Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

Kuhusu slaa na lema mimi mwenyewe nilikuwepo pale wizaa ya mabo ya ndani na nikawashuhudia lema na slaa pamoja na mlinzi wa slaa wakiletwa pale kuhusu mbowe sijui
 
Makamanda msiwe na wasi wasi mwacheni JK na majambazi wake wazidi kujipaka kinyesi. dunia inaona na inasikia jisi JK anavodhirisha udhalimu wa utawala wake dhaifu.
 
Mtu unasema kuwa unatishiwa kuuawa, ukiambiwa tupe taarifa kamili ili tufuatilie hutaki maana yake nini? Mimi naipenda CDM lakini baadhi ya mambo kama haya ambayo yangeepukika siyakubali. Huwezi kusema kuwa uko hatarini kuuawa halafu serikali ikae kimya tu, itakuwa serikali ya ajabu sana pamoja na UDHAIFU wake

Uko sahihi mkuu,,maneno yale hayawezi kutamkwa tu kisha yaachwe hivi hivi pamoja na "udhaifu" wa serikali unaotajwa kuhojiwa lazima kama polisi hawatachukua further actions kama ilivokawaida yao hilo litakuwa suala jingine
 
CCM wanatulazimisha kufanya tusichotaka kukifanya mapema..Wangesubiri tu wafike salama 2015
 
mh kweli Polisi vihiyo, wanapelekwa tuu.....
wao kila siku wanatumwa kama watoto...
loooh stupd police TZ.
 
Kwani zile taarifa za ki-intelijisia hazikufanya kazi? ama zinafanya kazi kipindi cha mikutano na maandamano tu?:noidea::noidea:
 
Habari kutoka chini ya kapeti zinasema Polisi wanawauliza kina Slaa kwamba 'Nani yupo nyumba ya CHADEMA?'

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),

tumbiri@jamiiforums.com
 
Siku yao ipi kila siku una-post maneno tu badala ya kufanya vitendo? Ama kweli Dua la Kuku..................


Umeonaa eeh mimi hawa wafuasi wa CDM huwa wananiacha hoi'harakati zao huwa zinaishia kwenye keyboard tu sio barabarani'nguvu ya umma ya wapi?bongo mnachekesha,sijaona waoga kama hawa'hivi sasa eti walitaka kupitia mgongo wa madaktari kukamilisha matakwa yao'
 
Ni rahisi sana kumpeleka ng'ombe mtoni lakini kumlazimisha kunywa maji ni ishu nyingine.
 
Hivi Mukama alipo ituhumu cdm kuingiza magaidi kutoka libya alihojiwa na polisi?
 
Makamanda msiwe na wasi wasi mwacheni JK na majambazi wake wazidi kujipaka kinyesi. dunia inaona na inasikia jisi JK anavodhirisha udhalimu wa utawala wake dhaifu.


Unaota wewe dunia inaona wa tz?kwa maslahi gani wanayopata hao wazungu?Syria wanakufa mamia kila siku na dunia haisemi kitu ije kuwa Mbowe na Slaa,?
 
Back
Top Bottom