Dr. Slaa, Mbowe waweka historia Kilombero!

Dr. Slaa, Mbowe waweka historia Kilombero!

Nassari una mikakati gani na jimbo lako???? Maana tangu umeingia,mara Kigoma, mara....Moro....Angalia
 
Kasema haiwezi kuandikwa KILOMBERO siyo Tanzania..pambanua kaka (gamba gumu)

Ndio maana nasema Kilombero ni wilaya sasa toeni idadi ya wakazi wa Kilombero ili tufanye tathmini picha zinajieleza wazi tupeni idadi ya wakazi tumalize somo

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Wewe katika watu hopeless jukwaa hili basi unashika nafasi ya kwanza, huna lolote zaidi ya kuimba taarabu tu hapa. Kwa akili yako ndogo unadhani kuna mtu yeyote mwenye akili timamu angeweza kusapoti vita za kufikirika ili muuze silaa zenu wakati Diplomasia haijashindwa bado?

Wewe uti wa mgongo ulikutosha sana wala hukuwa na huitaji wa kupewa Ubongo, maana kazi ya Ubongo kwa binadamu ni kufikiri vizuri kitu ambacho huna hata chembe, sasa ubongo wa nini?

It`s wasting of my valuable time to engaged in any kind of discussion with a coward like you! I always stand on my grounds to defend what I believe is the best for our country; You was supporting Malawi a day ago and today you pretends to be Chadema? Do you even know what it mean to be Tanzanian? Your are damn hopeless go to hell!!!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Huyo Urais hata wa Kigamboni ausahau. Nani ampe?
Wakati wenzenu wanachanja mbuga kuonana na wananchi kuwapa elimu ya uraia na kujielewa nyie viongozi wenu wanapigana vikumbo kutoa matamko ya vita na Malawi (ambavyo havitakuwepo) wakidhani watanzania wanataka vita hivyo watampa Uraisi atakaye toa tamko kali kuliko wenzie.
Kweli Magamba bado mko ulimwengu wa ndotoni
.
 
lakini si wewe umesema kuwa watu wanaenda hapo kwenye mikutano ya chadema kwasababu hawana pa kwenda kujirusha kama ilivyo kwa wakazi wa Dar?unafikiri kivipi mkuu?ndo shida ya kutokuwa na mawazo huru,unajikuta hata hujui unachoongea.

Jmushi 1
Je sasa unataka tujadili social activities zilizopo Dar na Kilomebero? Kilombero hakuna social activities kama unakumbuka wakati treni zinasafiri mji mzima utaukuta treni station sio kupokea wageni la hasha ni kwa sababu hawana pa kwenda huo ndio ukweli hata hii kwenye mikutano ya siasa ni moja ya outing zao na ndio niliposema hata mh. Mrema akienda kesho bado watu watakwenda kumsikiliza . Dar ngoma ni tofauti watu baada ya kazi ngumu kinachofuatia ni kwenda kwenye sehemu mbalimbali kuburudisha nafsi zao, wapo wanaokwenda baa, wacheza karata, wacheza bao, kuangalia mipira na ndio sababu Lema alipokuwa anafanya mikutano yake sangara alichina hakuwa anapata watu kwasababu nilizoeleza hapo juu.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Ahaa samahani nilisahau naongea na wanazi wa chadema UK mmefungua tawi watu walikuwa takriban 15 lakini kwenu walikuwa wengi sasa hata Kilombero watu 200 kwenu inaweza kuwa historia.

Chama
Gongo la mboto DSM
Chama,
Nimeangalia zile picha za London watu walikuwa zaidi ya 30 rafiki yangu. Give credit where it is due. Vipi utakuwepo uziduzi wa tawi la CCM/ DMV?
 
Chama,
Nimeangalia zile picha za London watu walikuwa zaidi ya 30 rafiki yangu. Give credit where it is due. Vipi utakuwepo uziduzi wa tawi la CCM/ DMV?

Jasusi
Mshikaji walikuwepo hawakufika idadi hiyo; nitajiahadi siku hiyo nitakuwa narudi safari tuombe Mungu njooni tuzuge

Chama
Gongo la mboto DSM
 
molemo akili yako finyu sana hivi kilombero ina wakazi wangapi mpaka iweke historia ambayo haiwezi kufutika katika taifa ambalo linawakazi takribani mil. 40? Historia ambayo haiwezi kufutika ni dr. Slaa na wenzake kuigeuza chadema saccos mkumbushe deni alilikopa saccos linatkiwa lilipwe.

Chama
gongo la mboto dsm
una akili ndogo sana,molemo kasema historia kilosa,wewe unasema historia tz,,kwa kweli unauzunisha sana.yeye kalinganisha mikutano zote zinazofanyika kila mara kilombero
 
Hata shetani sasa anaanza kuiogopa CCM kwa laana zao zilizokubuhu.
Kuipenda na kuipigia kura CCM yahitaji uwe na akili za kimaiti maiti
 
Kumbe umeona, eeh? Atakuwa na shughuli za kibinafsi.

ahaa haa jasusi mafuta na maji hayajichanganyi mbona hamuulizi Shibuda au Mnyika? Au hao hawapaswi kujenga chama?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
ahaaa haa wewe ndiye mwenye akili finyu ikiwa kama viongozi wanajikopesha pesa za chama hapa ni siasa au saccos

chama
gongo la mboto dsm
ata kama unaandika naamini moyo inakusuta sana
 
Back
Top Bottom