Dr. Slaa amechuja sana kisiasa

Dr. Slaa amechuja sana kisiasa

Status
Not open for further replies.
.....yupi unayeweza kumlinganisha na DR.SLAA HAPA TZ,WEWE UNAONA RAHISI KUTAMKA LIST OF SHAME.......NDIO WALE WALE MAFISADI WANAOENDELEA KUUMIZA NCHI HII
sadifa juma
 
Wewe na nani ndio mnahitaji?

Watanzania tulio wengi tulimkataa kwa njia ya sanduku la kura mwaka 2010. Na tumejipanga kuendelea kufanya hivyo kwenye chaguzi zijazo kama atagombea.

Naamini kabisa, mtu aliyeshindwa kuongoza familia, hawezi kuongoza Nchi.
busara kuntu kabisa hizi. mungu na akubariki sana
 
Khantwe ccm hawanaga akili hata kidogo yaani ni matahira angalia sasa uyo anasema binti wa miaka 40

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
ungetulia kwanza umalize siku zako. ona unavyojidhalilisha
 
Mkuu Ben Saanane ifweero ni kati ya vijana wachumia tumbo wanaoona raha na sifa kutaja watu maarufu kwa mabaya ili wapate wachangiaji wengi. Tafadhali sana mpuuze
mbona wewe hujampuuza? unatoa ushauri ambao wewe huufanyii kazi. halafu haileti picha picha nzuri kwa wewe kujibaraguza kwa ben saanane. hoja ndio ikubaraguze

cc
petro mselewa
 
Lengo lenu huwa ni kupata wachangiaji wengi tu wa nyuzi zenu za kitoto.Mnajua mkitaja Slaa,Mbowe,Lema,CHADEMA,UKAWA na wa aina hiyo mtapata wachangiaji wengi.Bure kabisa LB7

Mkuu, kuna muda huwa siwaelewi!

Hivi kuna nini cha kitoto hapo kuhusu Mzee Slaa?

Kama mtu hana mvuto tena kisiasa hamtaki isemwe?

Kumshauri mtu apumzike na kulea wajukuu ni utoto?
 
Acheni ujinga,wengine hatuna vyama,msifikiri kila mtu anaekuwa kinyume na Slaa basi ni CCM.kwendrraa kule.

Mumeo atakua anaishi kwa kutegemea ccm.. Maana ulichokiongea inaonesha kabisa una akili fupi za maccm.. Halafu ambao hawana vyama hawanaga upuuzi kama uliouandika hapa...!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Safi sana mleta mada kama Dr. Slaa amechuja ni furaa na faida kwa ccm maana mtashinda uchaguzi kwa kishindo. Hakuna haja ya kumwogopa mtu aliyechuja.
 
Watu wengine wapumbavu sana, fikilini kabla ya kusema, mnasahau Baba wa Taifa alivyokuwa mpaka anadead,halafu mnasahau hayo na kuwatukana wazee wanaomfuatia kifikra, acheni uhuni mnatuletea laana CCM.
soma signature yangu acha kupayuka jukwaani. hayo ni maneno ya dr slaa...je baba wa taifa anaweza kufuatiwa kifikra na mchovu wa namna hiyo?
 
ungetulia kwanza umalize siku zako. ona unavyojidhalilisha

Utazaa bure kabla ya wakati tulia kwanza ujifungue ndo uanze kelele.. Mtu una mimba lakini kutwa unaongea pumba kuwa makini na mtoto wako tumboni atakua hivyo hivyo kama wewe mama yake.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mumeo atakua anaishi kwa kutegemea ccm.. Maana ulichokiongea inaonesha kabisa una akili fupi za maccm.. Halafu ambao hawana vyama hawanaga upuuzi kama uliouandika hapa...!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Nyie ndo mnawaabudu watu,kwa sababu tu yupo upinzani au CCM,wengine hatuangalii yupo CCM,UKAWA ,au chama kingine chochote kile,kama kachemcha kachemsha tu na tutamsema bila kuangalia yupo wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom