Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,535
- 20,730
Umesema vema na very accurately...very clear...!!! U hit the point...!!!
TATIZO HAPA NI JINSI GWAJIMA ALIVYOWAKILISHA....UNAWEZA KUWA NA POINTS NZURI AU UKAWA NA HAKI KABISA..LAKINI ukakosa haki yako kwa kutenda kosa kwa kudai haki yako... badala ya Gwajima kuiwakilisha kama mchungaji...na angetumia maneno ya kiuchungaji mazito...na ujumbe mzito ungefika...na wote tunajua PENGO KACHEMKA HAPA....!!!
Ila Gwajima katenda kosa kwa kusema matusi mazito mazito ya nguoni...kufikisha ujumbe..hiyo haifai...lazima ashikishwe adabu...!!!
Pengo kafanya kosa la USALITI...yes...coz mahakama ya kadhi haitakiwi iingie ktk katiba...hilo halina swali...!!
TATIZO GWAJIMA KATUKANA SANA SANA...so acha ashugulikiwe ipasavyo..!!

Wakristo tunafundishwa kwamba Wazinzi na Makahaba watawatangulia kwenda Peponi. Gwajima amejitahidi kumkumbusha Pengo kwamba Uamuzi wa Baraza la Maaskofu ndio wa Mwisho katika Nchi husika kwa kanisa la Roman Catholic.Maaskofu wa Kikatoliki wakishirikiana na wenzao wa Kikristo wameikataa MAHAKAMA YA KADHI yeye hana mamlaka ya kuwapinga.Kikanisa TEC inauwezo wa kumwandikia PAPA barua ya kutokuwa na Imani na Kardinal Pengo na Pengo akawa Matatani.Ndio maana hakuna Askofu hata mmoja aliyemuunga mkono Pengo wala kumkemea Gwajima kwa Matamshi yake dhidi ya Pengo.Serikali sasa ndio imeshikamana na Pengo lakini sio Maaskofu.Hii ni ajabu na Enzi za Yesu hili halikuwezekana kamwe maana Serikali ni sawa na Kaisari.