Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

Kaenda kumuona Padri mwenzake...hatudanganyiki ngooooo

Umedhindwa kuonyesha hekima yako na ukatanguliza chuki binafsi na itikadi za siasa.

Mimi naona Dk Slaa na Pengo ndio wenye uhusiano zaidi kwa huduma, Ukatoliki, na kufanya kazi pamoja (wote wamefanya kazi pamoja TEC) kuliko Gwajima na Slaa. Kwa hiyo Mapadri ni Slaa na Pengo.

Vv
 
Waumini gani wanaoshangaa? Labda wewe peke yako na hilo lilikuwa tamko la maaskofu sio waumini. Waumini tutaangalia ni nini tunataka, kupiga kura ya ndio au hapana linatuhusu sisi waumini sio maaskofu watuamulie pigeni kula ya hapana.

Mpaka nimefikia umri huu nafanya maamuzi mimi mwenyewe sio askofu anisurutishe, jamani Tanzania yetu ni ya demokrasia.
Maaskofu ni Viongozi na wanatakiwa wawaongoze Kondoo wao hasa kwenye Nchi ambayo mtu anadanganywa kwa Kapero na Kanga kuchagua Viongozi.Kumbuka Nchi ikichafuka kama Nigeria hata viongozi wa Dini hawatapata Kondoo wa kuwachunga na dalili zimeshaanza kuonekana kwa kuchomwa Makanisa na kuuawa mapadre na wachungaji.
 
Maaskofu ni Viongozi na wanatakiwa wawaongoze Kondoo wao hasa kwenye Nchi ambayo mtu anadanganywa kwa Kapero na Kanga kuchagua Viongozi.Kumbuka Nchi ikichafuka kama Nigeria hata viongozi wa Dini hawatapata Kondoo wa kuwachunga na dalili zimeshaanza kuonekana kwa kuchomwa Makanisa na kuuawa mapadre na wachungaji.

Kuwachagulia ndio kuongoza, au unamuelimisha muumini na kumwacha mwenyewe aamue?
 
kitendo cha ngwajima kumtukana kadinali wa kanisa catolic,kimemskitisha sana pope fransis na ametaka sheria ifuate mkondo wake.

Nadhani kitendo cha Cardinal Pengo kwenda kinyume na Baraza la Maaskofu ambacho ndio chombo kikuu cha maamuzi kikanisa ndio limemshangaza zaidi Papa.Huenda asimshirikishe kwenye Vikao muhimu vya Kanisa maana anaweza kutoka na kupotosha Waumini.Hana Collective Responsibility.Kwa sasa Maaskofu wamemwacha na amekumbatiwa na kutetewa na Serikali.
 
Wakati Pengo anaendelea na kazi za kichungaji katika Juma Kuu la Pasaka, Gwajima yupo hospitali TMJ huku akisubiriwa apate nafuu apitilize Central kwenda kuendelea na mahojiano na Polisi kuanzia pale alipoishia kabla hajaanza kusikia kizunguzungu
 
Nadhani kitendo cha Cardinal Pengo kwenda kinyume na Baraza la Maaskofu ambacho ndio chombo kikuu cha maamuzi kikanisa ndio limemshangaza zaidi Papa. Huenda asimshirikishe kwenye Vikao muhimu vya Kanisa maana anaweza kutoka na kupotosha Waumini.Hana Collective Responsibility.Kwa sasa Maaskofu wamemwacha na amekumbatiwa na kutetewa na Serikali.
Endelea na hisia
 
Ndugu.tunapochangia tujitahidi kuficha ujinga wetu! haijalishi kuwa hatujulikani. lakini ni vizuri kuheshimiana. uko wapi utu wetu? mbona maneno machafu yanatutoka? au ndio uzihilisho kuwa mtu hutoa kiujazacho moyo wake?
 
Kuwachagulia ndio kuongoza, au unamuelimisha muumini na kumwacha mwenyewe aamue?

Kuongoza ni Pamoja na kumwambia kipi ni Kibaya na Kipi ni Kizuri.Ndio maana wanatuambia Hadharani USIIBE.Na hapa wametuambia hadharani tupige KURA YA HAPANA kwa sababu Katiba inayopendekezwa inaenda tofauti na Matakwa ya Mungu aliye Hai.
 
Askofu pengo ameamua kuwa askofu wa chama cha mapinduzi.kama ameaua hivyo basi avue joho avae gamba ili watanzania tujue kuliko kujificha.asofu pengo hukuwa hivyo nakushangaa.
Naamini kuna watu wengi tu humu wanaongea bila ya kuangalia alichosema Pengo.
 
Back
Top Bottom