Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

Yan nyinyiemu wanazidi kuharibu kila kukicha kupitia policcm
 
Hivi endapo wakiwa wanawahoji wakikataa kusema chochote,nini kitafuatia?

sijui ila naamini hawawezi kutoa kauli kama hizo halafu wakataa kuhojiwa bila kushauliana na wana sheria wa chama kuona madhara ya kukataa kuhojiwa.
 
nimewasiliana na Godbless Lema anasema 'hatuja kamatwa ila tulikuja wizara ya mambo ya ndani kwa mahojiano na bado tunaendelea.'

Unafikiri atakubali si walisema kuwa hawaendi wameenda ili nini........walifikiri they are untouchable.........shame on you........and shame on us...for letting you ..........................................
 
kule si kaskazini kwa wachaga

Issue ya Arusha siyo ukaskazini ama uchaga. Issue ya watu wa kaskazini ni kwamba wameamka, wamejitambua tofauti na watu wa pwani ambao bado wanahitaji ukombozi wa fikra. Hata hao polisi nao siyo wamewakamata makamanda kwa mahojiano ama makosa, bali polisi wamefanya hivyo ili wapate muda wa kuwasikiliza madamanda, ili nao wafunguke!
 
sijui ila naamini hawawezi kutoa kauli kama hizo halafu wakataa kuhojiwa bila kushauliana na wana sheria wa chama kuona madhara ya kukataa kuhojiwa.
walisha kataa sasa wamekamatwa na kupelekwa kwa mahojiano wakitia kiburi unajua where to find them.
 
Unafikiri atakubali si walisema kuwa hawaendi wameenda ili nini........walifikiri they are untouchable.........shame on you........and shame on us...for letting you ..........................................

ukweli ni kwamba hawaja kamatwa maana nijuavyo mimi wakisha kukama hatamawsiliano siyo rahisi kuyafanya na kuhusiana wanahojiwa kuhusu nini bado sijui na kwanini wamekubali kuhojiwa labda polisi wamejibu tuhuma zao kwanza.
 
Unafikiri atakubali si walisema kuwa hawaendi wameenda ili nini........walifikiri they are untouchable.........shame on you........and shame on us...for letting you ..........................................

Nukuu toka fb:

TUJIKUMBUSHE ANGALAU KWA HAYA 1. Regnald Mengi alilalamika kwamba Polisi wanataka kumbambikiza mwanaye madawa ya Kulevya aliwataja mpaka majina ya Polisi waandaminizi na kiasi cha pesa walichopewa, cha ajabu si Reginald Mengi aliadhibiwa kwa kusema uongo wala si hao Polisi waandamizi walichukuliwa hatua ilihali Mengi alisema ana ushahidi. Kwa mtu mwenye akili timamu ni lazima ajue kwamba Polisi kweli walihusika ila kuogopa kuchafuka wakaamua kulimaliza hili suala chinichini, kama unadhani nakudanganya hebu jaribu leo Mtaje Polisi yeyote kwa tuhuma kama hizo ilihali si ya kweli utaona kitakachokutokea.

2. Mwakyembe alitoa Taarifa Polisi mapema kabisa kwamba kuna watu wanataka kumdhuru akataja mpaka magari yaliyopangwa kumfanyia hayo madhambi, ikumbukwe pia unapotaja namba za gari inamaanisha umemtaja Muhusika, na Polisi walimwita kwa mahojiano akawapa ushirikiano, lakini cha ajabu wakaendelea kuwasitiri wauaji mpaka wakatimiza adhma yao ambayo ilikwamishwa na madaktari wa India, kibaya zaidi Polisi haohao kupitia kwa Manumba wakachukua Jukumu la madactari wa Mwakyembe kuanza kuzungumzia ugonjwa wa Mwakyembe, unaikumbuka hii ilipelekea mpaka matamko ya Serikali kutofautiana kati ya Waziri wa Afya na Msemaji wa Polisi?

Katika hali kama hii mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuendelea kuwaamini Polisi ndiyo maana hata siku moja nyumbani kwangu nikiwa na Tatizo siwezi kupiga simu Polisi, wakishindwa walinzi wangu basi ni bora nife. Nawachukia sana Polisi na the so called Usalama wa Taifa.
 
Kina Chama kimevaa boxer na kinajaribu kuhadaa umma juu ya maovu yake, langu jicho na masikio.
 
Hahahaaaaa serikali ya CCM yafikia mwisho, natamani wafadhili wote wastopishe misaada, I can see Syria in Tanzania
 
Nimepishana na magari ya chadema maeneo ya gymkana yakitokea posta kuelekea barabara ya ocean, mwenye taarifa aongezee
 
lazima watoe ushahidi wa tuhuma walizozitoa, wasituharibe amani yetu kwa uroho wa madaraka

nenda zako huko nyie ndo walewale, cjui hawa sisiemu wanawapa nin
 
Kama kwaida wana JF nyuma ya keyboard kwenye vilap top vyao na porojo kibao without any action!! Pumbafu.
 
Amani ikitoweka hamna cha ccm wala kajamba nani, huo ni ubabe ambao mwisho wake 2015 au kabla
 
Mtu unasema kuwa unatishiwa kuuawa, ukiambiwa tupe taarifa kamili ili tufuatilie hutaki maana yake nini? Mimi naipenda CDM lakini baadhi ya mambo kama haya ambayo yangeepukika siyakubali. Huwezi kusema kuwa uko hatarini kuuawa halafu serikali ikae kimya tu, itakuwa serikali ya ajabu sana pamoja na UDHAIFU wake
 
Back
Top Bottom