Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

Kuongoza ni Pamoja na kumwambia kipi ni Kibaya na Kipi ni Kizuri.Ndio maana wanatuambia Hadharani USIIBE.Na hapa wametuambia hadharani tupige KURA YA HAPANA kwa sababu Katiba inayopendekezwa inaenda tofauti na Matakwa ya Mungu aliye Hai.

Mbona umeenda nje ya mada, USIIBE ipo kwenye amri kumi za Mungu kwa hiyo kama viongozi wa Dini wanahaki kutuambia tusiibe kutokana na maandiko yanavyotuambia na kufuata biblia.

Nikuulize swali kwani kwenye biblia kuna kipengele kinachozungumzia KATIBA na Mungu akasema tuseme hapana? Kama kipo Pengo atakuwa amefanya kosa kwenda kinyume na maandiko, na kama hamna Gwajima amefanya kosa kubwa kumtukana Pengo kama amepindisha maandiko kwa kuwaambia waumini wachague wenyewe kadri Roho Mtakatifu atakavyowashauri kama ndio au hapana.

Gwajima ana Roho Mtakafujo ndani yake na Pengo ana Roho Mtakatifu ndani yake.
 
Alienda pia kuwatembelea na kuwafariji waumini wa msikiti ule ulioungua kinondoni

Kuna watu waliishajitoa ufahamu kbs. Huu udini ulionaasisiwa na ccm ni hatari
 
Mbona umeenda nje ya mada, USIIBE ipo kwenye amri kumi za Mungu kwa hiyo kama viongozi wa Dini wanahaki kutuambia tusiibe kutokana na maandiko yanavyotuambia na kufuata biblia.

Nikuulize swali kwani kwenye biblia kuna kipengele kinachozungumzia KATIBA na Mungu akasema tuseme hapana? Kama kipo Pengo atakuwa amefanya kosa kwenda kinyume na maandiko, na kama hamna Gwajima amefanya kosa kubwa kumtukana Pengo kama amepindisha maandiko kwa kuwaambia waumini wachague wenyewe kadri Roho Mtakatifu atakavyowashauri kama ndio au hapana.

Gwajima ana Roho Mtakafujo ndani yake na Pengo ana Roho Mtakatifu ndani yake.

Naam,Mungu anasema usiabudu Miungu wengine wala kushikamana na njia zisizofaa.Kitendo cha MAHAKAMA YA KADHI kutaka kuingizwa kwenye Katiba ni sawa na kushirikisha wakristo kuabudu Miungu Mingine.Kitendo cha Kodi ya Mkristo na Mbunge wa Kikristo kuchangia Fedha na Mawazo ili kuboresha MAHAKAMA YA KADHI ni sawa na kumsaliti Mungu wao(YEHOVA) na kuanza kutumikia Matakwa ya Miungu wengine.Kama upo vizuri mimi nipo tayari kukurushia Vifungu vingi vya Biblia vinavyoonyesha jinsi gani MAHAKAMA YA KADHI ni ibada batili kwa Wakristo na hivyo haifai kuwashirikisha wakristo katika utekelezaji wake.Kwa hiyo Maaskofu wana uhalali wa kuwaambia Wakristo waikatae katiba inayowashirikisha kwenye IBADA YA miungu.
 
Dr. Slaa ameonyesha ukomavu wa kisiasa na kidini. Japokuwa aliyetukanwa ni askofu wa dhehebu lake, ameonyesha uvumilivu mkubwa wa kidini.
 
Kutukana viongozi wa dini ni hatari sana Mungu hushusha mapigo mapema, hilo ni pigo dogo tu aite sasa watu waje kumrekodi mapigo yake ya moyo
 
Gwajima ,laana za mbasha bado zinamuandama ,ama kweli mke wa mtu sumu
 
Asalaam aleykum !
Dr slaa ameonesha upendo wa hali ya juu sana alipomtembelea mtumishi wa bwana askofu Gwajima, hali ilikuwa shwari utulivu wa hali ya juu na ulinzi ukiwa umeimarishwa mara dufu.

Nimejaribu kudadisi afya ya Gwajima inaonekana inaendelea vema na baadae tutajulishwa zaidi akipata nafuu na kuruhusiwa. Makachero wanamlinda Gwajima ila kivutio ulikuwa ujio wa Dr Slaa shughuli zilisimama na wagonjwa wakapata nafuu nakusema yuko wapi Rais wa mioyo ya watu tumshike mkono!

Dr ni mtu wa upendo na huruma daimaaa
 
Teh teh teh Dr.Slaa kaenda kumfariji.

Dr slaa muungwana sana hana makuu! Lakini pia Pengo ajirekebishe! Huwezi kusaini makubaliano baadae unazungumza na vyombo vya habari kwamba mimi sikuhusika wala sikuwepo kwenye kikao cha maaskofu; huyu pengo ni tatizo hapa .
 
Kamueleze Kova, mimi najua nitapiga kura gani.

Naam,Nashukuru kama umeelewa kwamba Maaskofu wako sahihi kuwaambia Wakristo wapige Kura ya HAPANA kwa katiba inayopendekezwa.Kama utahitaji maelekezo yoyote nipo hapa pembeni kukusaidia.
 
Unaivunjia hadhi Bukoba, huko sijaona watu wajinga wajinga wasiojuwa hata "idiom" ni nini.

Hiyo sio idiom hata kidogo,birds of the same feathers flock together ndio idiom and by the way mm sio wa bukoba.
 
Asalaam aleykum !
Dr slaa ameonesha upendo wa hali ya juu sana alipomtembelea mtumishi wa bwana askofu Gwajima, hali ilikuwa shwari utulivu wa hali ya juu na ulinzi ukiwa umeimarishwa mara dufu.

Nimejaribu kudadisi afya ya Gwajima inaonekana inaendelea vema na baadae tutajulishwa zaidi akipata nafuu na kuruhusiwa. Makachero wanamlinda Gwajima ila kivutio ulikuwa ujio wa Dr Slaa shughuli zilisimama na wagonjwa wakapata nafuu nakusema yuko wapi Rais wa mioyo ya watu tumshike mkono!

Kama Imetungwa Vile ........
 
sioni ajabu yoyote kwa Dk Slaa kumtembelea Gwajima hospitali,ni ktk hali ya kibinadamu na maamuzi binafsi ya mtu mwenyewe
 
Back
Top Bottom