Dr. Slaa amechuja sana kisiasa

Dr. Slaa amechuja sana kisiasa

Status
Not open for further replies.
Tufanye Dr. Slaa kweli apumzike!
Swali:
Hata Kama yeye mwenyewe angependa kupumzika atakula nini kwa kuwa hakuwa mtumishi ambaye kwamba atapata pension. sio mfanya biashara kwamba ataendeleza biashara zake.

Mkewe bado anahitaji soap soap. Watoto ndio wengine wako Chekechea...

Kwa mazingira hayo utapumzika je hata Kama wataka?

Kwa yeye vita ya ufisadi ni muhimu akifikiria wako watazeeka vizuri wakati yeye mhhhhh
Sasa wewe Fa la unataka ujilinganishe na Dr slaa pambaf kweli
 
Wewe utakuwa mwanaCCM wa kwanza kusikitika Dr Slaa kuchuja. Tangy alipowachakaza 2010 mnamwogopa kama Simba. Kama amechuja ifanyeni siri yenu
 
Aliishi kwa mabomu sasa kayalipua yote yameisha hana jingine amwazime Mwamunyange
 
2010 ndio alikuwa moto kweli kweli. Aliingia kwenye mbio za urais akiwa mpya na hot kisiasa.baada ya hapo anaonekana kukata tamaa. Hata wenzake ndani ya upinzani wanaliona hili kupitia mszungumzo yake mwenyewe.zaidi anaona kwamba bora apumzike abaki kuibua vipaji vipya kuliko kujitokeza mwenyewe front..chadema wa groom kichwa kipya wakisimamishe urais kipambanishwe na kina lipumba wajaribu karata yao huenda wakapata kitu
 
thread yako!!! inaonyesha ww ndie mwenye hali ngumu kimaisha.
 
2010 ndio alikuwa moto kweli kweli. Aliingia kwenye mbio za urais akiwa mpya na hot kisiasa.baada ya hapo anaonekana kukata tamaa. Hata wenzake ndani ya upinzani wanaliona hili kupitia mszungumzo yake mwenyewe.zaidi anaona kwamba bora apumzike abaki kuibua vipaji vipya kuliko kujitokeza mwenyewe front..chadema wa groom kichwa kipya wakisimamishe urais kipambanishwe na kina lipumba wajaribu karata yao huenda wakapata kitu
Haya! Wewe endelea kukata KIUNO.
 
Hayo ndiyo maazimio ya kikao chenu Kisiwandui.!!

Aisee mwaka huu mbona mtasema maneno yote.

BTW Mtu aliyejikatiaa tamaa na kukatisha/Kuchuja kama ambavyo mmekuwa mkidai siku zote humu ndani huwa hajadiriwi,hasemwi na yeyote hufa kimya kimya kisiasa. Sasa nyie kila siku kulitaja jina la Dr Slaa humu ndani mpaka huko Facebook na Twitter. Mnasumbuka na nini kwa mtu aliyejikatia tamaa,aliyechuja??

Poleni sana ila tambueni Chadema/UKAWA siyo ccm mnayefikiri nyie kwamba atasimamishwa kugombea kumbe siye, Kumbukeni mwaka 2010 mlikazana kumsema Mbowe mkudhani ndiye mgombe Urais akasimama Dr Slaa..!!! Mimacho ikawatoka kodo.... mithiri ya fisi anayevizia mkono wa binadamu udondoke.

BACK TANGANYIKA
 
Slaa aachwe apumzike, mikiki mikiki ya siasa haiwezi tena
 
Slaa aachwe apumzike, mikiki mikiki ya siasa haiwezi tena

Hakika Dr Slaa ni kiboko ya mafisadi,vikaragosi na makuwadi wa magamba daily wanamwota na kumwanzishia thread mitandaoni kwa hofu kuu waliyonayo. Go go go go dr slaa,hakika wewe ndiye mpakwa mafuta wa Bwana
 
2010 ndio alikuwa moto kweli kweli. Aliingia kwenye mbio za urais akiwa mpya na hot kisiasa.baada ya hapo anaonekana kukata tamaa. Hata wenzake ndani ya upinzani wanaliona hili kupitia mszungumzo yake mwenyewe.zaidi anaona kwamba bora apumzike abaki kuibua vipaji vipya kuliko kujitokeza mwenyewe front..chadema wa groom kichwa kipya wakisimamishe urais kipambanishwe na kina lipumba wajaribu karata yao huenda wakapata kitu
acha propaganda za kijinga,kama kachoka ulitaka amsimamishe mmmmaaaaayyyaakko
 
Jitie kitanzi wewe uliyekata tamaa kimaisha..
Ccm mmeanza kuwachagulia ukawa mgombea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom