Waislam ni watu wa ajabu sana. Utasikia, eti hiyo ni sunaah ya Muhammad. Astaghafurillah
Tumswalie mtume..
Waislam ni watu wa ajabu sana. Utasikia, eti hiyo ni sunaah ya Muhammad. Astaghafurillah
Naamini kuna watu wengi tu humu wanaongea bila ya kuangalia alichosema Pengo.
Mkuu hata kama unamchukia Gwajima kwa maneno makali dhidi ya Pengo kitu ambacho sikubaliani naye pia, lakini kwenye hili la afya ni vema kumjulia hali kwani uhai kwanza mambo mengine baadae. Slaa ameonesha upendo wa hali ya juu sana.
Tatizo Gwajima akiona macho ya misukule yake anajiona kama anahutubia dunia,haya mahojiano ya polisi sukari,presha,machozi na kupumua mfululizo kumempata.Nadhani akitoka itakuwa fundisho na atamuogopa mungu na hatojiita NABII tena!
Unaivunjia hadhi Bukoba, huko sijaona watu wajinga wajinga wasiojuwa hata "idiom" ni nini.
Gwajima ndiyo anaiweza kuliko Pengo, sasa hivi chali.
Correction mam: "Birds of the same feathers flock together"
Dr slaa muungwana sana hana makuu! Lakini pia Pengo ajirekebishe! Huwezi kusaini makubaliano baadae unazungumza na vyombo vya habari kwamba mimi sikuhusika wala sikuwepo kwenye kikao cha maaskofu; huyu pengo ni tatizo hapa .
Hiyo ulioiandika ni version ya watu wasiokielewa vizuri Kingereza.
Huwa sikisii.
Pitia hizi link ujielimishe zaidi:
Birds of a feather flock together - meaning and origin.
birds of a feather flock together definition, meaning - what is birds of a feather flock together in the British English Dictionary & Thesaurus - Cambridge Dictionaries Online
Birds of a feather flock together - Idioms by The Free Dictionary
Urban Dictionary: Birds of a feather flock together
birds of a feather flock together - Wiktionary
Lini unaenda kumtembelea sheikh ponda?
Gwajima aliongozana makao makuu ya polisi,ili kuhojiwa akiambatana na John Mallya wakili wa chadema,hii inachanganya kidogo.
CCM ndiyo namba wani. Hunitoi ng'oo.
Sikutoka waakati inaongozwa na "haambiliki" ntatoka leo? fikiri.
Gwajima anacheza na Pengo? akitoka huko ni heshima na adabu, hiyo ni bashraf mziki kamili bado.
Moja katika lugha nizijuwayo vizuri sana, kusoma, kuandika na kuongea ni Kiarabu. AlhamduliLlah, Mwenyeezi Mungu amrehem Maalim wangu Sharrif Junaid, aturehem na sisi tulio hai.
Sharrif Junaid ndiye mtu wa mwanzo kunifundisha Alphabet za Kiarabu. Kumbuka, neno alpha-be-t linatokana na herufi za Kiarabu Alif Be Te.
Gwajima anafuata nyayo za kakobe, kwani kakobe aliisha sema atakaye mgusa Gwajima anamgusa yeye... na amepata wapi uthubutu wa kumtusi Pengo? Slaa kwenda kumuona gwajima tunajua hawa wawili wanafanana kwa kitu fulaniAsalaam aleykum !
Dr slaa ameonesha upendo wa hali ya juu sana alipomtembelea mtumishi wa bwana askofu Gwajima, hali ilikuwa shwari utulivu wa hali ya juu na ulinzi ukiwa umeimarishwa mara dufu.
Nimejaribu kudadisi afya ya Gwajima inaonekana inaendelea vema na baadae tutajulishwa zaidi akipata nafuu na kuruhusiwa. Makachero wanamlinda Gwajima ila kivutio ulikuwa ujio wa Dr Slaa shughuli zilisimama na wagonjwa wakapata nafuu nakusema yuko wapi Rais wa mioyo ya watu tumshike mkono!
ukiangalia haraka haraka utauona upendo, lakini kwa kina kuna kachokochoko ka udini na kwa wazi kuwa Slaa ana bif na Pengo ambaye amewahi kuwa bosi wake wa kiroho.
Mbona una matusi km askofu bandia wako?,gwajima hakumkemea pengo,bali alimtukana na kumfedhehesha kisha akamtishia kwa kuwaagiza malaika wamdhuru pengo,nadhani wakatoliki km tabia yao ya kutofanya mambo kwa kupayuka na sifa km ninyi,waliingia vyumbani na kufanya novena+kwaresma,ili kumuomba mungu amlinde kiongozi wao na matokeo yke ndo haya,aliye na mamlaka ya kuagiza malaika wamdhuru mtu kasalimishwa hospitali?,yapo mambo ya kujiuliza hapa,km jamaa ana uwezo wa kuamlisha malaika atakavyo yy,imeshindikanaje malaika hao kumlinda dhidi ya shambulizi la moyo,jamaa ni kanjanja tu hamna kitu,inabidi akipona waumini wake wamuulize,kwa nn wao wakipatwa shida yy hujidai kuwaombea na kuponya ila yy akizidiwa hukimbizwa hospitali
La kufanya,waumini wake nadhani wanaomba na kukemea saahizi,ili maombi yao mungu ayajibu wanatakiwa kutubu na kuomba msamaha kwa niaba ya huyo tapeli wao wa kiimani,ndipo sala zao zitakuwa na nguvu zaidi,poleni sana wana ufufuo kwa kuuguliwa na askofu feki wenu,maana miaka hii kila mtu anaweza jiita askofu nk,lkn tumuombee sote ili apone maana baada ya kupona akiyakumvuka maneno yake ya vitisho na kiburi nadhani atajifunza jambo hapo na ataondoa kiburi,wanadamu tuache kiburi na majivuno,mungu ndo hakimu wa kweli,tujinyenyekeze na mungu atatutetea kwa watesi wetu,
Povu la nini? ulikuwepo wakati wa Nyerere? nnauhakika ungekuwepo usingejaribu hata kufananisha. Kumbuka hilo.