Umetemwa na si wa mwanzo wewe na hautokuwa wa mwisho.
Jahaz modern taarab wanakuhitaji sana ww ukamsaidie kuimba viitikio
Umetemwa na si wa mwanzo wewe na hautokuwa wa mwisho.
Na miye umeniita msukule?Muulize Mbowe hayo, au hujamsikia, ni msukule unaefata mkumbo tu?
mkuu wamesahau kuwa huyo wanayemwita Mungu wao ndio miongon mwa aliyewafikisha hapa.
Leo kawanunua kwa pesa wanamwangukia kumwabudu. Kweli uelewa wa vijana siku hizi upo chini kama kuku
Hata itakua gun point imetokea nina ballot paper mikononi kulazimishwa kupigia ccm basi nipigwe tu na risasi.hata mwenyewe miaka 51 sijafka. Tz bila ccm inawezekana But Tz bila Mh LOWASSA nisawa kuishi Mogadishu kwa risk yako mwenyeweUmetemwa na si wa mwanzo wewe na hautokuwa wa mwisho.
hebu tupe hoja ni kipi kilichokufanya uamin ukawa ni bora kuliko ccm?
Hata itakua gun point imetokea nina ballot paper mikononi kulazimishwa kupigia ccm basi nipigwe tu na risasi.hata mwenyewe miaka 51 sijafka. Tz bila ccm inawezekana But Tz bila Mh LOWASSA nisawa kuishi Mogadishu kwa risk yako mwenyewe
Tanzania hii ya Kikwete hakuna ataekulazimisha kufanya usilolipenda, hayo labda kabla ya Kikwete, bado hujiamini tu?
Hao utawajuwa wewe.
Umeuliza kuhusu Uislam unapewa majibu unaleta porojo.
Acha kujitoa ufahamu hujaelewa nini hapo kwani hao nao si waislam.
Dr.W.Slaa nadhani kwa heshima kubwa waliyokupa wanachama na watanzania ni vizuri ukakaa pembeni kwa amani na kwa heshima. Kukaa kwako Kimya hakumaanishi kushindwa lakini kuwa sehemu ya adui kipindi hiki cha vita dhidi ya CCM nayo siyo muda muafaka kuwa sehemu ya maadui wa Wapiganaji ulikuwa nao miaka 20 iliyopita.
Ni wazi wengine wameumia na hatua iliyochukuliwa na Chama chako/chetu-lakini maisha lazima ya endelee na vita yetu dhidi ya ukiritimba wa CCM lazima iendelee-kama lowassa ni Muwaarobaini wetu wa muda basi tuutumia kwa muda hussika akitushindwa tumbwage.
Naamini wengi wangetamani uwepo wako kwenye harakati hii kuelekea 25.10.2015 -yoyote Mungu akujaze uvumilivu.
Busara na Uadilifu wa kawaida na wa Kiimani uliyoishi miaka zaidi ya 50 iliyopita ikongoze kufanya jema kipindi hiki.
Huyu mzee tangu aliposusa mimi namuona ni mnafiki balaa.......hata awepo au asiwepo mabadiliko ni lazima ndani ya nchi hii......
Kakaa kimya au katishwa akae kimya?
Hujamsikia alipopata fursa?
Hivi kwanini mnapenda kupinda maneno?
Sasa hivi anajuta, huyo daktari wa kanoni padri @drw.slaa niliwahi kumwambia humu humu JF kuwa ngoja kuna siku wachagga watakugeuka, yametimia.
Niliwahi kumwambia na Zitto kupitia humu humu JF.
Wachagga hawana maslahi zaidi ya kwake mwenyewe, hata uwe ndugu na mchagga basi kwa maslahi yake hana udugu.
Nnauhakika hao akina Mbowe na Mtei hii yote ni baada ya kulamba mshiko kwa maslahi yao, lakini misukule hamuyaoni hayo.
Kakaa kimya au katishwa akae kimya?
Hujamsikia alipopata fursa?
Hivi kwanini mnapenda kupinda maneno?
Sasa hivi anajuta, huyo daktari wa kanoni padri @drw.slaa niliwahi kumwambia humu humu JF kuwa ngoja kuna siku wachagga watakugeuka, yametimia.
Niliwahi kumwambia na Zitto kupitia humu humu JF.
Wachagga hawana maslahi zaidi ya kwake mwenyewe, hata uwe ndugu na mchagga basi kwa maslahi yake hana udugu.
Nnauhakika hao akina Mbowe na Mtei hii yote ni baada ya kulamba mshiko kwa maslahi yao, lakini misukule hamuyaoni hayo.
Katika nchi yenye demokrasia,katika nchi yenye vyombo vya dola vyenye ujuzi wa kila namna,chama tu kisicho na dola kizuie mtu ndani bila Tiss kusaidia hili?,, vinginevyo uniambie kuwa vyombo hivyo vimezidiwa nguvu na Chadema na hali hiyo itaonesha chadema inafaa kuingia Ikulu!