juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,475
Aongee asiongee,anyamze asinnyamaze,sisi tumeshamsahah
Amesema mvute subira, atakapokuja mnaweza kuomba poo shauri zenu.Namshauri Dr. APUMZIKE TU.......NI FAIDA KUBWA KWAKE AU AJE BILA MASHARTI
Haya maneno yenu ndiyo yanampandisha hasira Dr.Aongee asiongee,anyamze asinnyamaze,sisi tumeshamsahah
Hahaa, CC, Mama yetu Mshumbusi, unaona leo mnavyopopolewa mawe? Ama kweli mti wenye matunda.Kile kimama kinamsumbua sana babu, apumzike tu
Slaa na Lowassa nani anauzika, hasa tukisimama kwenye agenda ya kupinga ufisadi?Mi nilchojua slaa hakufurahishwa na ujio Wa lowasa yeye alkuwa anataka agombee urais yeye na ukawa hawakufanya kosa kumchagua lowasa kwa sbbu anauzika na anaushawishi Wa watu ningemshauri slaa arudi tuendelee kujenga chama
Hahaa, CC, Mama yetu Mshumbusi, unaona leo mnavyopopolewa mawe? Ama kweli mti wenye matunda.
Mabadiliko gani mnafanya? Kutoka Chama kinachopinga ufisadi kuwa chama cha mafisadi?Ajitokeze na afanye maamuzi yake,sisi tunaendelea na mabadiliko yetu,
Kura zimepigwa lini ?Magufuli hafai akiwa waziri aliuza nyumba za serikali je akiwa raisi mtauzwa mpaka nyie majinga mnaoishabikia ccm
Akili hamnazo kabisa, leo hii SLAA na familia yake ni watu wa kudhihakiwa hivi?Muandikie msg Dr, mama atakujubu ili ufurahi.
Muacheni babu apumzike
Mimi nasubiri tu makombora ya SLAA kwenda kwa Lowassa, mbona mtakaa tu.Sihitaji ushawishi wa dr.slaa kumchagua lowasa..akae kimya aondoke tutachagua tuu.
Wambea na wanafiki ndo nyie mnahangaika na Dr.Slaa kila siku kwani mgombea wenu magufuli amejitoa kwenye kugombea uraisi?Tuna imani na media zetu, au leo hii hauliamini tena gazeti la Nipashe? Lingekuwa limeamdika Uhuru labda mngesingizia kuwa ni la CCM. au Wambea unaozungumzia ni akina Mbowe, Mnyika na Yeriko Nyerere?