Dr. Slaa hatimaye aibuka

Dr. Slaa hatimaye aibuka

hata wanaomsifia lowassa ni wale team lowassa na friends of lowassa wala wanachadema wala.msitudanganye.... hlo tumelijua, wakeleketwa wa chadema wanamlilia dr.slaa...


Sio kweli. Sasa hivi sisi wote tuko na Lowassa. Wanaomlilia Dr.Slaa ni CCM ambao ni wanafiki km wewe. Sisi tuko na Lowassa. Dr.Slaa alishagombea 2010 akaibiwa kura. Mwaka huu tumebadili gia angani. Tutalinda kura mpk dakika za mwisho
 
mabadiliko ya kuitoa ccm ya kikwete kuingiza ccm ya lowasa na washilika wake eti wabongo wanaita mabadiliko hahahaaa mnachekesha sana kweli wabongo bado niwajinga
 
Ingekuwa hainihusu msomaji wasingechapisha...

Kwani wamekuchapishia wewe?Mbona mnajadili sana mambo ya CHADEMA huko ccm mmeshanyanganyikiwa kabisa poleni moto wa UKAWA utaunguza wengi
 
lowassa akiwa waziri mkuu kawalaghai watanzania kwa kuleta kampuni feki ya kufua umeme au hlo ww hujaliona.... baada ya kukatwa jina na CCM katika kuwania urais, akainunua chadema na vibaka wake ote kwa tsh.bil.10 hlo ww hujaliona?
kama una ushahidi peleka mahakamani kama huna endelea kunyamaza kimya.
 
Hawa watu wa suti nyeusi ni wakuangalia sana;
Inawezekana naye ameshapokea 3.5b/=.
........... Mpinzani aliyebaki kwa sasa ni Mbowe tu;tutaenda naye tu.

PROBABLY A MESH A POKEA MLUNGULA KIBAYA YUPO NJIA PANDA ,,
->>akitoa tamko lisilopendeza kwa walio MPA mlungula,Itamlazimu arudishe fedha zote,
->>nategemea kauli mbaya toka kwake KWA 100%
-->>BUT ITS TOO LATE,TAMKO LAKE LOLOTE HALITAWEZA KUWARUDISHA WATANZANIA NYUMA,
vipande 30,vipande 30,vipande 30.
 
Sio kweli. Sasa hivi sisi wote tuko na Lowassa. Wanaomlilia Dr.Slaa ni CCM ambao ni wanafiki km wewe. Sisi tuko na Lowassa. Dr.Slaa alishagombea 2010 akaibiwa kura. Mwaka huu tumebadili gia angani. Tutalinda kura mpk dakika za mwisho


Tuwe makini katika mambo tunayoandika, tunapaswa kukumbuka kuwa Dr. amefanya kazi kubwa sana ndani ya CDM. Kutokukubaliana katika maisha ni jambo la kawaida, anazo hoja ambazo kwa maoni yangu alikuwa sahihi. Isipokuwa watu kwa wakati huu wanataka mabadiliko kutokana na fursa iliyopo na mara nyingi haziji mara mbili. Hawa jamaa wakiachiwa wakati huu watajipanga na hawatafanya makosa .

Ni vizuri Dr. akaliangalia hilo na kutafuta suluhu badala ya kuwa na misimamo mikali ambayo itapunguza fursa hii muhimu kwa wakati huu. Suala la wizi wa kura hata mwaka huu huwezi kulikwepa, ikiwa wanaibiana wenyewe ndani ya chama chao sembuse za wapinzani? Lakini wizi unakuwa mgumu iwapo kunakuwa na ushindi mkubwa. Hivyo tunamhitaji Dr. sasa hivi kuliko wakati mwingine wowote, yeyote anayeweza kusaidia hilo na alifanye kwa moyo wote.
 
David Beckham alipotoka Man U ndipo alivyozidi kupaa pamoja na fedha nyingi tu hadi kustaafu mpira
 
CHANZO: NIPASHE


Mytake: Kauli hizi za Dr. Slaa zinazidi kuonesha namna gani baadhi ya viongozi na wasemaji wa CHADEMA wanavyojribu kuwahadaa Watanzania kuhusu Sakata la Mwanasiasa huyu tegemeo kabisa katika CHADEMA. Sote tunaothamini mchango wa Dr. Katika kukijenga chama hatuna budi sasa tuachane na habari za hawa watu na tusubiri kauli ya Dr. Slaa mwenyewe.

Kauli ya Dr. Slaa imekuja wakati tayari zilishatolewa taarifa mbalimbali na viongozi na wasemaji wa Chadema kuhusiana na sakata hili, taarifa ambazo kwa kauli hii ya Slaa ni wazi zilikuwa ni za kuwahadaa watanzania. Kauli hizo ni pamoja na:

1. Dr. Slaa ameamua kupmzika, akiwa tayari atajiunga nasi-FREEMAN MBOWE

2. Dr. Slaa kukutana na Secretarieti ili kupanga mikakati ya ushindi ya UKAWA-YERIKO NYERERE

3. DR. SLAA atazindua Kampeni za UKAWA-JOHN MNYIKA n.k


Poor CCM sympathizer!!!
Mhe. Dr. Slaa akirudi ofisini kwake utaandika nini? Huo unaoufanya ndio unaitwa unafiki wa kisiasa.

Hujawahi kumpenda Mhe.Slaa hata siku moja ila maccm mnatamani kila leo kwetu kuharibike.

Mtashindwa sana.

BTW Idadi KUBWA ya wenyeviti na makada wa CCM wamehamia CHADEMA.

Umepata habari hizi? Leo alikuja Hamisi Mngeja na John Guninita.

Tunakungoja nawe uje.​
 
na siku akiwaumbua kwa kusema maovu yote ya mbowe juu ya kuingia kwa lowassa kwa hati ya dhalula na kupewa nafasi ya kugombea urais itakuaje?
Taratibu za jumuiko ni maamuzi ya chama kama kamati kuu na Baraza kuu la chadema walipitisha maamuzi ya kumkaribisha Lowassa basi Mbowe hana cha kulaumiwa na mtu yeyeote
 
Umeshakuwa msemaji wa ukawa???wapeni mabilioni tu lakini hata akiondoka it is too
chanzo: nipashe


mytake: Kauli hizi za dr. Slaa zinazidi kuonesha namna gani baadhi ya viongozi na wasemaji wa chadema wanavyojribu kuwahadaa watanzania kuhusu sakata la mwanasiasa huyu tegemeo kabisa katika chadema. Sote tunaothamini mchango wa dr. Katika kukijenga chama hatuna budi sasa tuachane na habari za hawa watu na tusubiri kauli ya dr. Slaa mwenyewe.

Kauli ya dr. Slaa imekuja wakati tayari zilishatolewa taarifa mbalimbali na viongozi na wasemaji wa chadema kuhusiana na sakata hili, taarifa ambazo kwa kauli hii ya slaa ni wazi zilikuwa ni za kuwahadaa watanzania. Kauli hizo ni pamoja na:

1. Dr. Slaa ameamua kupmzika, akiwa tayari atajiunga nasi-freeman mbowe

2. Dr. Slaa kukutana na secretarieti ili kupanga mikakati ya ushindi ya ukawa-yeriko nyerere

3. Dr. Slaa atazindua kampeni za ukawa-john mnyika n.k
 
hizi story za kuficha mambo na kusema kila siku 'nitazungumza mda ukifika' inanikumbusha ishu ya ulimboka.. ambae alijinasibu kuwa atasema mpaka leo hatujui yupo wapi!... slaa hatakuja kusema kamwe.... atakuja kusema namwachia mungu..
 
rais kwa wanaccm ila sio rais wa taifa. Weka akilini mwako yakuwa RAIS ajaye wa taifa letu kamanda LOWASSA anakamilisha ratiba tu
 
Ndugu zanguSlaa si mali kama mnavyo fikiria yeye kazi ni kutafuta mabomu ya uongo ya ccm leo kaona anyetoka jikoni kabisa yaani EL hana cha kuongopa tena . Akapumzike akita aennde ACT
 
Siasa za Tanzania zimemtenda vibaya sana Dr. Slaa. Apumzike tu na aachane na siasa kapigwa bao dk ya 90
 
Ivi dr. Akifa leo chadema inakufa? Mbona kila mara dr dr chama kita songa mbele hata akifa....
 
Back
Top Bottom