Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

I think gwajima hakuwa fair kwa pengo, Alichokisema pengo ni sahihi, uwamuzi wa kupiga kula ni wa mtu binafsi, where is the problem?

unajua maazimio ya maaskofu yalienda mbali, mosi, katiba mpya kwa nini na ya nini in the fist place? ilidaiwa na wananchi kwa nini na ya nini? je walioiandika na kuipigia kura waliganya kwa haki? huku kuna madai marehemu walipiga kura, wasiokuwepo walipiga kuta et all, wewe ungekuwa kiongozi wa kiroho ungesema aa basi waliiba haki kwa manufaa yao yameisha! au ungesemaje na ukweli woote unaujua???
 
Hayo ni mawazo duni. Kikwete yuko juu sana na ni tofauti na fikra zako, utabaki kubwabwaja, kuhororoja na kuzuwa uongo kila kukicha lakini ukweli unabaki kuwa ukweli, mmejaribu mmemshindwa, anakata mbuga wala hana cha kumsimamisha.

Utakubali wewe? Maswali yangu kwenye thread nyingine hukunijibu. Kikwete yuko juu kwa kuvurunda, kuiba na kuzurura. Kwa hayo anastahili kweli uprofesa.
 
Dr Slaa amtembelea Askofu Gwajima mchana wa leo 30/3/2015 hospitalini TMJ.

Viongozi mbalimbali wa kisiasa wameendelea kumtembelea askofu Gwajima aliyelazwa hospitalini TMJ Baada ya kuzimia akiwa anahojiwa na Polisi.

Mchana wa leo Mwenyekiti wa chama cha CUF prof Ibrahimu Lipumba alimtembelea askofu Gwajima hospitalini na baadae mchana wa leo tena katibu mkuu wa Chadema Dr Slaa naye amefika hospitalini hapo kumjulia hali askofu huyo.

Akiwa hospitalini hapo Dr Slaa amefurahi kuona kuwa afya ya askofu Gwajima imeimarika na sasa ametolewa chumba cha wagonjwa mahututi na kuhamishiwa wodi ya wagonjwa wa kawaida.
attachment.php
 
Attachments

  • IMG-20150330-WA0062.jpg
    IMG-20150330-WA0062.jpg
    57.6 KB · Views: 7,071
  • IMG-20150330-WA0060.jpg
    IMG-20150330-WA0060.jpg
    62.7 KB · Views: 2,856
Apone haraka Kamanda, nimependa alivosema pengo ni .....
 
Hongera Gwajima, Hongera Dr Slaa

Mimi ni Mkatoliki lakini huyu Pengo amenikwaza sana. Kwanza fedha za umma kwaajili ya kusaidia watu maskini wanaokufa bila dawa mahospitalini yameibwa kupitia benki yake. Pasi na shaka kama kiongozi wa Kanisa Tanzania anawajibika, na huenda aliweka utawala wa benki hiyo kimaslahi zaidi

Upande wa pili wananchi wanakiu ya kupata katiba itakayowapa matumaini mapya, yeye anajiengua na kukaa upande wa wanyonyaji.

Kiongozi gani wa kidini mwenye tabia hiyo? Baba gani wa kiroho mwenye tabia hiyo?

Halafu anakuja na neno eti nimesamehe?

Namuona huyu Pengo ni msaliti kwa wakatoliki, msaliti kwa wakristu na msaliti wa watanzania
 
Huo Ndo Ubinadam Unaotakiwa,hongera Mzee Wetu Slaa Kwa Kuonyesha Utu! Samahani Naomba Kuuliza Swali;inamaana Gwajima Alianguka Tu Peke Yake Bila Kufanyiwa K2 Na Polisi Au Alipigwa Au Kufanyiwa Kitu Chochote Kama Kumsukuma Ndipo Akaanguka? Maana Hii Story Toka Nimeanza Kuisoma Hum Jf Sijaelewa Sababu Hasa Ya Gwajima Kulazwa Hspl Tena Icu.
 
Dr Slaa amtembelea Askofu Gwajima mchana wa leo 30/3/2015 hospitalini TMJ.

Viongozi mbalimbali wa kisiasa wameendelea kumtembelea askofu Gwajima aliyelazwa hospitalini TMJ Baada ya kuzimia akiwa anahojiwa na Polisi.

Mchana wa leo Mwenyekiti wa chama cha CUF prof Ibrahimu Lipumba alimtembelea askofu Gwajima hospitalini na baadae mchana wa leo tena katibu mkuu wa Chadema Dr Slaa naye amefika hospitalini hapo kumjulia hali askofu huyo.

Akiwa hospitalini hapo Dr Slaa amefurahi kuona kuwa afya ya askofu Gwajima imeimarika na sasa ametolewa chumba cha wagonjwa mahututi na kuhamishiwa wodi ya wagonjwa wa kawaida.
apone haraha maana amekataa unafiki,maana hata sisi hatumwelewi pengo inakuwaje TEC wanasaini halafu yeye anakuja kubisha?ashindwe kwa jina la YESU KRISTO KUTAKA KUGAWA KANISA KATHOLIC
 
Hongera Gwajima, Hongera Dr Slaa

Mimi ni Mkatoliki lakini huyu Pengo amenikwaza sana. Kwanza fedha za umma kwaajili ya kusaidia watu maskini wanaokufa bila dawa mahospitalini yameibwa kupitia benki yake. Pasi na shaka kama kiongozi wa Kanisa Tanzania anawajibika, na huenda aliweka utawala wa benki hiyo kimaslahi zaidi

Upande wa pili wananchi wanakiu ya kupata katiba itakayowapa matumaini mapya, yeye anajiengua na kukaa upande wa wanyonyaji.

Kiongozi gani wa kidini mwenye tabia hiyo? Baba gani wa kiroho mwenye tabia hiyo?

Halafu anakuja na neno eti nimesamehe?

Namuona huyu Pengo ni msaliti kwa wakatoliki, msaliti kwa wakristu na msaliti wa watanzania

Nadhani ndugu unakoelekea unatumia zaidi jazba badala ya kufikiri. Kwanza siyo sahihi kutumia maoni yako kuwaseemea wakatoliki wote.
Ni aibu kujitambulisha kuwa wewe ni muumini wa dhehebu fulani alafu hapohapo unsashindwa mtihani mdogo tu wa kuwavumilia wengine na kuheshimu maoni yao hata kama hukupendezwa nayo!

Kwani kama ni kupiga kura ya HAPANA kwenye katiba mpya, wewe mwenyewe kwa utashi wako huwezi kufanya hivyo mpaka unasubiri Kadinali Pengo ndio akuambie? Achana na umasikini wa kifikra, kuwa mtu huru unaweza kufikiri na kuamua na siyo kuburuzwa kama gogo!
 
Dr Slaa amtembelea Askofu Gwajima mchana wa leo 30/3/2015 hospitalini TMJ. Viongozi mbalimbali wa kisiasa wameendelea kumtembelea askofu Gwajima aliyelazwa hospitalini TMJ Baada ya kuzimia akiwa anahojiwa na Polisi.

View attachment 239192View attachment 239193

Mchana wa leo Mwenyekiti wa chama cha CUF prof Ibrahimu Lipumba alimtembelea askofu Gwajima hospitalini na baadae mchana wa leo tena katibu mkuu wa Chadema Dr Slaa naye amefika hospitalini hapo kumjulia hali askofu huyo. Akiwa hospitalini hapo Dr Slaa amefurahi kuona kuwa afya ya askofu Gwajima imeimarika na sasa ametolewa chumba cha wagonjwa mahututi na kuhamishiwa wodi ya wagonjwa wa kawaida.
View attachment 239194View attachment 239195
 
Mi Mwenye Mkatoliki Mkuu!Kwakweli Kiongozi Wetu Wakidini Katuchanganya Wengi,namfaham Msimamo Yake Mda Mrefu,alikuwa Mtu Wa Watu,mtetea Wanyonge Na Msema Kweli Kuhusu Kutetea Haki Za Wanyonge.Lkn Kwa Hili Amejikoroga.
 
Safi dr Slaa na Prof.Lipumba kwa kuunga mkono tamko la Gwajima

Pia kumtembela naona Kova huko macho yanamtoka tu.

Pengo ndio kabisaaa mnafiki wa mabadiliko
 
Back
Top Bottom