MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Kamuangukie VUTA NIKUVUTE akurudishie ile ID yako ya awali. Alishakuonya mara nyingi
Hapa tunajadili majaaliwa ya Mzee Slaa kisiasa, hayo mambo ya ID kaulizane na misukule wenzio.

Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.
UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.
My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.
Inawezekana unazunguuka mbuyu
1. Unaweza kutueleza kwa data na ushahidi malumu kushuka kwa chadema? tumia dhana hii
a) Uchaguzi Serikali za mitaa imepanda imeshuka, imepata asilimia ngapi ukilinganisha na hapo awali au imepoteza ngapi
2. Nimikutano ipi ya chadema imekosa hamasa, unaweza itaja kwa majina ikibidi picha
3. Escrow, unataka nini zaid, kama jambo limeenda mpaka bungeni, rais kapewa maazimio na bunge nk unataka chadema ifanye nini? Iulize serikali kwanini haitaki wezi kupitia Stanbic waeleweke, inamechanism zote, cdm unailaum kwa lipi
4. Hoja hii kwa uzushi tu inamjadili Dr Slaa kwa uwongo na uchafuzi, Zitto unamtowa wapi? unataka kusema ZZK ndiyo chadema? huu nao niuzushi mwingine.
Elewa wazi tunaelekea uchaguzi mkuu 2015, kila chama kina
-Mikakati yake
-Agenda zake
-Mipangilio nk
Huwezi leta hoja hapa chadema imeshuka bila takwimu za
a) serikali za mitaa
b) kuongezeka au kupunguwa kwa wanachama
c) Kupoteza majimbo ya ubunge, udiwani nk
Hebu wewe mwenye hoja jadili sasa kwa hoja na takwimu tuone huo ukweli wa kuporomoka kwa chadema na Dr Slaa.
Tafadhali shusha takwim

watanzania wanamshangaa sana kwa tamaa aliyonayo ya madaraka
Nikikupa takwimu hutasadiki, utasema zimepikwa....kuongezeka kwa viti ktk serikali za mitaa ni kutokana na ugumu wa serikali yetu sikivu kuchukua maamuzi ya haraka ktk escrow saga na zilikuwa ni kura za hasira.Ushindi kwa upinzani ni kutokana na kudorora kwa ccm kadri siku zinavosonga mbele na si uhodari wa upinzani.Yani kwa hali ilivo sasa, ukiwekewa jiwe na ccm watu wengi watachagua jiwe sababu ya mengi yafanywayo na baadhi ya wana ccm wenye nafasi za juu.Nimemtaja zitto kukumbusha utofauti wa kipindi kile wakati cdm ipo juu na sasa cdm imepunguza speed.Watu makini cdm kwa sasa ni lissu tu sio dr wala mwenyekiti wenu.Inawezekana unazunguuka mbuyu
1. Unaweza kutueleza kwa data na ushahidi malumu kushuka kwa chadema? tumia dhana hii
a) Uchaguzi Serikali za mitaa imepanda imeshuka, imepata asilimia ngapi ukilinganisha na hapo awali au imepoteza ngapi
2. Nimikutano ipi ya chadema imekosa hamasa, unaweza itaja kwa majina ikibidi picha
3. Escrow, unataka nini zaid, kama jambo limeenda mpaka bungeni, rais kapewa maazimio na bunge nk unataka chadema ifanye nini? Iulize serikali kwanini haitaki wezi kupitia Stanbic waeleweke, inamechanism zote, cdm unailaum kwa lipi
4. Hoja hii kwa uzushi tu inamjadili Dr Slaa kwa uwongo na uchafuzi, Zitto unamtowa wapi? unataka kusema ZZK ndiyo chadema? huu nao niuzushi mwingine.
Elewa wazi tunaelekea uchaguzi mkuu 2015, kila chama kina
-Mikakati yake
-Agenda zake
-Mipangilio nk
Huwezi leta hoja hapa chadema imeshuka bila takwimu za
a) serikali za mitaa
b) kuongezeka au kupunguwa kwa wanachama
c) Kupoteza majimbo ya ubunge, udiwani nk
Hebu wewe mwenye hoja jadili sasa kwa hoja na takwimu tuone huo ukweli wa kuporomoka kwa chadema na Dr Slaa.
Tafadhali shusha takwim
Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.
UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.
My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.
Nikikupa takwimu hutasadiki, utasema zimepikwa....kuongezeka kwa viti ktk serikali za mitaa ni kutokana na ugumu wa serikali yetu sikivu kuchukua maamuzi ya haraka ktk escrow saga na zilikuwa ni kura za hasira.Ushindi kwa upinzani ni kutokana na kudorora kwa ccm kadri siku zinavosonga mbele na si uhodari wa upinzani.Yani kwa hali ilivo sasa, ukiwekewa jiwe na ccm watu wengi watachagua jiwe sababu ya mengi yafanywayo na baadhi ya wana ccm wenye nafasi za juu.Nimemtaja zitto kukumbusha utofauti wa kipindi kile wakati cdm ipo juu na sasa cdm imepunguza speed.Watu makini cdm kwa sasa ni lissu tu sio dr wala mwenyekiti wenu.
By adolay![]()
![]()
Inawezekana unazunguuka mbuyu
1. Unaweza kutueleza kwa data na ushahidi malumu kushuka kwa chadema? tumia dhana hii
a) Uchaguzi Serikali za mitaa imepanda imeshuka, imepata asilimia ngapi ukilinganisha na hapo awali au imepoteza ngapi
2. Nimikutano ipi ya chadema imekosa hamasa, unaweza itaja kwa majina ikibidi picha
3. Escrow, unataka nini zaid, kama jambo limeenda mpaka bungeni, rais kapewa maazimio na bunge nk unataka chadema ifanye nini? Iulize serikali kwanini haitaki wezi kupitia Stanbic waeleweke, inamechanism zote, cdm unailaum kwa lipi
4. Hoja hii kwa uzushi tu inamjadili Dr Slaa kwa uwongo na uchafuzi, Zitto unamtowa wapi? unataka kusema ZZK ndiyo chadema? huu nao niuzushi mwingine.
Elewa wazi tunaelekea uchaguzi mkuu 2015, kila chama kina
-Mikakati yake
-Agenda zake
-Mipangilio nk
Huwezi leta hoja hapa chadema imeshuka bila takwimu za
a) serikali za mitaa
b) kuongezeka au kupunguwa kwa wanachama
c) Kupoteza majimbo ya ubunge, udiwani nk
Hebu wewe mwenye hoja jadili sasa kwa hoja na takwimu tuone huo ukweli wa kuporomoka kwa chadema na Dr Slaa.
Tafadhali shusha takwim
Hapa tunajadili majaaliwa ya Mzee Slaa kisiasa, hayo mambo ya ID kaulizane na misukule wenzio.
Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.
UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.
My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.
Slaa ni popo.
Siyo kuchuja tu mpaka amepauka.
ukweli ni kwamba slaa hana mvuto tena. anabebwa na historia. hana jipya
Unataka na hii tuiunganishe kwenye ban? Ni kazi ndogo tu sema suu ufundishwe adabu na utii.