Dr. Slaa kuzindua kampeni za UKAWA

Dr. Slaa kuzindua kampeni za UKAWA

Status
Not open for further replies.
Hata mie naona wale boko haramu, lile kundi la islamic state, na wasomali nao usamehe wao hauna hesabu sasa hawa sijui wanaswalia baharini?

Hao utawajuwa wewe.

Umeuliza kuhusu Uislam unapewa majibu unaleta porojo.
 
Kijakazi ebu tuimbe hii!!

Kama sio, kama sio JUHUDI ZAKO KIKWETEEE LOWASA TUNGEMPATA WAPIII X2

Huyo tumemtema wala hatuna habari nae, vipi babu yuko wapi? bado mmemfungia ndani?
 
Ndivyo mnavyojidanganya?

Mimi naona Mbowe kawazidi ujanja, kalamba mshiko anawawachia misukule mhangaike na mgonjwa wenu.

Babu Slaa yuko wapi?

Wewe ni mshamba. umepitwa na wakati na haujui unachokitaka, unajifanya unajua watanzania tunachokitaka.

TUNAIKATAA CCM KWA NGUVU ZOTE NA SABABU YA KUIKATAA TUNAYO.
CCM IMESHINDWA NA KAMWE HAINA NIA YA KUTUKOMBOA VIJANA KUTOKA KWENYE UMASIKINI KWASABABU HAITENGENEZ FURSA ZA AJIRA...
MIMI CCM WANGEWEZA KUNIJIBU KATIKA MASWALA HAYA MATATU NINGEWAPA KURA YANGU:
1. KWANINI WAMEUA VIWANDA VYA UMMA NA WAMESHINDWA KUVIFUFUA.
2. ELIMU BORA IKO WAPI?
3. MIUNDOMBINU BORA IKO WAPI?

mimi hizo sehem tatu zinayagusa maisha yangu ya kila siku moja kwa moja, sasa sijui ww umetoka wapi huko unaropoka hovyo tu.. sisiem hatuitaki..
 
Nafsi yangu inaenda kutulia punde.
Dr Slaa anaenda kuzindua rasmi kampeni za uchaguzi.
CCM kwaheri
Kikwete kwaheri
Magufuli kwaheri
Mfumo fisadi kwaheri

Tunaenda kusimika utawala wa kujali haki za kiraia na binadam
Tunaenda kung'oa mifumo ya kinyonyaji na kiungu-mtu
Karibu Dr Slaa,the legend of political transformation in Tz

Source.JJ Mnyika,front page Nipashe

Dr amefanya jambo la busara sana.

Huu ndio utawala mpya ujao.

Huyu ndie waziri mkuu mtarajiwa na hicho ndio cheo kinachomfaa endapo UKAWA itampiga kiatu mshambuliaji atakejaribu kufunga kwa kutumia mkono.
 
Wewe ni mshamba. umepitwa na wakati na haujui unachokitaka, unajifanya unajua watanzania tunachokitaka.

TUNAIKATAA CCM KWA NGUVU ZOTE NA SABABU YA KUIKATAA TUNAYO.
CCM IMESHINDWA NA KAMWE HAINA NIA YA KUTUKOMBOA VIJANA KUTOKA KWENYE UMASIKINI KWASABABU HAITENGENEZ FURSA ZA AJIRA...
MIMI CCM WANGEWEZA KUNIJIBU KATIKA MASWALA HAYA MATATU NINGEWAPA KURA YANGU:
1. KWANINI WAMEUA VIWANDA VYA UMMA NA WAMESHINDWA KUVIFUFUA.
2. ELIMU BORA IKO WAPI?
3. MIUNDOMBINU BORA IKO WAPI?

mimi hizo sehem tatu zinayagusa maisha yangu ya kila siku moja kwa moja, sasa sijui ww umetoka wapi huko unaropoka hovyo tu.. sisiem hatuitaki..

Naam, wala hujakosea, ushamba ndiyo jadi ya kila Mtanzania, wala si kituko Mtanzania kuwa ni mshamba - Kumbuka hilo.

Wewe huna hadhi wala haki ya kuwasemea "Watanzania".

Mtanzania anaejijuwa hawezi kwa miaka kumponda mtu kuwa fisadi huyo mtu akimuhonga fedha siku moan hiyo hiyo anageuka kutoka kuwa fisadi na kuwa mwema, siku moja hiyo hiyo anakuwa mbora kuliko wanachama aliowakuta kwenye chama na siku moja hiyo hiyo anakuwa mgombea uchaguzi wa hicho hicho chama kilichokuwa kinamwita fisadi.

Kama si ufisadi ni nini huo? Fikiri.

Mtanzania anakuwa na msimamo wa kizalendo anaepinga maasi na maovu bila kutetereka.

Leo misukule hata mpiga debe wenu mkuu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa mnamuona mbaya kwa kununuliwa na "fisadi".

Amma kwa hakika sasa nnaamini kuwa kila mchagga ana bei yake ya kujiuza.
 
Last edited by a moderator:

Umeandika uji tu nilikua ccm nimetimkia UKAWA ubaki peke yako na michosho bye!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni mshamba. umepitwa na wakati na haujui unachokitaka, unajifanya unajua watanzania tunachokitaka.

TUNAIKATAA CCM KWA NGUVU ZOTE NA SABABU YA KUIKATAA TUNAYO.
CCM IMESHINDWA NA KAMWE HAINA NIA YA KUTUKOMBOA VIJANA KUTOKA KWENYE UMASIKINI KWASABABU HAITENGENEZ FURSA ZA AJIRA...
MIMI CCM WANGEWEZA KUNIJIBU KATIKA MASWALA HAYA MATATU NINGEWAPA KURA YANGU:
1. KWANINI WAMEUA VIWANDA VYA UMMA NA WAMESHINDWA KUVIFUFUA.
2. ELIMU BORA IKO WAPI?
3. MIUNDOMBINU BORA IKO WAPI?

mimi hizo sehem tatu zinayagusa maisha yangu ya kila siku moja kwa moja, sasa sijui ww umetoka wapi huko unaropoka hovyo tu.. sisiem hatuitaki..

Taratibu aiseee!!.........Hayo maswali tuanze kumuuliza lowasa maana ni mmoja wa wanaccm waliotufikisha hapa tulipo.
 
Dr slaa anutambua ubaya wa ccm,hivo hatakubali kuvunja moyo wapenda mabadiliko waendelee kutawaliwa na ccm.bado yupo nas
 
Taratibu aiseee!!.........Hayo maswali tuanze kumuuliza lowasa maana ni mmoja wa wanaccm waliotufikisha hapa tulipo.

mkuu wamesahau kuwa huyo wanayemwita Mungu wao ndio miongon mwa aliyewafikisha hapa.

Leo kawanunua kwa pesa wanamwangukia kumwabudu. Kweli uelewa wa vijana siku hizi upo chini kama kuku
 
taratibu aiseee!!.........hayo maswali tuanze kumuuliza lowasa maana ni mmoja wa wanaccm waliotufikisha hapa tulipo.

yaani kwa akili zako lowasa ndio kazuia maendeleo yaliyokuwa yaletwe na serikali ya ccm? Sasa tutawafundisha nini maana ya demokrasia, ccm wamezengua tunawapiga chini wakajipange upya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom