nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,439
- 2,287
Mkuu Gwajima amelazwa ICU TMJ HOSPITAL
Birds of a feather flock together.
Wake za watu wapo hatarini hapo hospitalini,hii ni hatari
Kwa mtindo huu Slaa atakosa kura za upande mmoja
Thubutu! Slaa akanyage Mtambani 😡
Alienda pia kuwatembelea na kuwafariji waumini wa msikiti ule ulioungua kinondoni
Dr.Slaa alimtembelea hata Shekh Ponda baada ya kupigwa Risasi ya Bega.Huyu Jamaa ni Mkombozi na Kipenzi cha watanzania wanaonyanyasika.
mtume kazidiwa anaumwa Sana Presha ipo juu baada ya kuhojiwa na polisi mtume ameogopa sana hili suala.
Akitoka anakutakana na PINGU
Dr.Slaa alimtembelea hata Shekh Ponda baada ya kupigwa Risasi ya Bega.Huyu Jamaa ni Mkombozi na Kipenzi cha watanzania wanaonyanyasika.
Mbona shida kaugua mpaka kafariki hatukumuona slaa.shida alikua mjumbe cc chademaMkuu hata kama unamchukia Gwajima kwa maneno makali dhidi ya Pengo kitu ambacho sikubaliani naye pia, lakini kwenye hili la afya ni vema kumjulia hali kwani uhai kwanza mambo mengine baadae. Slaa ameonesha upendo wa hali ya juu sana.
Dr.Slaa alimtembelea hata Shekh Ponda baada ya kupigwa Risasi ya Bega.Huyu Jamaa ni Mkombozi na Kipenzi cha watanzania wanaonyanyasika.