Asalaam aleykum !
Dr slaa ameonesha upendo wa hali ya juu sana alipomtembelea mtumishi wa bwana askofu Gwajima, hali ilikuwa shwari utulivu wa hali ya juu na ulinzi ukiwa umeimarishwa mara dufu.
Nimejaribu kudadisi afya ya Gwajima inaonekana inaendelea vema na baadae tutajulishwa zaidi akipata nafuu na kuruhusiwa. Makachero wanamlinda Gwajima ila kivutio ulikuwa ujio wa Dr Slaa shughuli zilisimama na wagonjwa wakapata nafuu nakusema yuko wapi Rais wa mioyo ya watu tumshike mkono!
Mchecheto,nabii mzima anaogopa jela.Hahahahahaaa😀😀
Polisi watatueleza vzr walimfanya nn jembe letu.
Ulikuwa ni upepo tu, ukapita na nchi ilimshinda.
We mbulula umevamia mada kwa hasira ingawa inaonyesha hujui chochote,hata huyo Gwajima mwenyewe humjui, uliwahi kusikia wapi Gwajima kajiita nabii?acha kuzua zua mambo hovyo kama mwanamke, Gwajima alimkemea pengo kwa kitendo cha pengo kuonyesha kuipigia debe mahakama ya kadhi ambayo walikubaliana kuipinga, yeye akasaliti, sasa wewe mbulula unatapika tu au unajisaidia? Malizia kujisaidia mkuu halafu uje tena
Kikwete na Nyerere yupi nchi imemshinda?
Wakati wa nyerere kwenda kwenu hadi likizo na ukiteleza likizo inaishia njiani.kikwete kakuletea maendeleo leo babako ana uwezo wa kukutaarifu kakutumia mahindi saa 12 asubuhi saa 9 mchana umeyapata
Kikwete na Nyerere yupi nchi imemshinda?
Dr.Slaa alimtembelea hata Shekh Ponda baada ya kupigwa Risasi ya Bega.Huyu Jamaa ni Mkombozi na Kipenzi cha watanzania wanaonyanyasika.
Ulikuwepo wakati wa Nyerere?
Birds of a feather flock together.
Gwajima unavuka maji sio size yako ,Gwajima ni professional wa waimba kwaya wake tu
Anajikomba Kwa MZEE wa misukule labda Anadhani itamsaidia kushinda.Mbona shida kaugua mpaka kafariki hatukumuona slaa.shida alikua mjumbe cc chadema
Wewe acha kupotosha huzo ni kodizetu na mengineyo kwa msaada wa marekani.