Dr. Slaa hatimaye aibuka

Dr. Slaa hatimaye aibuka

Kazee kanalilia kuukosa ugombea wa urais kaaazi kweli kweli!! Hivi kana ndoto kwamba kangeshinda kiti cha urais?
 
Hawa nao waache kutupigia makelele sasa tuna-focus kwenye uchaguzi
hizo tofauti zao kwa sasa waweke kando ..

siku zimebakia chake ..
 
Hivi wewe mpumbafu ni nani na umekifanyia nini mpaka umwandame Dr Slaa?
Ukute hujawahi ingiza hata mwanachama mmoja ila unajifanya jeuri kwa kuwa una-access na JF?
Unamhukumu mtu aliyehatarisha maisha yake kwa kumtabiria usaliti bila kumsikiliza?
Unakera sana,hata hujistukii kwanini watu wenye heshima kwenye chama na UKAWA wamekaa kimya na wengine hawalali ili kupata suluhu?
Acha uccm wako hapa,ndani ya CHADEMA kila mtu ni muhimu na anasikilizwa ,ndio maana ya Demokrasia.
Huo ufitini kaufanye na magamba wenzio na uache kuzuga watu eti mwanaCHADEMA.
Acha kujipendekeza na kunyenyekea binadamu mwenzako!

Alimkana Yerricko na leo amemkana Mnyika-soma Nipashe ya leo.

Huyo si malaika.
 
Wambea na wanafiki ndo nyie mnahangaika na Dr.Slaa kila siku kwani mgombea wenu magufuli amejitoa kwenye kugombea uraisi?
Emma! Jambo la kujiuliza ni kwanini hakupokea simu , halafu eti akajibu meseji haraka haraka. Kwani dr anaogopa kuongea akiwa tyr? Haogopi, na hivyo inawezekana maneno yaliyoandikwa hayajaandikwa na Dr wetu, jasiri wa mahadiliko ya Amani
 
Kwahiyo Hata Mimi Nilie Nje Ya Nchi Nitalikuta Wapi Nipashe? Ebu Wekeni Full Stori Watu Wote Tufaidi
 
I am pro change na mwanachama wa CDM. Politics is just like a game of chess and politicians are just pawns in the game. I respect Dr. Slaa ila aangalie sana misimamo yake ya chuma haiendani na karne ya 21. Misimamo ya aina hiyo ilpoteza malengo yake na kizazi cha akina Nyerere, Kenyatta etc.
 
Kwa taarifa zaidi unaweza kulipitia gazeti la nipasheView attachment 275720

Maramla mimi ninaona sas hivi magazeti yanafanya kila kinachowezekana kuweza kjipatia hela nzuri yaana kuongeza mauzo ya magazeti. Na hii trend ni hatari kwa taifa maana regardless na contents kama ni za kweli cha muhimu ni kuuza tu!
Angalia nchi za wenzetu hakuna UJINGA wa namna hii yaani mtu anatunga habari akiwa amelala kitandani na kesho iko magazetini! INASIKITISHA SANA!

Kuhusu issue ya Dr Slaa mimi ninaona imeanza kubore sana. Maana kama nikuachana na UKAWA aache au aseme anayotaka kuyasema. Nafikiri anajua yatakavyo msaidia kwa hapo baadae! Lakini akumbuke kuwa wanaomsubiri aseme au kuikana UKAWA ni wale anao wajua na ambao wanafikiri kukana kwake UKAWA itakuwa mtaji wake.
Dr Slaa anafahamu fika kuwa kama aliburuzwa na Mbowe kwa nini asingesimama na kuwakatalia pale pale? Hivi kamati kuu ina wajumbe wangapi? Nini maana ya majority ktk uamzi kama huo? Hapa tofautisha na EL kukatwa katika CC ya CCM!
My take: Hii ngonjera ya magezeti kuhusu Dr Slaa inazidi kwabore walio wengi ingawa si wale wa ng'ambo nyingine!
 
Acha kujipendekeza na kunyenyekea binadamu mwenzako!

Alimkana Yerricko na leo amemkana Mnyika-soma Nipashe ya leo.

Huyo si malaika.
Slaa hajawakana YERIKO NA MNYIKA, amewaumbua kwa kuwadanganya Watanzania.
 
Hao waliokanwa walileta habari za kweli? Kama walimlisha maneno?
Wee unafanya kazi za ccm acha kutuzingua mkuu!
Hivi imagine ,Kafulila anafanya kikao na Dr Slaa kwa saa 5,unafikiri ni mjinga?
Acha kuongozwa na hisia ndugu yangu wakati hujui ukweli.Ukweli anaujua Dr Slaa,Mbowe na wengineo.
Sisi yatupasa kuendelea na kazi za chama pasipo kukuza mambo tusiyoyajua sawasawa.
Slaa hanijui japo namjua kwa nafasi yake,hivyo siwezi kujipendekeza.
Inawezekana wewe unajipendekeza kwa unayemfahamu.
Kaa kimya kuhusu Dr Slaa mpaka atakapoeleza kulikoni ndio umhukumu.
Dr Slaa is not that foolish and traitor as you think.
Acha kujipendekeza na kunyenyekea binadamu mwenzako!

Alimkana Yerricko na leo amemkana Mnyika-soma Nipashe ya leo.

Huyo si malaika.
 
rudi kanisani ukachunge kondoo wa bibi wasipotee msituni we bado unajing'ang'aniza chadema tu ina maana hujuwi kukataliwa? Mbowe ameshamuuzia chama Lowasa na wewe umeshageuzwa kapi nenda kafanye yako kanisani!
 
Emma! Jambo la kujiuliza ni kwanini hakupokea simu , halafu eti akajibu meseji haraka haraka. Kwani dr anaogopa kuongea akiwa tyr? Haogopi, na hivyo inawezekana maneno yaliyoandikwa hayajaandikwa na Dr wetu, jasiri wa mahadiliko ya Amani

Huu ndo ukweli sisi tunasubiri kauli ya Dr.Slaa pia nawashangaa magamba wanahangaika na habari za CHADEMA kuliko za ccm hii inaonyesha hata ccm wameshaanza kukataa tamaa kuendelea kubaki madarakani .ule wimbo wao hatujinyongi ,hatunywi ccm mbele mbele wanatakiwa kuubadilisha kuimba tutajinyonga na kunywa sumu lakini ccm ndo bye bye .VOTE FOR UKAWA
 
Nina MASHAKA sana
yeye NA lipumba NI TIMU MOJA
MAADUI WA DEMOKRASIA YA KWELI!
 
CHADEMA kwanza SLAA baadae. Hakuna aliye juu ya CHAMA. Hakuna mwenye Kipaumbele kwenye chama zaidi ya mwingine. Tunaangalia kwa kipindi hiki Chama kinataka nini na si Slaa anataka nini. I am sorry DR. Kama hauko tayari CHADEMA iiondoe CCM madarakani, wengine tunataka. Unaweza kuendelea na mapumziko yako tu, lakini kaa ukijua ukichukua maamuzi kama ya Lipumba hautakaa ukumbukwe au uheshimiwe tena.
 
Back
Top Bottom