Dr. Slaa kuzindua kampeni za UKAWA

Dr. Slaa kuzindua kampeni za UKAWA

Status
Not open for further replies.
Nafsi yangu inaenda kutulia punde.
Dr Slaa anaenda kuzindua rasmi kampeni za uchaguzi.
CCM kwaheri
Kikwete kwaheri
Magufuli kwaheri
Mfumo fisadi kwaheri

Tunaenda kusimika utawala wa kujali haki za kiraia na binadam
Tunaenda kung'oa mifumo ya kinyonyaji na kiungu-mtu
Karibu Dr Slaa,the legend of political transformation in Tz

Source.JJ Mnyika,front page Nipashe

No one like you Dr. Blessed father of politicians
 
Kaishapewa fungu lake maaana huyu padre kwa pesa balaaa.

Hahahaa naona propaganda zenu sasa zimepitwa na wakati, mlieneza sana kuwa Dk Slaa ni padre, CHADEMA ni chama cha kikristo, kwa sasa hizov hazina mashiko tena, ni mwendo mdundo hadi Magogoni!#
 
Dr.Slaa Alisema kama kuna jambo ataongea yeye mwenyewe sio kwa propaganda kama hizi.
 
Ajiandae kutubu nini kakuchukulia mke ?kwenye siasa hakuna uadui wa kudumu wala urafiki wa kudumu .pole slaa yuko fiti kufunga magufuli yote na kumwaga pombe zote.
Hilo neno kwamba katika siasa hakuna rafiki ama adui wa kudumu naona mnalitumia vibaya. Hili neno huwa linatumika watu wakiwa wametofautiana kwa sera ama mitazamo. Kwa hiyo aliyekuwa adui yako anaweza kubadili sera ama mtazamo hivyo mkakubaliana na uadui ukaisha. Kwa hili letu tunaongelea mmoja kumuona na kumtaja mwenzake kuwa ni fisadi. Kwa hiyo aliyekuwa fisadi si fisadi tena au alikuwa akisingiziwa?
 
Niliwahi kuandika humu, Edward Lowassa alifanikiwa kufanya "Mazungumzo "na Josephine Mushumbuz basi kila kitu kinawezekana.
 
karibu tena slaa, ila uache kuzila zila ka mtoto baba yangu, jifunze kwa LIPUMBA-VU,walimpenda na akajiaminisha anawafuasi kumbe hana hata mmoja...sasa wanamnanga na kumshusha kiheshima. nawewe usimfuate huyo njoo tujenge mapinduzi
 
Kaishapewa fungu lake maaana huyu padre kwa pesa balaaa.

Mpenda pesa pale ni Mama Mushumbusi. kama ameridhika na fungu basi atuachie Dr wetu arudi kazini
 
Alichokifanya slaa ni cha maana mno, make mpaka magufuli tulimsahau, chadema wasomi bana
 
Hilo neno kwamba katika siasa hakuna rafiki ama adui wa kudumu naona mnalitumia vibaya. Hili neno huwa linatumika watu wakiwa wametofautiana kwa sera ama mitazamo. Kwa hiyo aliyekuwa adui yako anaweza kubadili sera ama mtazamo hivyo mkakubaliana na uadui ukaisha. Kwa hili letu tunaongelea mmoja kumuona na kumtaja mwenzake kuwa ni fisadi. Kwa hiyo aliyekuwa fisadi si fisadi tena au alikuwa akisingiziwa?

EL ni mwajiriwa. aliajiriwa CCM ambao ni mafisadi na yeye ikabidi awe fisadi maana alifata maelekezo ya boss wake. sasa amehamia upande mwingine analazimika kufata maelekezo ya mabosi wake wapya wakiongozwa na Dr Slaa na Mbowe.
 
Habari njema Dr slaa atafungua kampeni za Ukawa

Tunamuhitaji kila nmoja wetu
Mwisho wa MANENO yooote

watanzania watakuja kuchunguliA kwenye Sanduku LA kura ziko ngapiiiii??

Karibu nyumbani Daktari wa ukweli

Chifu Mwinyikambi
 
Kaishapewa fungu lake maaana huyu padre kwa pesa balaaa.

Nyie watu mbona hamueleweki mnachopigania? hakuwa hadharani mkawa mnawalalamikia CDM haya sasa mnaambiwa atakuwa hewani mnaanza kusema kahongwa yaani nyie watu ni sheeeeeeeda
 
Nafsi yangu inaenda kutulia punde.
Dr Slaa anaenda kuzindua rasmi kampeni za uchaguzi.
CCM kwaheri
Kikwete kwaheri
Magufuli kwaheri
Mfumo fisadi kwaheri

Tunaenda kusimika utawala wa kujali haki za kiraia na binadam
Tunaenda kung'oa mifumo ya kinyonyaji na kiungu-mtu
Karibu Dr Slaa,the legend of political transformation in Tz

Source.JJ Mnyika,front page Nipashe
Simama na chama mkuu usisimame na mtu hiyo siyo siasa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom