Dr. Slaa kuzindua kampeni za UKAWA

Dr. Slaa kuzindua kampeni za UKAWA

Status
Not open for further replies.
dada vp mbona kimya? naona muda unavyoendelea kwenda, ukitazama mafuriko.....ndio unaendelea kuwa na marue rue..

Hakuna mafuriko wala nini, hiyo sisi tumemtema kawa bora kuliko chadema nzima.

Sioni ajabu, mchagga kwa pesa anaweza kumuuza hata mwanae.
 
Hakuna mafuriko wala nini, hiyo sisi tumemtema kawa bora kuliko chadema nzima.

Sioni ajabu, mchagga kwa pesa anaweza kumuuza hata mwanae.

Pole FaizaFoxy...mwaka huu mgumu ni zamu yenu magamba kulia... nitakuja kukufariji baada ya octoba 25.
 
Last edited by a moderator:
Nafsi yangu inaenda kutulia punde.
Dr Slaa anaenda kuzindua rasmi kampeni za uchaguzi.
CCM kwaheri
Kikwete kwaheri
Magufuli kwaheri
Mfumo fisadi kwaheri

Tunaenda kusimika utawala wa kujali haki za kiraia na binadam
Tunaenda kung'oa mifumo ya kinyonyaji na kiungu-mtu
Karibu Dr Slaa,the legend of political transformation in Tz

Source.JJ Mnyika,front page Nipashe
tangu mwaka huu uanze sijawahi kupata habari njema kama hii !
 
Lowasa ni MCHAFU, na atabaki MCHAFU, ila pesa zake tu, ndizo zinapendwa.
Dr. Slaa tu ndiye Rais wetu hata kama Lowasa kwa fedha na tamaa zake amempokonya Dr. Slaa.
Lowasa wala hajawahi kuwa mpinzani wa kuiondoa CCM. Anataka tu kulipiza kisasi kwa kukatwa.
Upinzani wa kweli ulijengwa na wapinzani wa kweli kina Dr. Slaa. Lowasa na timu zake zote wameleta fujo kuu, hakuna anayeelewa tena kinachoendelea.
Sio ajabu upinzani ukafutika kabisa mwaka huu, maana matimu zake zote zimevamia. Kina Mbowe sasa wameduwaa tu, miongozo yote wanasubiri kwa 4u movement, team lowasa n.k.,
Lipumba aliona mbali, akaamua kutimua maana hali sio tena.
 
mfumo una tatizo lipi? Au wewe kwako mfumo mzuri ni kwa yule anaeyanunuwa madaraka kwa thamani yoyote ile?

Huwa nnawashangaa sana, mlikuwa manmwita fisadi, jee fisadi kwanunuwa? Fikiri.

Binaadam msikuwa na msimamo?

Unafiki wa mbowe ulijionesha pale alipopeleka gari la zamani mlango wa mbele akachukuwa jingine jipya mlango wa nyuma, lilipobainika hilo bado hamkuuona unafiki wale? Na leo slaa hana maana tena zaidi ya yule aliyekuwa "fisadi"?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
jipime iq ili ujitambue kiwango cha uelewa ulicho nacho maana kwa kauli kama hizi naufiria mara mbili uanachama wangu ndani ya c.c.m...
 
polisi msitupige mabomu chadema ni serikali ijayo hii nyimbo tamu sana
 
Mfumo una tatizo lipi? Au wewe kwako mfumo mzuri ni kwa yule anaeyanunuwa madaraka kwa thamani yoyote ile?

Huwa nnawashangaa sana, mlikuwa manmwita fisadi, Jee Fisadi kwanunuwa? Fikiri.

Binaadam msikuwa na msimamo?

Unafiki wa Mbowe ulijionesha pale alipopeleka gari la zamani mlango wa mbele akachukuwa jingine jipya mlango wa nyuma, lilipobainika hilo bado hamkuuona unafiki wale? Na leo Slaa hana maana tena zaidi ya yule aliyekuwa "fisadi"?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kudadadeki chezea mafuriko ww,mpaka unaandika utumbo wala havieleweki *****,umekorogakoroga tu mbibi wa watu wewe kama vp hama na wewe mfuate mghana
 
Huyo ndio Dr wa ukweli mwanamageuzi namba ri 1 neno lake moja tu latosha hawezi kutuambia ha nyikani atatufikisha kaanani
 
Wanaukawa tumpenda sana dr slaa,na tutaendelea kumpenda sana dr slaa mpaka kufa kwetu,ama kufa kwake,tutamuhenzi tutamuheshimu,lkn hatuungi mkono maamuzi yake.
Pata picha sk lowasa anaanza kuzunguka nchi nzima na dr slaa,itabidi magufuli ajitoe mapema kabla ya siku ya kupiga kura.
Mungu ni mkubwa yuko nasi atatubari,na atambariki dr slaa ataungana nasi,na ikitokea hivyo kweli dr slaa akaungana nasi watu watakufa kwa furaha
 
Pole FaizaFoxy...mwaka huu mgumu ni zamu yenu magamba kulia... nitakuja kukufariji baada ya octoba 25.

Usilalamike tu humu baada ya 25 October.

Nnakukumbusha tu, usione vinaelea vimeundwa.

Sijapata kuona watu waovu wanoweza kuwalaghai Watanzania kama chadomo...

Siku moja, uanachama, siku moja mgombe urais, siku moja maarufu kuliko chadema nzima. Na huyo hyo ndiyo alikuwa "fisadi" wa miaka yote!

Hivi chadomo inasema nini katiba yao kuhusu hilo? au ndiyo inabadilika apendavyo Mbowe na Mkwewe Mtei?

Maana nnakumbuka mtu mmoja tajiri kuliko Lowasa CCM ilimtema alipotaka kugombea ubunge kupitia CCM kwa mara ya kwanza kwa kuwa alikuwa hajatimiza miaka 5 ndani ya CCM, unamkumbuka ni na huyo? au ulikuwa bado kichinchiri?

Hiyo ndiyo CCM, hatujali fedha tunajali utu na katiba.

Sasa hivi sizioni hata zile hadithi za Lowasa kukataliwa na Nyerere! Mmezisahau?
 
Mama acha kppanic ni upepo tu utapita. umesahau msemo wenu wenyewe? ni wakati wa mabadiliko na hilo halizuiliki hata mfanyeje!
 
Mama acha kppanic ni upepo tu utapita. umesahau msemo wenu wenyewe? ni wakati wa mabadiliko na hilo halizuiliki hata mfanyeje!

Ni panic mimi? unantazama kwa uoga nini?

Hivi kwa akili yenu Lowasa atatawala hii nchi? mimi nasema Mawee!
 
Pole FaizaFoxy...mwaka huu mgumu ni zamu yenu magamba kulia... nitakuja kukufariji baada ya octoba 25.

Unafiki wa Mbowe ulijionesha pale alipopeleka gari la zamani mlango wa mbele akachukuwa jingine jipya mlango wa nyuma, lilipobainika hilo bado hamkuuona unafiki wale? Na leo Slaa hana maana tena zaidi ya yule aliyekuwa "fisadi"?

Sisi tunadunda na utashangaa sana October ikiisha, utajuwa kuwa CCM ndiyo namba wani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom