Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
Mbona hii hujibu?Mkuu bado unauliza hayo pamoja na kujua katiba ya CCM?
Mimi nilimsikia Dr. Slaa akisema wanaoshabikia hoja ya kadi ni mbumbumbu, unasemaje?
![]()
Mbona hii hujibu?Mkuu bado unauliza hayo pamoja na kujua katiba ya CCM?
Mimi nilimsikia Dr. Slaa akisema wanaoshabikia hoja ya kadi ni mbumbumbu, unasemaje?
![]()
- Alianza Mheshimiwa Nape kwa kusema kwamba Dr. Slaa anayo kadi ya CCM, Dr. Slaa akamjibu kwamba ni kweli anayo, and then Mh. Nape akaongeza tena kwamba DR. Slaa amekuwa akiilipia Kadi yake ya CCM kila Mwezi, akiwa na maana hata Mwezi uliopita ameilipia, na yupo tayari kuonyesha risiti za Dr. Slaa akilipia kadi yake hiyo ya CCM.
- Mpaka leo Dr. Slaa hajakanusha wala kukubali kwamba huwa anailipia kadi yake, huu ni wakati muafaka sasa Chadema na Dr. Slaa wakakanusha au kukubali, ama sivyo inaweka wingu kubwa sana kwenye Uongozi wao wa Taifa na Mamluki, hasa ukizingatia kwamba ni majzui tu Chadema wamefukuza the so called Mamluki, sasa kama kina Slaa wanaachiwa ina maana Chadema ikishika Taifa kutakuwa na Sheria mbili, moja ya Slaa na nyingine ya wananchi wa kawaida?
LE MUTUZ - THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA. at williammalecela.blogspot.com
Mkuu tulishasoma na post zako za Facebook:
@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!: Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!
- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!
KIDUMU CCM!
KIDUMU CHAMA TAWALA!!
HA! HA! HA! HA!
- LE MUTUZ!!
Naona ndio hivyo unatekeleza Operation Chaos. Watu wameamka hawadanganyiki.
Naona hata Mwigulu Nchemba concentration ni Dr. Slaa.
Tunazidi kumsikiliza Dr. Slaa kwa kuwa mmempromote sana.
mbona hii hujibu?
- Absolutely nothing to do na the ishu, Slaa na Chadema wanahitaji kukanusha kwamba Slaa halipii kadi yake ya CCM aliyokubali kuwa nayo! le mutuz
Mkuu Mwanaukweli huyu kilaza hawezi kujibu hii hoja. Atajibu utumbo tu. Hebu msome hapa chini. Huyu angekuwa mtoto wa mkulima angeishia darasa la saba. Hamna kitu kichwani.Mkuu una maana kuwa yeye ni mwanachama wa CCM?
![]()
Hili sharti la kutoka uanachama unapojiunga na chama cha upinzani unasemaje?
Mkuu katiba ya CCM inasema uanachama wa mwanachama wa CCM unakoma pale anapojiunga na chama Kingine. Kwanini uanachama wa Dr. wa ukweli Slaa usikome? Au yeye ni exceptional? Na kama Dr. ametenda dhambi ya usaliti kwa kujiunga na chama kingine, inakuwaje vigumu CCM kumfukuza?- I mean ukiwa na kadi ya chama kingine cha siasa na unailipia kila mwezi si unakuwa mwanachama wa kile chama au?
le mutuz
- Ndio tatizo letu kubwa Africans, huwa tunadharau sana mambo flani na kuyaita madogo ukweli ni kwamba record inajiweka wazi hapa kwamba Slaa akipewa Uongozi wa Jamhuri atakuwa ni Kiongozi wa namna gani na Chadema pia mkipewa uongozi wa Jamhuri mtakuwa ni watawala wa namna gani, mtakuwa mnaoena wadogo tu na kuwaacha wakubwa kwa visingizio kwamba ni mambo madogo!!
- Katibu Mkuu mzima wa Chama cha Ukombozi, amegombea mpaka Urais na bado anataka kugombea tena leo anakutwa na kadi ya CCM, mnajaribu kila njia kumtetea je akiwa Rais itakuwaje?
Kwenye hili Chadema mnatungusha sana Taifa hili, kama Slaa ana kadi ya CCM na anailipia basi hafai kuwa kiongozi wa Taifa huko Chadema wala Jamhuri na inaleta maswali magumu sana kama kweli mpo serious na kushika Taifa!!
le mutuz
Tunategemea chama tawala kiwe na mikakati ya maendeleo ya watu!Mkuu tulishasoma na post zako za Facebook:
@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!: Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!
- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!
KIDUMU CCM!
KIDUMU CHAMA TAWALA!!
HA! HA! HA! HA!
- LE MUTUZ!!
Naona ndio hivyo unatekeleza Operation Chaos. Watu wameamka hawadanganyiki.
Naona hata Mwigulu Nchemba concentration ni Dr. Slaa.
Tunazidi kumsikiliza Dr. Slaa kwa kuwa mmempromote sana.
- Alianza Mheshimiwa Nape kwa kusema kwamba Dr. Slaa anayo kadi ya CCM, Dr. Slaa akamjibu kwamba ni kweli anayo, and then Mh. Nape akaongeza tena kwamba DR. Slaa amekuwa akiilipia Kadi yake ya CCM kila Mwezi, akiwa na maana hata Mwezi uliopita ameilipia, na yupo tayari kuonyesha risiti za Dr. Slaa akilipia kadi yake hiyo ya CCM.
- Mpaka leo Dr. Slaa hajakanusha wala kukubali kwamba huwa anailipia kadi yake, huu ni wakati muafaka sasa Chadema na Dr. Slaa wakakanusha au kukubali, ama sivyo inaweka wingu kubwa sana kwenye Uongozi wao wa Taifa na Mamluki, hasa ukizingatia kwamba ni majzui tu Chadema wamefukuza the so called Mamluki, sasa kama kina Slaa wanaachiwa ina maana Chadema ikishika Taifa kutakuwa na Sheria mbili, moja ya Slaa na nyingine ya wananchi wa kawaida?
LE MUTUZ - THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA. at williammalecela.blogspot.com
Mwita Maranya sijaelewa kwani huko kwiro ndo wapi na kuna nini kinachomhusu huyu Kada?Ni kweli Dr. Slaa anayo kadi ya ccm na anaendelea kuilipia.
Sasa unaweza kurudi huko Kwiro
ccm makini wanakosoa huu mpango wa W.Malecela na Nape,huyu ni baharia na si mwanasiasaMkuu tulishasoma na post zako za Facebook:
@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!: Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is workingkwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!
KIDUMU CCM!
KIDUMU CHAMA TAWALA!!
HA! HA! HA! HA!
- LE MUTUZ!!
umenidhalilisha! Naomba unitake radhi, nipo bussy nawafundisha paka wangu kula bila kufungua mdomo, afu unanichanganya na kuniita ita hovyo huku! Hubby plz niwacheeeeeeee nipumuweeeeeee.........!mkuu mwanaukweli huyu kilaza hawezi kujibu hii hoja. Atajibu utumbo tu. Hebu msome hapa chini. Huyu angekuwa mtoto wa mkulima angeishia darasa la saba. Hamna kitu kichwani.
Mkuu katiba ya ccm inasema uanachama wa mwanachama wa ccm unakoma pale anapojiunga na chama kingine. Kwanini uanachama wa dr. Wa ukweli slaa usikome? Au yeye ni exceptional? Na kama dr. Ametenda dhambi ya usaliti kwa kujiunga na chama kingine, inakuwaje vigumu ccm kumfukuza?
We ngoja nikuachie bigirita na cacico ndio wanakuwezeaga.
tena akazanie dose ya minyoo! La sivyo hupata kikohozi kama mtu mwenye tb! Sabal kheri Bigirita!vijana wa arusha wanawaita watu kama hawa .........wala utumbo.
Mtu anayekula utumo wa kuku unategemea awe na akili ya aina gani.
Mwita Maranya sijaelewa kwani huko kwiro ndo wapi na kuna nini kinachomhusu huyu Kada?