Dr w slaa ni mbinafsi sana,hana shukrani,hana upendo kwa watanzania anajifikiria yeye na josefina tu.Anajiona yeye ni mkubwa kuliko chadema,kama kujitolea kukijenga chama,hivi wale walipoteza maisha yao kwa ajili ya chadema leo huko makaburini wanapoiona hali hii na dalili za uhuru wa kweli wa pili wa kiuchumi watasemaje?nao watasusa?je hao na slaa nani zaidi?wale waliotoa mamilioni ya pesa zao kwa ajili ya kuijenga chadema?leo chadema ni kubwa na inapata ruzuku lakini imetoka mbali sana kuna wakati mf mzee ndesamburo alikuwa anatoa pesa zake kwa ajili ya chama,naye mchango wake tuusemeje?wapo wengi sana walifanya makubwa kuiweka chadema katika ramani ya siasa za tanzania kama chama kikubwa cha upinzani,hao niliotaja ni mfano tu,kabla ya slaa ajajiunga na chadema.Dr slaa yeye ni katibu anayelipwa mshahara mkubwa sawa na mbunge...ni katibu aliye jikopesha ruzuku ya chama, ni katibu aliyempa mchumba wake cheo makao makuu ya chama,hajawai kuisaidia chadema zaidi ya chadema kumsaidia.Kwa kweli slaa ni mbinafsi sana hakuwa na nia ya kuiona chadema ikienda ikulu zaidi alikuwa na nia kuona slaa anaenda ikulu