Loading
JF-Expert Member
- Feb 10, 2012
- 594
- 101
Hana tena mvuto. kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake chadema mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.
UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.
My take. slaa apimzike tu. abaki na majukumu ya familia
Kawa dekio