Dr. Slaa hatimaye aibuka

Dr. Slaa hatimaye aibuka

hawakawahi wale timu nanii kusema ni msaliti maana ndio jina la kwanza atakalobatizwa mtu baada ya kuondoka au kutofautiana nao kifkra
 
Yote kwa yote, hii habari inanipa mashaka. Kwa nini hakutaka kuongea kwenye sim ili sauti yake isikike lakini alijibu SMS? Tutakuwa na uhakika gani kwamba ni yeye alijibu na si Mrs, au namba zake zime be hijacked na Usalama wa Taifa?
 
Apumzike tu huyo mzee, hiyo ndiyo demokrasia hata akiamua kuzungumza kwa sasa hakuna impact yoyote...na ameona Lipumba jinsi alivyopuuzwa...

Slaa alikuwa anapima upepo! Bila shaka ameshauona upepo unapunga kumwelekea Lowasa na si vinginevyo! Lipumba yeye alikurupuka bila kupima upepo akajikuta yuko peke yake na Magamba!
Kujaribu kumpinga Lowasa hadharani kwa sasa ni kuamua kuwa adui wa watanzania walio wengi! Kwa taaluma ya Slaa nitashangaa kama akifanya hivyo!
 
kuwa mpole basi wewe mujahidina gani unapelekwa na mihemuko ivo ata mkisema nini Slaa amewadharau wewe na mwenyekiti wenu kwa tamaa zenu za hovyo

Pole! Lowasa ndiye Rais ajaye! Kama hautaki shauri yako, ukiweza tafuta nchi yako!
 
aende tu,tumeshachoka ja kususa kwake,ukawa iko imara zaidi yeye na lipumba hawana impact yoyote kwa sasa,tunataka mabidiliko!sio mtu mmoja mmoja kujiona yeye ndio bora kuliko chama na wataka mabadiliko woote
 
Hawa watu wa suti nyeusi ni wakuangalia sana;
Inawezekana naye ameshapokea 3.5b/=.
........... Mpinzani aliyebaki kwa sasa ni Mbowe tu;tutaenda naye tu.
 
Mungu mkubwa walahi!! tunsubiri Padre anene yoote ndo tuanze kupiga porojo. otherwise siasa za bongo tamu sana aiseeee
 
Dr Slaa jifunze kujua kua maamuzi ya vikao yanachukuliwa kwa majority...kama majority imekubali..mnayabeba kwa pamoja..Inaitwa Collective responsibility.

Anyway sijui.....Nashangaa sana kama na wewe unaingia kwenye Payroll ya CCM
 
Hawa watu wa suti nyeusi ni wakuangalia sana;
Inawezekana naye ameshapokea 3.5b/=.
........... Mpinzani aliyebaki kwa sasa ni Mbowe tu;tutaenda naye tu.

Uko sahihi kabisa
Mbowe tu ndiye yuko serious...Kwenye siasa pia unatakiwa kuchukua High Risks

Always zina high return

Kwenye siasa kuna kubadilika

Sitaki kuamini mtonyaji wangu aliyeniambia kuwa Dr Slaa ni mtu wa "System" tena aliyekubuhu
 
Hatutaki unafiki wala umbea tunasubiri kauli yake mwenyewe rasmi hivi mkimwona Dr.Slaa anazindua kampeni za uraisi mtaficha wapi nyuso zenu?

na siku akiwaumbua kwa kusema maovu yote ya mbowe juu ya kuingia kwa lowassa kwa hati ya dhalula na kupewa nafasi ya kugombea urais itakuaje?
 
hiyo text alijibu mshumbusi,

Dr Slaa asipo kuwa makini atakuwa SISIMIZI soon, maana tunachotaka ni kuuondoa utawala wa CCM
 
Kura zimepigwa lini ?Magufuli hafai akiwa waziri aliuza nyumba za serikali je akiwa raisi mtauzwa mpaka nyie majinga mnaoishabikia ccm

lowassa akiwa waziri mkuu kawalaghai watanzania kwa kuleta kampuni feki ya kufua umeme au hlo ww hujaliona.... baada ya kukatwa jina na CCM katika kuwania urais, akainunua chadema na vibaka wake ote kwa tsh.bil.10 hlo ww hujaliona?
 
Mbowe anajua kusoma nyakati. Dr. Slaa ni MTU muhimu sana ila hajui kucheza na pyschologia ya watu wanataka nini nje.

Watu wengi tumeanza kumsahau Dr, tumeanza kumuona ni msaliti wa mabadiliko, hajui kucheza na muda. Mimi sina chama ila napenda CCM itoke.

Wanachama wa CCM humu wanamsifia Dr. Slaa hii inatuongezea chuki juu yake na akijichanganya katika kauli atazotoa hataamini reaction yake.

hata wanaomsifia lowassa ni wale team lowassa na friends of lowassa wala wanachadema wala.msitudanganye.... hlo tumelijua, wakeleketwa wa chadema wanamlilia dr.slaa...
 
chanzo: nipashe


mytake: Kauli hizi za dr. Slaa zinazidi kuonesha namna gani baadhi ya viongozi na wasemaji wa chadema wanavyojribu kuwahadaa watanzania kuhusu sakata la mwanasiasa huyu tegemeo kabisa katika chadema. Sote tunaothamini mchango wa dr. Katika kukijenga chama hatuna budi sasa tuachane na habari za hawa watu na tusubiri kauli ya dr. Slaa mwenyewe.

Kauli ya dr. Slaa imekuja wakati tayari zilishatolewa taarifa mbalimbali na viongozi na wasemaji wa chadema kuhusiana na sakata hili, taarifa ambazo kwa kauli hii ya slaa ni wazi zilikuwa ni za kuwahadaa watanzania. Kauli hizo ni pamoja na:

1. Dr. Slaa ameamua kupmzika, akiwa tayari atajiunga nasi-freeman mbowe

2. Dr. Slaa kukutana na secretarieti ili kupanga mikakati ya ushindi ya ukawa-yeriko nyerere

3. Dr. Slaa atazindua kampeni za ukawa-john mnyika n.k

tegemeo? Tegemeo? Acha utani mkuu toka aondoke na mwenzie prof. Kumbu kumbu lao limesahaulika kama vile hawakuepo....
 
Back
Top Bottom