Bob Fern
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 900
- 132
Amefanya kosa gani mkuu?kumkosoa kiongozi wa kiroho mwenzake ndio kosa lake?
Hajakosoa huyo msge,katukana. Au hujaona hiyo clip?!
Amefanya kosa gani mkuu?kumkosoa kiongozi wa kiroho mwenzake ndio kosa lake?
Kwani Gwajima kapatwa na nini hadi kawa hospitali??
mkuu kabisa hapo umenena. Ni wale waleBirds of a feather flock together.
na CCM. Mkuu wa Kaya si huwa anatembelea sana wagonjwa..Cuf na chadema wamemuona bado nccr act n.k
na CCM. Mkuu wa Kaya si huwa anatembelea sana wagonjwa..
It is wrong kumtembelea Gwajima kwa upuuzi alioufanya.UKawa wamepotea.
wewe endelea kupumua kwa kutumia 0713....Huyu mzee hili gwanda kalivaa au limemvaa? Mbona naona kama limetundikwa kwenye mti tu.
Hajakosoa huyo msge,katukana. Au hujaona hiyo clip?!
Huyu mzee hili gwanda kalivaa au limemvaa? Mbona naona kama limetundikwa kwenye mti tu.
Exelent answerz....unataka wenye matumbo makubwa , yuko wapi komba na tumbo lake ? tumbo kubwa ni hasara.