Wapoti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 2,824
- 1,099
CCM hawana mgombea. Wao wana Rais tayari.
Teh teh teh teheeeee raisi wa saiti sio wa nchi
CCM hawana mgombea. Wao wana Rais tayari.
hivi CCM wamesahau kuwa wana mgombea wao na wanahitaji kumpigia kampeni?
Lowassa atake asitake nitampa kura yangu
Tusha choka Kauli za Dr kila siku atasema, mara natishiwa maisha nikiwa tayari nitazungumza na waandishi Daaaaaa!
Hivi hakuna habari nyingine mpya zaidi ya Slaa. Kwanini wasisubiri mpaka aitishe press ndio waje na habari zake kamili kila kukicha Slaa tumechoka
Katika historia yake, Dr Slaa hajawahi kuukamia uongozi.
Kweli mkuu. Nadhani ndio maana wameamua kutuwekea wagombea wawili, mmoja CCM mngine CHADEMA. Uwezekano wa huyu wa CHADEMA kushinda ni mkubwa sana. Kwa hiyo huyu walietuletea CHADEMA akiwa Rais, yule waliyemuweka CCM atakuwa Mwenyekiti wa chama - Hilo nadhani ndo linaitwa Bao la mkono.
Hatutaki unafiki wala umbea tunasubiri kauli yake mwenyewe rasmi hivi mkimwona Dr.Slaa anazindua kampeni za uraisi mtaficha wapi nyuso zenu?
Slaa hahangaiki na Chadema, ila Chadema ndio wanaohangaika kumrudisha Slaa kwenye Chama.
Jiulize toka Slaa amekaa pembeni ni viongozi wangapi wa Chadema wamemfuata kuzungumza nae.
Anachofanya Slaa ni kukanusha propaganda za viongozi na wafuasi wa Chadema.
Alichokifanya Mbowe ni uhuni, wengi hatuipendi ccm lakini huwezi kusema tuitoe kwa gharama yoyote ile.
Mwacheni Dr.Slaa apumzike..... wenye kuamini kuhusu misingi na Demokrasia ya Chadema tumekaa pembeni tunawaangalia mnavyojikaanga wenyewe.
Hoja zote zilizoipa Chadema Umaarufu zimetupwa kampuni, sasa hivi hoja kuu ya Chadema ni Lowassa....Lowassa amekuwa kama mgombea binafsi ndani ya Chadema.