Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,566
Mbowe tayari kaanza kuugua SLAAISM.
Hata wewe ni mgonjwa bora hata Mbowe ameshapona wewe unaweza kupoteza hata maisha very soon.
Mbowe tayari kaanza kuugua SLAAISM.
Akili hamnazo kabisa, leo hii SLAA na familia yake ni watu wa kudhihakiwa hivi?
We kiazi hayo ndiyo leo unayaona kisa tu dr slaa anapingana na ufisadi wenu kumbuka slaa anapinga ufisadi wenu kamwe hataweza kuunga mkono ufisadi wenu.Nikatibu anae lipwa mshahala mkubwa sawa na mbunge...ni katibu aliye jikopesha ruzuku ya chama, ni katibu aliye mpa mchumba wake cheo makao makuu ya chama
Magufuli atakuwa mwenyekiti wa kwanza wa ccm ambaye hatakuwa raisi mjiandae kisakolojia maccm kukabithi nchi kwa amani kwa UKAWAMkuu tangu Lowasa aingie CHADEMA huruhusiwi kumuita mtu FISADI bila kumpeleka mahakamani. Kwa hiyo kwa sababu Magufuli hakupelekwa mahakamani basi ni mtu safi tu.
CHANZO: NIPASHE
Mytake: Kauli hizi za Dr. Slaa zinazidi kuonesha namna gani baadhi ya viongozi na wasemaji wa CHADEMA wanavyojribu kuwahadaa Watanzania kuhusu Sakata la Mwanasiasa huyu tegemeo kabisa katika CHADEMA. Sote tunaothamini mchango wa Dr. Katika kukijenga chama hatuna budi sasa tuachane na habari za hawa watu na tusubiri kauli ya Dr. Slaa mwenyewe.
Kauli ya Dr. Slaa imekuja wakati tayari zilishatolewa taarifa mbalimbali na viongozi na wasemaji wa Chadema kuhusiana na sakata hili, taarifa ambazo kwa kauli hii ya Slaa ni wazi zilikuwa ni za kuwahadaa watanzania. Kauli hizo ni pamoja na:
1. Dr. Slaa ameamua kupmzika, akiwa tayari atajiunga nasi-FREEMAN MBOWE
2. Dr. Slaa kukutana na Secretarieti ili kupanga mikakati ya ushindi ya UKAWA-YERIKO NYERERE
3. DR. SLAA atazindua Kampeni za UKAWA-JOHN MNYIKA n.k
Nyie mafisadi mwacheni mzee slaa na uadilifu wake nyie endeleeni na ufisadi wenu tena mkome kabisa kumwandama endeleeni na ufisadi wenu.Hata wewe ni mgonjwa bora hata Mbowe ameshapona wewe unaweza kupoteza hata maisha very soon.
Nyie magamba mnacheza ngoma ambayo haiwahusu mwaka huu mtaisoma namba.mtajinyonga na kunywa sumu kwa sana.Nyie mafisadi mwacheni mzee slaa na uadilifu wake nyie endeleeni na ufisadi wenu tena mkome kabisa kumwandama endeleeni na ufisadi wenu.
Kwanini hapokei simu? Bali anajibu sms tu, tena haraka. Huyo si Dr. Slaa.
Mafisadi nyie mafisadi mliokubuhu kabisa kwa ufisadi nyie ni mafisadi papa.Nyie magamba mnacheza ngoma ambayo haiwahusu mwaka huu mtaisoma namba.mtajinyonga na kunywa sumu kwa sana.
CHANZO: NIPASHE
Mytake: Kauli hizi za Dr. Slaa zinazidi kuonesha namna gani baadhi ya viongozi na wasemaji wa CHADEMA wanavyojribu kuwahadaa Watanzania kuhusu Sakata la Mwanasiasa huyu tegemeo kabisa katika CHADEMA. Sote tunaothamini mchango wa Dr. Katika kukijenga chama hatuna budi sasa tuachane na habari za hawa watu na tusubiri kauli ya Dr. Slaa mwenyewe.
Kauli ya Dr. Slaa imekuja wakati tayari zilishatolewa taarifa mbalimbali na viongozi na wasemaji wa Chadema kuhusiana na sakata hili, taarifa ambazo kwa kauli hii ya Slaa ni wazi zilikuwa ni za kuwahadaa watanzania. Kauli hizo ni pamoja na:
1. Dr. Slaa ameamua kupmzika, akiwa tayari atajiunga nasi-FREEMAN MBOWE
2. Dr. Slaa kukutana na Secretarieti ili kupanga mikakati ya ushindi ya UKAWA-YERIKO NYERERE
3. DR. SLAA atazindua Kampeni za UKAWA-JOHN MNYIKA n.k
Dr s. Anamaadili na anajitambua..... Kama 2010 mbowe na wabunge wa chadema walitoka bungeni wakidai dr silaa alishinda uchaguzi ila akaibiwa kuraa kwanini safariii hiii asiweze kushindaaa amaa walitudanganyaaa au deal la billion 10 ni la ukweli kwa kamanda wa angaa. Mzee wa mabisinessss
Katika kupinga mafisadi tupo pamoja na dr slaa kwenye kupinga mafisadi kama wewe fisadi.Toka lini wewe gamba umekuwa shabiki Wa Dr Slaa na CDM? Mtaweweseka sana mwaka huu lakini meli ya UKAWA imeshang' oa nanga na haiwezi kusubiri mtu.Mabadiliko hayawezi kusubiri mtu
Kura zimepigwa lini ?Magufuli hafai akiwa waziri aliuza nyumba za serikali je akiwa raisi mtauzwa mpaka nyie majinga mnaoishabikia ccm