Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,163
- 5,766
Umeona ehehhe, ndege wa aina moja huruka pamoja!
Kabisa mkuu
Umeona ehehhe, ndege wa aina moja huruka pamoja!
Mganga hajigangi
Gwajima unavuka maji sio size yako ,Gwajima ni professional wa waimba kwaya wake tu
Waumini gani wanaoshangaa? Labda wewe peke yako na hilo lilikuwa tamko la maaskofu sio waumini. Waumini tutaangalia ni nini tunataka, kupiga kura ya ndio au hapana linatuhusu sisi waumini sio maaskofu watuamulie pigeni kula ya hapana.
Mpaka nimefikia umri huu nafanya maamuzi mimi mwenyewe sio askofu anisurutishe, jamani Tanzania yetu ni ya demokrasia.
Akiamka Tuu kanisa halipo...Yani ameulizwa mali anapata wapi anapandisha pressure..
Kwani nani hajui kama slaa anamtumia gwajima kwa malengo ya kisiasa?
Mimi pia!!! hapa hakuna udini ni siasa tu!!!
Mkuu, watu tuna selective memory to fit our agenda!
Dr slaa ni rais wa watanzania upende au laa
Kama hadi leo kwa umri huo wako unachojua ni kwamba Pengo ni mkuu wa Kanisa Tanzania, naihakikishia JF kwamba wewe sio Mkatoliki, na watu wa dizaini hii ndio huwa wanakuja kutusumbua kutaka wabatizwe ukubwani wakati wanataka kufunga ndoa
Gwajima anaumwa kideli
Kaa kimya Gwajima humuwezi hata kidogo! Nenda TMJ ucheki ulinzi wake umetapakaa kila kona acha kabisa!! Analindwa na Makachero wa KIKWETE
Na Gwajima asingemtukana Pengo, asingekuwa mzima?Pengo asingeongelea lile tamko la maaskofu Gwajima angekuwa mzima na polisi wasingemhoji kitu chochote.
Kwa imani ya RC, kama haujabatizwa, hata kama unahudhuria kanisani, wewe sio Mkatoliki.Mkuu kwani kubatizwa ukubwani kunasababisha usumbufu?
Ndo utumie utaratibu kama mwendawazimuAmefanya kosa gani mkuu?kumkosoa kiongozi wa kiroho mwenzake ndio kosa lake?
Ndo utumie utaratibu kama mwendawazimu
Tangu uanze kufanya unafiki umepata faida gani ?
Majani ya mpapai na sigara za makaratasi zimekuharibu.
Kanisa linatoa msimamo kiongozi mkuu anapingana nao. Huyu ni Kadrinali, sio Mkatoliki kama mimi, kwahiyo akisema umma unamfuata, na hilo ndio lengo la wanaopigia chapuo hii katiba mpya.
umesema vizuri na kuweka msisitizo kura ya HAPANA huku ukijua kuwa matokeo kwa Tanzania hayategemei sasa wapiga kura bali WANAOHESABU KURA. kwahiyo katiba mpya ikipigiwa kura LAZIMA itapita.
na hilo ndio lengo halisi la walioiandaa. Sasa Ukimuona Kadrinali huku akijua kuwa WANAOHESABU KURA ndio wataamua matokeo kwa makusudi anakupeleka huko, lazima ujiulize KULIKONI?