REMSA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,579
- 956
Naanza kupata mwanga wa waliokuwa nyuma ya matusi ya Gwajima kwa Kardinali Pengo.
Avatar yako inakutambulisha akili yako isivyoweza kupambanua
Naanza kupata mwanga wa waliokuwa nyuma ya matusi ya Gwajima kwa Kardinali Pengo.
Unajua watu wasomi huwa wanaweka mambo yanakuwa bayana kabisa. Ndugu karumbeta, nakuomba sana utusaidie kwa hili, tena nadhani halitakugharimu muda wako. Naomba uniandikie hapa kuwa kuwepo hospitali kwa Gwajima kumesababishwaje na Pengo. Bahati mbaya sana kila niliyemuuliza hakunijibu swali hili, labda wewe utanijibu, na utakuwa umejijengea heshima humu kwa kujibu hoja kwa hoja bayana.
nimekuhurumia sana ! UKIMPENDA MTU KWA SABABU YA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI - JK NYEREREHana mvuto wa kuwa rais CHADEMA chagueni mwingine.
mbowe mbona atukuon kwenye mambo kama haya.
Nadhani ndugu unakoelekea unatumia zaidi jazba badala ya kufikiri. Kwanza siyo sahihi kutumia maoni yako kuwaseemea wakatoliki wote.
Ni aibu kujitambulisha kuwa wewe ni muumini wa dhehebu fulani alafu hapohapo unsashindwa mtihani mdogo tu wa kuwavumilia wengine na kuheshimu maoni yao hata kama hukupendezwa nayo!
Kwani kama ni kupiga kura ya HAPANA kwenye katiba mpya, wewe mwenyewe kwa utashi wako huwezi kufanya hivyo mpaka unasubiri Kadinali Pengo ndio akuambie? Achana na umasikini wa kifikra, kuwa mtu huru unaweza kufikiri na kuamua na siyo kuburuzwa kama gogo!
tatizo hata ulichoandika hukielewi.
Kwa mtindo huu Slaa atakosa kura za upande mmoja
Mchecheto,nabii mzima anaogopa jela.Hahahahahaaa😀😀
Mkuu hata kama unamchukia Gwajima kwa maneno makali dhidi ya Pengo kitu ambacho sikubaliani naye pia, lakini kwenye hili la afya ni vema kumjulia hali kwani uhai kwanza mambo mengine baadae. Slaa ameonesha upendo wa hali ya juu sana.
Kabisa kabisa Slaa anataka mfumokristu nchini
Tatizo Gwajima akiona macho ya misukule yake anajiona kama anahutubia dunia,haya mahojiano ya polisi sukari,presha,machozi na kupumua mfululizo kumempata.Nadhani akitoka itakuwa fundisho na atamuogopa mungu na hatojiita NABII tena!
Akitoka anakutakana na PINGU
Mbona shida kaugua mpaka kafariki hatukumuona slaa.shida alikua mjumbe cc chadema
Nadhani ndugu unakoelekea unatumia zaidi jazba badala ya kufikiri. Kwanza siyo sahihi kutumia maoni yako kuwaseemea wakatoliki wote.
Ni aibu kujitambulisha kuwa wewe ni muumini wa dhehebu fulani alafu hapohapo unsashindwa mtihani mdogo tu wa kuwavumilia wengine na kuheshimu maoni yao hata kama hukupendezwa nayo!
Kwani kama ni kupiga kura ya HAPANA kwenye katiba mpya, wewe mwenyewe kwa utashi wako huwezi kufanya hivyo mpaka unasubiri Kadinali Pengo ndio akuambie? Achana na umasikini wa kifikra, kuwa mtu huru unaweza kufikiri na kuamua na siyo kuburuzwa kama gogo!
Huyu Gwajima anafanya maigizo ya zamani Sana, nashauri aendelee kuhojiwa tuu!
Dr slaa ni tumaini la wanyonge! Nakwambia nilikuwa maeneo yale shughuli zilisimama kila mtu anataka kumshika Dr slaa mkono, kwa kuwa makachero wanaomlinda Gwajima na Makachero wa Dr Slaa walikutana kona moja ikawa ngumu lakini nimeamini Dr slaa anapendwa.
Umeezeka ghorofa kwa makuti?
Gwajima analindwa na wanadamu huku akiwahubiria waumini wake kulindwa na Mungu! Maajabu haya. Hospitali anafuata nini wakati yeye anawaombea wagonjwa wanapona bila dawa, anaahidi kuwafufua wafu lakini yeye anakimbilia hospitali au alienda kuwaombea wagonjwa?