CHANZO: NIPASHE
Mytake: Kauli hizi za Dr. Slaa zinazidi kuonesha namna gani baadhi ya viongozi na wasemaji wa CHADEMA wanavyojribu kuwahadaa Watanzania kuhusu Sakata la Mwanasiasa huyu tegemeo kabisa katika CHADEMA. Sote tunaothamini mchango wa Dr. Katika kukijenga chama hatuna budi sasa tuachane na habari za hawa watu na tusubiri kauli ya Dr. Slaa mwenyewe.
Kauli ya Dr. Slaa imekuja wakati tayari zilishatolewa taarifa mbalimbali na viongozi na wasemaji wa Chadema kuhusiana na sakata hili, taarifa ambazo kwa kauli hii ya Slaa ni wazi zilikuwa ni za kuwahadaa watanzania. Kauli hizo ni pamoja na:
1. Dr. Slaa ameamua kupmzika, akiwa tayari atajiunga nasi-FREEMAN MBOWE
2. Dr. Slaa kukutana na Secretarieti ili kupanga mikakati ya ushindi ya UKAWA-YERIKO NYERERE
3. DR. SLAA atazindua Kampeni za UKAWA-JOHN MNYIKA n.k