Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,810
- 109,809
Chama
Waulize swali moja tuu hao WANNA BE wakombozi HIYO BARABARA YA KWENDA KILOMBERO NANI KAJENGA? What do they stand for in the first place? Just Pathetic mwageni sera za ukombozi wa mlalahoi sio ku blame CCM kila siku it has diminishing returns in the end ( TANZANIANS HAVE A VERY SHORT ATTENTION SPAN) Kulilia jukwaani is not a sign of political maturity we need substance not rhetoric.
Kweli mnaweweseka, naona mpaka ID zenu za akiba leo zinafanyakazi!! Barabara ya kilombero imejengwa kwa pesa zetu walipa kodi.
Labda tu nikupe Elimu ndogo ni kwa nini tunataka CCM ikae pembeni na ipishe chama mbadala, jibu ni hili sisi ndio wenye pesa zetu chama ambacho tunakiweka madarakani ni wakala tu wa kukusanya kodi zetu na kutuletea maendeleo kazi amabayo CCM imeshindwa, kwa miaka 50 walipaswa wafanye zaidi ya walichokifanya.
Chama ambacho kimefirisi hata miradi yake chenyewe kama SUKITA unategemea kiaminiwe na nani kukusanya pesa zetu? CCM imepoteza uhalali wa kuendelea kuongoza nchi hii na tutaingo'wa madarakani 2015.
