Hivi ni rahisi kiasi hicho kuibomoa ngome ya CCM? huko Kilombero,mbona wanamsifia mfu?mbona kabla hajafa hakuwa maarufu kiasi hicho?,picha zenyewe watu kiduchu namna hiyo mbona melezo ni ya upande mmoja ni wangapi wa CDM waliofika katika mkutano zaidi ya CCM,wekeni vitu vya ukweli si vya kupendezesha habari,mbona hamuelezi walivyozuiwa Moro town halafu hakuna aliyehangaika nao,si wangefanya mikutano kwa nguvu kama Arusha?labda ni wajulishe kuwa huko Moro kuna watu bado hawajui kama Nyerere alishakufa wala hawajui kama kuna chama kingine zaidi ya CCM,mkiweza anzieni hapo kwa hao waliolala waelewesheni waelewe ndiyo wafuasi watapatikana kinyume na hayo ni kutwanga maji kwenye kinu,hizo kadi mlizowapa wengine wanaenda kujipalilia ujiko na kama kulikuwa posho basi wamechukua kwa ajili ya mshiko vinginevyo bado kuna kazi kubwa kuivunja kambi ya CCM Morogoro.