Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,090
Kaishapewa fungu lake maaana huyu padre kwa pesa balaaa.
Jiandae kisaikolojia!
Kaishapewa fungu lake maaana huyu padre kwa pesa balaaa.
Alichokifanya slaa ni cha maana mno, make mpaka magufuli tulimsahau, chadema wasomi bana
Vipi, shetani kawa malaika?
Nafsi yangu inaenda kutulia punde.
Dr Slaa anaenda kuzindua rasmi kampeni za uchaguzi.
CCM kwaheri
Kikwete kwaheri
Magufuli kwaheri
Mfumo fisadi kwaheri
Tunaenda kusimika utawala wa kujali haki za kiraia na binadam
Tunaenda kung'oa mifumo ya kinyonyaji na kiungu-mtu
Karibu Dr Slaa,the legend of political transformation in Tz
Source.JJ Mnyika,front page Nipashe
Ajiandae kutubu nini kakuchukulia mke ?kwenye siasa hakuna uadui wa kudumu wala urafiki wa kudumu .pole slaa yuko fiti kufunga magufuli yote na kumwaga pombe zote.
Mama Salma Kwaheri
Rizone Kwaheri
Kinana, Mzee wa Tembo Kwaheri
Nape mpiga kelele Kwaheri
Polepole mg.a.wa 0713 Kwaheri
Hakika wanawake sasa mpo juu sana. Mnajitambua haswaaaa. Hongera sana dada na mama zetu msionunulika kwa kanga na t-shirt za maccmsolex zote zirudi china!! kudadadeki
Yeye ndiye boss!EL ni mwajiriwa. aliajiriwa CCM ambao ni mafisadi na yeye ikabidi awe fisadi maana alifata maelekezo ya boss wake. sasa amehamia upande mwingine analazimika kufata maelekezo ya mabosi wake wapya wakiongozwa na Dr Slaa na Mbowe.
Vipi, shetani kawa malaika?
Kaishapewa fungu lake maaana huyu padre kwa pesa balaaa.
Vipi, shetani kawa malaika?