Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

Hongera Gwajima, Hongera Dr Slaa

Mimi ni Mkatoliki lakini huyu Pengo amenikwaza sana. Kwanza fedha za umma kwaajili ya kusaidia watu maskini wanaokufa bila dawa mahospitalini yameibwa kupitia benki yake. Pasi na shaka kama kiongozi wa Kanisa Tanzania anawajibika, na huenda aliweka utawala wa benki hiyo kimaslahi zaidi

Upande wa pili wananchi wanakiu ya kupata katiba itakayowapa matumaini mapya, yeye anajiengua na kukaa upande wa wanyonyaji.

Kiongozi gani wa kidini mwenye tabia hiyo? Baba gani wa kiroho mwenye tabia hiyo?

Halafu anakuja na neno eti nimesamehe?

Namuona huyu Pengo ni msaliti kwa wakatoliki, msaliti kwa wakristu na msaliti wa watanzania
Sasa Pengo anaingiaje kwenye thread hii? Mkombozi Bank inaingiaje kwenye thread hii? Wakati mwingine ni heri kukaa kimya ili watu waendelee kuwa na shaka, kuliko kufunguka na kuondoa shaka yote (kuwa wewe ni mpumbavu)
 
Dr Slaa amtembelea Askofu Gwajima mchana wa leo 30/3/2015 hospitalini TMJ.

Viongozi mbalimbali wa kisiasa wameendelea kumtembelea askofu Gwajima aliyelazwa hospitalini TMJ Baada ya kuzimia akiwa anahojiwa na Polisi.

Mchana wa leo Mwenyekiti wa chama cha CUF prof Ibrahimu Lipumba alimtembelea askofu Gwajima hospitalini na baadae mchana wa leo tena katibu mkuu wa Chadema Dr Slaa naye amefika hospitalini hapo kumjulia hali askofu huyo.

Akiwa hospitalini hapo Dr Slaa amefurahi kuona kuwa afya ya askofu Gwajima imeimarika na sasa ametolewa chumba cha wagonjwa mahututi na kuhamishiwa wodi ya wagonjwa wa kawaida.

Vipi Eduward Lowassa, haendi kupata picha?
 
Hongera Gwajima, Hongera Dr Slaa

Mimi ni Mkatoliki lakini huyu Pengo amenikwaza sana. Kwanza fedha za umma kwaajili ya kusaidia watu maskini wanaokufa bila dawa mahospitalini yameibwa kupitia benki yake. Pasi na shaka kama kiongozi wa Kanisa Tanzania anawajibika, na huenda aliweka utawala wa benki hiyo kimaslahi zaidi

Upande wa pili wananchi wanakiu ya kupata katiba itakayowapa matumaini mapya, yeye anajiengua na kukaa upande wa wanyonyaji.

Kiongozi gani wa kidini mwenye tabia hiyo? Baba gani wa kiroho mwenye tabia hiyo?

Halafu anakuja na neno eti nimesamehe?

Namuona huyu Pengo ni msaliti kwa wakatoliki, msaliti kwa wakristu na msaliti wa watanzania
Mkuu,
Yaani wewe unajinasibisha kama mkatoliki halafu unajiondoa kwenye umiliki wa benki ya wakatoliki?.

Hufahamu kama sadaka zako ndizo zimewezesha uwepo wa benki?

Hufahamu kuwa wewe ni mmoja wa shareholder wa benki?
 
get well soon pastor gwajima. nje washaanza kukubambikiza kesi za ajabu ila mungu yu pamoja nawe
 
alafu we josephine ifike stage utambue dr ndo tumaini letu ili swala la kumuacha dr avae mabwanga kila siku sio fresh mtengeneze mzee aende kama rais basi
 
[Naanza kupata mwanga wa waliokuwa nyuma ya matusi ya Gwajima kwa Kardinali Pengo]

Kama umeenda basi umeiahia kuhitimu tu ila hujaelimika, na kama hujaenda shule basi jitahidi angalau ufanye qt na baada ya mwaka mmoja utakua umehitimu elimu ya msingi yaani form 4.
 
Nadhani ndugu unakoelekea unatumia zaidi jazba badala ya kufikiri. Kwanza siyo sahihi kutumia maoni yako kuwaseemea wakatoliki wote.
Ni aibu kujitambulisha kuwa wewe ni muumini wa dhehebu fulani alafu hapohapo unsashindwa mtihani mdogo tu wa kuwavumilia wengine na kuheshimu maoni yao hata kama hukupendezwa nayo!

Kwani kama ni kupiga kura ya HAPANA kwenye katiba mpya, wewe mwenyewe kwa utashi wako huwezi kufanya hivyo mpaka unasubiri Kadinali Pengo ndio akuambie? Achana na umasikini wa kifikra, kuwa mtu huru unaweza kufikiri na kuamua na siyo kuburuzwa kama gogo!

Kweli mkuu nimepata Jazba kwasababu haya mambo yamenifadhaisha. Fedha za wananchi maskini zinaibwa kupitia kanisa.

Kanisa linatoa msimamo kiongozi mkuu anapingana nao. Huyu ni Kadrinali, sio Mkatoliki kama mimi, kwahiyo akisema umma unamfuata, na hilo ndio lengo la wanaopigia chapuo hii katiba mpya.

umesema vizuri na kuweka msisitizo kura ya HAPANA huku ukijua kuwa matokeo kwa Tanzania hayategemei sasa wapiga kura bali WANAOHESABU KURA. kwahiyo katiba mpya ikipigiwa kura LAZIMA itapita.

na hilo ndio lengo halisi la walioiandaa. Sasa Ukimuona Kadrinali huku akijua kuwa WANAOHESABU KURA ndio wataamua matokeo kwa makusudi anakupeleka huko, lazima ujiulize KULIKONI?
 
Akina Dr slaa wamepitia hayo pia wanajua usanii wa hii nchi ulivyo, Magamba wao Kazi yao Ni moja, kushangilia ufedhuli na ushetani unaofanywa na selikali yao, watu wakipigwa,kunyanyaswa na kuuawa wao hushangili, siku wakifa mama zenu na ndugu zenu kelele zenu za shangwe zitanyamaza ghafla
 
Back
Top Bottom