Dr. Slaa amechuja sana kisiasa

Dr. Slaa amechuja sana kisiasa

Status
Not open for further replies.
Mkuu Mbona umejitokeza kwa kasi kumjibia wakati kipindi cha Scandal ya Mbowe hukujitokeza kumsaidia? Au wewe ni team Slaa?

Scandle zipi za wizi wa escrow, epa, meremeta, richmond, bomba la gesi toka mtwara hadi dsm, meno ya tembo, dawa za kulevya?
 
Unaijua IQ yako? Maana hata propaganda huwa inahitaji akili, ukiikosa unaweza kuleta kwa namna kama hii uliyoileta.
 
barabara bora za lami nchi nzima. hospitali za rufaa kila mkoa. shule za sekondari kila kata. chezea mkweree weyee

daaaa!!! kweli mkweree nomaaa hospital full dawa, shule full walimu na masilahi yao yako juu, RICH MOOND, EPA&ESCROW historia KWELI MKWEREE ANAFAA KUIONGOZA TZ YA VPOFU LAKN C TZ YA LEO YA WATU WANAO ONA.
 
Scandle zipi za wizi wa escrow, epa, meremeta, richmond, bomba la gesi toka mtwara hadi dsm, meno ya tembo, dawa za kulevya?
mmebaki ku capitalise ishu zilizochuja.....mmechoka kama slaa wenu
 
usiwasemee watanzania. jisemee wewe kuwa unamhitaji. maneno ambayo nadhani angepaswa kuyasema josephine
Wewe aliyekupa haki ya kusemea watanzania ni nani? Toa boriti kwenye jicho lako
 
Dr.SILAHA atatugharimu Taifa kufanya uchaguzi kabla ya muda kama vile Zambia mara mbili...
 
Dr slaa ni mti wenye mema kurushiwa mawe ni kawaida Dr slaa ndo raisi wetu mtarajiwa
 
Mkuu, kuna muda huwa siwaelewi!

Hivi kuna nini cha kitoto hapo kuhusu Mzee Slaa?

Kama mtu hana mvuto tena kisiasa hamtaki isemwe?

Kumshauri mtu apumzike na kulea wajukuu ni utoto?

Lowasa ndo ana mvuto
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom