya kupendezesha habari,mbona hamuelezi walivyozuiwa Moro town halafu hakuna aliyehangaika nao,si wangefanya mikutano kwa nguvu kama Arusha?labda ni wajulishe kuwa huko Moro kuna watu bado hawajui kama Nyerere alishakufa wala hawajui kama kuna chama kingine zaidi ya CCM,mkiweza anzieni hapo kwa hao waliolala waelewesheni waelewe ndiyo wafuasi watapatikana kinyume na hayo ni kutwanga maji kwenye kinu,hizo kadi mlizowapa wengine wanaenda kujipalilia ujiko na kama kulikuwa posho basi wamechukua kwa ajili ya mshiko vinginevyo bado kuna kazi kubwa kuivunja kambi ya CCM Morogoro.
Na wewe unaishi karne ya 21?
 
Duuh! Matola, kiboko!....alafu mbona huyu jamaa kabaki peke yake? kampani yake imekimbilia wapi?
 
Jmushi 1
Je sasa unataka tujadili social activities zilizopo Dar na Kilomebero? Kilombero hakuna social activities kama unakumbuka wakati treni zinasafiri mji mzima utaukuta treni station sio kupokea wageni la hasha ni kwa sababu hawana pa kwenda huo ndio ukweli hata hii kwenye mikutano ya siasa ni moja ya outing zao na ndio niliposema hata mh. Mrema akienda kesho bado watu watakwenda kumsikiliza . Dar ngoma ni tofauti watu baada ya kazi ngumu kinachofuatia ni kwenda kwenye sehemu mbalimbali kuburudisha nafsi zao, wapo wanaokwenda baa, wacheza karata, wacheza bao, kuangalia mipira na ndio sababu Lema alipokuwa anafanya mikutano yake sangara alichina hakuwa anapata watu kwasababu nilizoeleza hapo juu.

Chama
Gongo la mboto DSM
sasa mbona ulisema "ninakuwekea maneno mdomoni"?
 
DK.slaa anatetea gazeti la mwanahalisi kwa sababu yeye ndie aliekuwa mhariri mkuu wa gazeti hilo kwa kutumia jina la saed kubenea wakati akijua kwamba kubenea ni standard seven!
Pole mzee kwa kukufungia gazeti naomba umuombe Anton komu aliyekuwa mmiliki wa gazeti hilo aanzishe gazeti lingine.pole sana babuuuuuuu!utapata urais tu hata wa kigamboni tutakupa tu.
You too must be sick.
 
Aiseee sioni m2 wa kuiangamiza chadema labda mwenyezi mungu aamue mwenyewe
 
sasa mbona ulisema "ninakuwekea maneno mdomoni"?

Cha msingi ulilewa somo nipe idadi ya wakazi Kilombero ili tufanye tathmini ya mkutano acha propaganda

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Jasusi
yaani ili uishi karne ya 21 ni lazima usapoti Chadema?

Chama
Gongo la mboto DSM
Hapana,
Kanishangaza tu na mawazo yake mgando eti wanamsifia mfu. Kennedy became more popular in the US after his death.
Ndio maana nikamzindua kuwa hii ni karne ya 21.
 
Duuh! Matola, kiboko!....alafu mbona huyu jamaa kabaki peke yake? kampani yake imekimbilia wapi?
Ritz na Rejao wapo kwenye mfungo na wako serious na funga yao, sasa kwa mtu anayefahamu vyema ni kwa nini anafunga hawezi kuongea uongo wala kuwa mnafki, hicho ndio kikubwa kilichowakimbiza hao wawili lakini baada ya Ramadhani akili zao watazifungulia kabatini.
 
Kwa kusanyiko hili Chadema lazima wafungiwe maana watu ni wengi wanaweza kuhatarisha maisha ya CCM .Ngojea soon utasikia haya nisemayo.Sasa jana kulikuwa na malori mangapi ya FFU kwa ajili ya ulinzi ?Mh CCM bwana
 
Namwombea msamaha aliyetukanwa (hapo kwenye red), lakini pia Mkuu, uwe unatusamehe tunapotoa maoni yetu, tusitukanwe hivyo!!!! Najua unaipenda nyinyiemu, lakini pia, mwenzako ameweka hata picha kukuonesha kuwa chama anacho kipenda, kinakubalika na wengi. Matusi ya nini???? Soma alama za nyakati, ikikubidi jiunge na wengi. "Wengi wape." Hata wewe hukuzaliwa na nyinyiemu, wenzako wamekwisha liachia, unang'ang'ania la nini????? Achia lisikufie.
"Huu ndiyo ushauri wangu kwako"

Achana na molemo, jamaa akili finyu hilo wala halina shaka mtu anayediriki kumwita Josephine mama huoy kweli akili yake nzima na mama yake atamwita nani? Mtu anayeishi kwa kujikomba kwa binadamu mwenzake ni mtu huyo? Turudi kwenye somo hakuna kitakachonifia mwendo mdundo tu nashukuru kwa ushauri na nasaha zako sasa wote wakihamia Chadema mnataka kusiwe na upinzani? Mbona mnataka kuturudisha nyuma wakati chama makini CCM kimeweka misingi mizuri tu demokrasia.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
peopleeeee! wajamen ninaposikia cdm huaga nafurah sana! cdm iko kwenye blood is more like sport!
 
Angalia hili Gamba kwenye keyboard mnajifanya mahodari wa kuandika Lugha ya Kikristo ila mkiambiwa mjieleze Bungeni kwa lugha hiyo ni mgogoro mtupu, tuliyashuhudia haya kwenye uchaguzi wa Wabunge wa Afrika Mashariki, wengine ni walimu wa chuo kikuu lakini walichemsha lugha.

Vita ni last option pale njia za kidiplomasia zinaposhindwa, Taifa maskini kama Tanzania ambalo lipo kundi moja na Somali na Afghanstan huwezi kunishawishi kusapoti ujinga wa option ya vita wakati njia za Amani zipo na hazijashindikana, na usiniunderestimate ukadhani silijui genge la maharamia ndani ya CCM wanaowasupply silaa waasi wa Congo.

Kama nia yenu ilikuwa kutuibia pesa zetu kwa kisingizio cha vita hiyo janja yenu imeshindwa kabla haijaanza, nyinyi endeleeni tu kudhulumu mifuko ya hifadhi ya jamii ya Wafanyakazi.

Hivi nchi yenye hali hii unaweza kuwaza vita na watu wenye akili timamu tukuchekee tu!? wewe ni mpuuzi wa kwanza maana wa mwisho ana hafadhali.

Mmalawi wewe una matatizo gani? Hii ni Forum ya watanzania , Lugha kikristo ikoje watu nyie mmetawaliwa sana na udini na ukabila hamjifichi.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Chama

Waulize swali moja tuu hao WANNA BE wakombozi HIYO BARABARA YA KWENDA KILOMBERO NANI KAJENGA? What do they stand for in the first place? Just Pathetic mwageni sera za ukombozi wa mlalahoi sio ku blame CCM kila siku it has diminishing returns in the end ( TANZANIANS HAVE A VERY SHORT ATTENTION SPAN) Kulilia jukwaani is not a sign of political maturity we need substance not rhetoric.
 
Mmalawi wewe una matatizo gani? Hii ni Forum ya watanzania , Lugha kikristo ikoje watu nyie mmetawaliwa sana na udini na ukabila hamjifichi.

Chama
Gongo la mboto DSM
Fame & Insanity hujui kwamba Uingereza ni Taifa la kikristo?
 
Back
Top Bottom