Kweli nimeamini Slaa anamsimamo na anasimamia kile anachokiamini.Siyo kama manyumbu fulani yanayocheza ngoma ya Dj bila kujielewa.Hongera Slaa napenda wanasiasa wa siasa kama zako popote ulipo wafuasi wako tutakufuata.
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana na haina mwisho.Chadema walianza kuwabagua waislamu wakamaliza sasa wameanza kuwabagua wakatoliki(Dr Slaa na wenzake) wanajazana walutheri tu(Mbowe,Sumaye,Lowassa).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.