Leonard Akaro
Member
- Nov 1, 2010
- 56
- 13
Then job is done
Molemo akili yako finyu sana hivi Kilombero ina wakazi wangapi mpaka iweke historia ambayo haiwezi kufutika katika Taifa ambalo linawakazi takribani mil. 40? historia ambayo haiwezi kufutika ni Dr. Slaa na wenzake kuigeuza Chadema saccos mkumbushe deni alilikopa saccos linatkiwa lilipwe.
Chama
Gongo la mboto DSM
Wewe katika watu hopeless jukwaa hili basi unashika nafasi ya kwanza, huna lolote zaidi ya kuimba taarabu tu hapa. Kwa akili yako ndogo unadhani kuna mtu yeyote mwenye akili timamu angeweza kusapoti vita za kufikirika ili muuze silaa zenu wakati Diplomasia haijashindwa bado?matola huna nyimbo vipi umerudi Malawi? Hapa ni watanzania tunajadili siasa za Tanzania
Chama
Gongo la mboto DSM
Wewe katika watu hopeless jukwaa hili basi unashika nafasi ya kwanza, huna lolote zaidi ya kuimba taarabu tu hapa. Kwa akili yako ndogo unadhani kuna mtu yeyote mwenye akili timamu angeweza kusapoti vita za kufikirika ili muuze silaa zenu wakati Diplomasia haijashindwa bado?
Wewe uti wa mgongo ulikutosha sana wala hukuwa na huitaji wa kupewa Ubongo, maana kazi ya Ubongo kwa binadamu ni kufikiri vizuri kitu ambacho huna hata chembe, sasa ubongo wa nini?
lakini si wewe umesema kuwa watu wanaenda hapo kwenye mikutano ya chadema kwasababu hawana pa kwenda kujirusha kama ilivyo kwa wakazi wa Dar?unafikiri kivipi mkuu?ndo shida ya kutokuwa na mawazo huru,unajikuta hata hujui unachoongea.Nadhani wewe ndio umekuwa mgumu wa kuelewa usichanganye maneno rudia kuisoma posti yangu usitie kauli yako kwenye kinywa changu, hata mikutano ya Chadema wanapiga nyimbo za kuwaburudisha wasikilizaji kabla ya mkutano haujaanza rasmi.
Chama
Gongo la mboto DSM
Molemo akili yako finyu sana hivi Kilombero ina wakazi wangapi mpaka iweke historia ambayo haiwezi kufutika katika Taifa ambalo linawakazi takribani mil. 40? historia ambayo haiwezi kufutika ni Dr. Slaa na wenzake kuigeuza Chadema saccos mkumbushe deni alilikopa saccos linatkiwa lilipwe.
Chama
Gongo la mboto DSM
Unapoteza muda wako bure kumuelimisha mbumbumbu kama huyo, huyu hana hata habari kama Raza ameshinda Ubunge jimbo la Uzini kwa kura 5000 tu wakati bara hali ni tofauti kabisa, kuna mwehu mwingine yeye anasema watu walikwenda kuvuta muda wa futari, kwamba wao kila binadamu ni Mwislamu na anafunga Ramdhani!! hawa watu ni mizigo tu.Kisayansi huwa hatuangalii idadi ya vitu au watu tunaangali %, mafano kama kuna sehemu kuna watu 100,000 ambayo ni 80% wakahudhuria watu 70,000 si sawa na sehemu kwenye watu 500,000 alafu wahudhuriaji mikutano ni 50,000 ambayo 10%. Nadhani Molemo ame-base hapo.
peoples power....together we can
DK.slaa anatetea gazeti la mwanahalisi kwa sababu yeye ndie aliekuwa mhariri mkuu wa gazeti hilo kwa kutumia jina la saed kubenea wakati akijua kwamba kubenea ni standard seven!
Pole mzee kwa kukufungia gazeti naomba umuombe Anton komu aliyekuwa mmiliki wa gazeti hilo aanzishe gazeti lingine.pole sana babuuuuuuu!utapata urais tu hata wa kigamboni tutakupa tu.
Kumbe na wewe umo? Sikujuaga ati!ni cdm tu 2015! period!
Kasema haiwezi kuandikwa KILOMBERO siyo Tanzania..pambanua kaka (gamba gumu)Molemo akili yako finyu sana hivi Kilombero ina wakazi wangapi mpaka iweke historia ambayo haiwezi kufutika katika Taifa ambalo linawakazi takribani mil. 40? historia ambayo haiwezi kufutika ni Dr. Slaa na wenzake kuigeuza Chadema saccos mkumbushe deni alilikopa saccos linatkiwa lilipwe.
Chama
Gongo la mboto DSM
Duuh! Mkuu Matola basi inatosha....msitiri huyo jamaa, kwani hajui kusoma alama za nyakatiWewe katika watu hopeless jukwaa hili basi unashika nafasi ya kwanza, huna lolote zaidi ya kuimba taarabu tu hapa. Kwa akili yako ndogo unadhani kuna mtu yeyote mwenye akili timamu angeweza kusapoti vita za kufikirika ili muuze silaa zenu wakati Diplomasia haijashindwa bado?
Wewe uti wa mgongo ulikutosha sana wala hukuwa na huitaji wa kupewa Ubongo, maana kazi ya Ubongo kwa binadamu ni kufikiri vizuri kitu ambacho huna hata chembe, sasa ubongo wa nini?
Kweli mmepiga hatua kubwa si chama kimeguka saccos? Ombeni na nyie angalau mwende shule mjifunze namna ya kupambanua mambo

Picha plz!