bridalmask
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,195
- 1,169
Naanza kupata mwanga wa waliokuwa nyuma ya matusi ya Gwajima kwa Kardinali Pengo.
Ni lazima utapata picha kwani unatumika vibaya Kijana.
Naanza kupata mwanga wa waliokuwa nyuma ya matusi ya Gwajima kwa Kardinali Pengo.
Mi Mwenye Mkatoliki Mkuu!Kwakweli Kiongozi Wetu Wakidini Katuchanganya Wengi,namfaham Msimamo Yake Mda Mrefu,alikuwa Mtu Wa Watu,mtetea Wanyonge Na Msema Kweli Kuhusu Kutetea Haki Za Wanyonge.Lkn Kwa Hili Amejikoroga.
Kweli mkuu nimepata Jazba kwasababu haya mambo yamenifadhaisha. Fedha za wananchi maskini zinaibwa kupitia kanisa.
Kanisa linatoa msimamo kiongozi mkuu anapingana nao. Huyu ni Kadrinali, sio Mkatoliki kama mimi, kwahiyo akisema umma unamfuata, na hilo ndio lengo la wanaopigia chapuo hii katiba mpya.
umesema vizuri na kuweka msisitizo kura ya HAPANA huku ukijua kuwa matokeo kwa Tanzania hayategemei sasa wapiga kura bali WANAOHESABU KURA. kwahiyo katiba mpya ikipigiwa kura LAZIMA itapita.
na hilo ndio lengo halisi la walioiandaa. Sasa Ukimuona Kadrinali huku akijua kuwa WANAOHESABU KURA ndio wataamua matokeo kwa makusudi anakupeleka huko, lazima ujiulize KULIKONI?
hilo tu ndilo ulilowaza akili ikaishia hapo. LolNaona kalala uchi hivi feni ikpeperusha hizo shuka si watu wataona jumuiya ya afrika mashariki
Sasa Pengo anaingiaje kwenye thread hii? Mkombozi Bank inaingiaje kwenye thread hii? Wakati mwingine ni heri kukaa kimya ili watu waendelee kuwa na shaka, kuliko kufunguka na kuondoa shaka yote (kuwa wewe ni mpumbavu)
Hongera Gwajima, Hongera Dr Slaa
Mimi ni Mkatoliki lakini huyu Pengo amenikwaza sana. Kwanza fedha za umma kwaajili ya kusaidia watu maskini wanaokufa bila dawa mahospitalini yameibwa kupitia benki yake. Pasi na shaka kama kiongozi wa Kanisa Tanzania anawajibika, na huenda aliweka utawala wa benki hiyo kimaslahi zaidi
Upande wa pili wananchi wanakiu ya kupata katiba itakayowapa matumaini mapya, yeye anajiengua na kukaa upande wa wanyonyaji.
Kiongozi gani wa kidini mwenye tabia hiyo? Baba gani wa kiroho mwenye tabia hiyo?
Halafu anakuja na neno eti nimesamehe?
Namuona huyu Pengo ni msaliti kwa wakatoliki, msaliti kwa wakristu na msaliti wa watanzania

Unajua watu wasomi huwa wanaweka mambo yanakuwa bayana kabisa. Ndugu karumbeta, nakuomba sana utusaidie kwa hili, tena nadhani halitakugharimu muda wako. Naomba uniandikie hapa kuwa kuwepo hospitali kwa Gwajima kumesababishwaje na Pengo. Bahati mbaya sana kila niliyemuuliza hakunijibu swali hili, labda wewe utanijibu, na utakuwa umejijengea heshima humu kwa kujibu hoja kwa hoja bayana.Hujambo ndugu!
Huwezi kuzungumzia habari za Gwajima ukamuacha Pengo pengo ndo chanzo cha matatizo; ajipime upya ajiulize bila yeye Gwajima angekuwa TMJ sasa hivi?
Mkuu,
Yaani wewe unajinasibisha kama mkatoliki halafu unajiondoa kwenye umiliki wa benki ya wakatoliki?.
Hufahamu kama sadaka zako ndizo zimewezesha uwepo wa benki?
Hufahamu kuwa wewe ni mmoja wa shareholder wa benki?
kisa slaa kamtembelea mshageuka mpaka madhehebu yenu,acheni ufedhuri na akili za kushikiwa kuweni na misimamo thabiti yaani kila kitu akifanya slaa nanyie mnaona sahihi tuuu...
Kanisa linatoa msimamo kiongozi mkuu anapingana nao. Huyu ni Kadrinali, sio Mkatoliki kama mimi, kwahiyo akisema umma unamfuata, na hilo ndio lengo la wanaopigia chapuo hii katiba mpya.
umesema vizuri na kuweka msisitizo kura ya HAPANA huku ukijua kuwa matokeo kwa Tanzania hayategemei sasa wapiga kura bali WANAOHESABU KURA. kwahiyo katiba mpya ikipigiwa kura LAZIMA itapita.
na hilo ndio lengo halisi la walioiandaa. Sasa Ukimuona Kadrinali huku akijua kuwa WANAOHESABU KURA ndio wataamua matokeo kwa makusudi anakupeleka huko, lazima ujiulize KULIKONI?
Kama hadi leo kwa umri huo wako unachojua ni kwamba Pengo ni mkuu wa Kanisa Tanzania, naihakikishia JF kwamba wewe sio Mkatoliki, na watu wa dizaini hii ndio huwa wanakuja kutusumbua kutaka wabatizwe ukubwani wakati wanataka kufunga ndoaHongera Gwajima, Hongera Dr Slaa
Mimi ni Mkatoliki lakini huyu Pengo amenikwaza sana. ... Pasi na shaka kama kiongozi wa Kanisa Tanzania anawajibika, ...
Naanza kupata mwanga wa waliokuwa nyuma ya matusi ya Gwajima kwa Kardinali Pengo.
Hongera Gwajima, Hongera Dr Slaa
Mimi ni Mkatoliki lakini huyu Pengo amenikwaza sana. Kwanza fedha za umma kwaajili ya kusaidia watu maskini wanaokufa bila dawa mahospitalini yameibwa kupitia benki yake. Pasi na shaka kama kiongozi wa Kanisa Tanzania anawajibika, na huenda aliweka utawala wa benki hiyo kimaslahi zaidi
Upande wa pili wananchi wanakiu ya kupata katiba itakayowapa matumaini mapya, yeye anajiengua na kukaa upande wa wanyonyaji.
Kiongozi gani wa kidini mwenye tabia hiyo? Baba gani wa kiroho mwenye tabia hiyo?
Halafu anakuja na neno eti nimesamehe?
Namuona huyu Pengo ni msaliti kwa wakatoliki, msaliti kwa wakristu na msaliti wa watanzania
apone haraha maana amekataa unafiki,maana hata sisi hatumwelewi pengo inakuwaje TEC wanasaini halafu yeye anakuja kubisha?ashindwe kwa jina la YESU KRISTO KUTAKA KUGAWA KANISA KATHOLIC