Kwa mwenye akili atajifunza jambo hapa.Kuanzia urafiki wa SLAA na GWAJIMA na kutukanwa kwa kardinali PENGO.Kwani hata mwanasheria wa Dr Slaa ndg John Malya ndio mtetezi wa Gwajima polisi.Naam! Gwajima kinachomtia hatiani ni maneno makali lakini kusudio lake lilikuwa fine
Akiamka Tuu kanisa halipo...Yani ameulizwa mali anapata wapi anapandisha pressure..
Birds of a feather flock together.
Lazima presha ipande...walimgusa pabaya
Mkuu hata kama unamchukia Gwajima kwa maneno makali dhidi ya Pengo kitu ambacho sikubaliani naye pia, lakini kwenye hili la afya ni vema kumjulia hali kwani uhai kwanza mambo mengine baadae. Slaa ameonesha upendo wa hali ya juu sana.
Kwa mwenye akili atajifunza jambo hapa.Kuanzia urafiki wa SLAA na GWAJIMA na kutukanwa kwa kardinali PENGO.Kwani hata mwanasheria wa Dr Slaa ndg John Malya ndio mtetezi wa Gwajima polisi.
Kutokwenda kumjulia hali huyo Nabii feki kusingempunguzia kitu Slaa kuliko kwenda,wakatoliki na waislam watakua na maswali mengi ya kujiuliza juu ya Slaa kushirikiana na mhuni huyo
mbona atukumuona kwa ponda alipodugwa risasi
unanajisi lugha ya watu, bora utumie lugha ya akina Makata, Subian, Sheiktwain etc
Pnlice kuna nini hata Lipumba alitoka hoi.Anayaweza Mbowe na Mtikila.
Hata haya huna?
Pitia hizi link uelimike japo kiduchu, siku nyingine usibishane nami kwenye lugha ambayo hata ndoto nnaota kwa lugha hiyo:
Birds of a feather flock together - meaning and origin.
birds of a feather flock together definition, meaning - what is birds of a feather flock together in the British English Dictionary & Thesaurus - Cambridge Dictionaries Online
Birds of a feather flock together - Idioms by The Free Dictionary
Urban Dictionary: Birds of a feather flock together
birds of a feather flock together - Wiktionary
Hivi shule ulienda kusomea ujinga?
Kwa mwenye akili atajifunza jambo hapa.Kuanzia urafiki wa SLAA na GWAJIMA na kutukanwa kwa kardinali PENGO.Kwani hata mwanasheria wa Dr Slaa ndg John Malya ndio mtetezi wa Gwajima polisi.
Kwa mtindo huu Slaa atakosa kura za upande mmoja
Dr Slaa Vs Mahimbo =JOSEPHINE
Gwajima Vs Mbasa= FLORA
Ndege wafananao huruka pamoja.
Mchunge mkeo kwa usalama wa ndoa yako.