Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

chondechonde wasije wakamshikilia dk slaa mpaka july 21 tarehe ya ndoa, magamba kweli hayana huruma!!
 
Wakuu,
Nimearifiwa kuwa Mh Mbowe, Slaa na Lema wako Central Muda huu. Hajanieleza kwanini wamekamatwa. Nikipata details nitaziweka hapa.

Updates

Ninaomba kuthibitisha kuwa habari hizo ni za kweli, nimewasiliana na katibu wa Chadema kanda maalum ya Dsm, Mr Henry J. Kilewo.


Wameshatoka na wako huru kwa sasa.
 
Wanatakiwa wakajieleze Polisi maana wanadai maisha yao yapo mashakani mbona jambo la kawaida kuhojiwa. Tatizo viongozi CDM hawatii dola kwa kutegemea huruma ya wana CDM hii ni hatari sana lazima watii sheria za nchi sio kuropokaropoka wanaweza kuitia nchi matatani kwa uroho wao madaraka.

Sheria msumeno unakata pande zote
 
Masawe mnataka kwenda kuwatoa kwa nguvu? Ebu jaribuni ndio mtajua nidhamu ya jeshi letu la polisi, wanahojiwa kutokana na kauli zao.

Tunajua nguvu ya jeshi lenu la CCM!
 
Uko sahihi mkuu,,maneno yale hayawezi kutamkwa tu kisha yaachwe hivi hivi pamoja na "udhaifu" wa serikali unaotajwa kuhojiwa lazima kama polisi hawatachukua further actions kama ilivokawaida yao hilo litakuwa suala jingine

Mbona Mwakyembe hakuchukuliwa kwenda kuhojiwa pamoja na barua aliyoiandikia Police na Sitta kusisitiza kuwa amechshwa sumu?? Kwa hiyo kutuambia kuwa ni kawaida yao kufanya hivyo ni uongo wa mchana. Pilice yetu inafanya mambo yake kisiasa, period!!!
 
Masawe mnataka kwenda kuwatoa kwa nguvu? Ebu jaribuni ndio mtajua nidhamu ya jeshi letu la polisi, wanahojiwa kutokana na kauli zao.

Kaka,
Sisi wengine tumefika mahali pagumu, kupigwa na polisi na vipigo vya maisha magumu ya mtaani tofauti hamna. Siku ikifika na ikibidi tutaenda na nguvu ya Umma. Mbona Lissu aliliezea vizuri hilo jana Bungeni?
 
Sasa ni saa 8.15, je kuna nini kiliendelea? Wameachiwa? Walihojiwa nini na nani nk
 
Waeleze wanachokijua ili ukweli ujulikane.kukataa kuhojiwa ni kudhihirisha uongo
 
Kila kitu kitakuwa sawa tusibiri kila mtu atekeleze majukumu yake
 
Yaani tuwe imara kwelikweli dhidi ya hawa wapuuzi, wanafikiri wao kuwa polisi au viongozi wa juu wa serikali, wanaweza kuwapelekapeleka watu wanavyotaka wao, wanajisahau na kuona kuwa hakuna wanaoweza kudeal nao, wananchi watadeal nao, watu wamebadilika si wale wa miaka ya themanini au tisini, watakiona cha moto hawa wapuuzi this time
Kamanda Mbowe, Dr Slaa na Lema wako central, tuungane kwenda pale ili tutumie nguvu ya umma asubuhi hii. Saa ya ukombozi ni sasa.
 
Tunasema viongozi wa CHADEMA wanaodaiwa kukamatwa na polisi Dar es Salaam waachiliwe HURU kwa kuwa maonevu zaidi haitovumilika.

kaa chini wewe,acha kuropoka.baba zako tunaongea mambo ya maana,kamsaidie mama ako kupika
 
Back
Top Bottom