DR.SLAA RAIS WA WAFUASI WA SIASA ZA MAJI
TAKA::::,.Dr Slaa HAFAI kuwa Raisi wa Tanzania
2015-2020
Dr Slaa ni Miongoni mwa Wanasiasa Wakongwe
na
Machachali Hapa Nchini.Harakati zake Zimeanza
Zamani, Tangu Akiwa Mtumishi wa Kanisa
Katoliki
(Padre) na Baadae Akafukuzwa Baada ya
Kuonyesha Utovu wa Nidhamu, Inasemekana
Haka Kamchezo Katamu Kalikuwa Chachu ya
yeye
Kufukuzwa Upadre.
Nimekuwa Nikijiuliza,
1. Hivi Huyu Dr Slaa Alianza Kuwa na Ndoto za
Kuwa Raisi wa Nchi Hii Tangu Lini??Maana mimi
Nafahamu Alikuwa Padre, sasa Mapadre na Uraisi
katika nchi hii wapi na wapi??Maana Mapadre
Wameapa Kuwa Watumishi wa Mungu hadi Kufa
kwao
..Sasa Huyu Dr Slaa Kabla ya Kuwa Padre
Alikula Kiapo Kipi??
Na Kama aliapa kuwa Mtumishi wa Mungu
(Padre) na Akashindwa
Anawezaje Kunishawishi
Ataweza Kuwa Raisi wa Nchi Hii kwa Kipindi cha
Miaka Mitano??
Lakini Pia Nimekuwa Nikijiuliza
2. Hivi ni Kipi Alichokifanya Dr Slaa Hata
awashawishi Watanzania Hususani Vijana
Kumpigia Kura ili awe Raisi wa Nchi Hii??Maana
Mimi Namfahamu Dr Slaa Kama Mlopokaji,Mtu
Mwenye Jaziba, Mvunja Ndoa za Watu,Ndumila
Kuwili Maana Upadre anautaka,Uccm anautaka
na Uchadema anautaka Pia
..Msela Maana Hadi
leo Hajaoa Licha ya Kuwa na Miaka 72.
3. Jamani Hivi ni kweli Tumekosa Watanzania
Wazalendo,wenye Historia nzuri ,Wenye Elimu na
Wachapa Kazi,Wasio na Kashfa za Ubakaji Hadi
Tumchague Dr Slaa kuwa Raisi wa Nchi Hii??
Ikumbukwe ya Kwamba,Dr Slaa Alilazimishwa
Kugombea Uraisi kwa Ticket ya Chadema mwaka
2010,yeye Hakutaka, Alikuwa Anajua Kabisa
Hawezi Kushinda ndio Maana Aliilazimisha
Chadema Kuingia MKATABA wa Kumlipa
Mshahara
na Posho kama Wabunge endapo Atashindwa
kwenye Kinyanganyiro Hicho.
4. Hebu Tujiuliize Pia..Hivi Historia ya Dr Slaa
Inatushawishi Kumchagua Kuwa Raisi wa Nchi
Hii??Maana mimi naona Hostoria yake
Imepindapinda kama Zigzag Line
.
Kiukweli Kabisa,Dr Slaa ni Mroho wa
Madaraka,Mbinafsi kama Freeman Mbowe
ndio
maana Alivyokatwa jina lake katika kura za maoni
ndani ya CCM mwaka 1995 Akaamua Kukimbilia
Chadema.Huwezi Kusema Dr Slaa Anaipenda
Chadema Maana Bila Kukatwa jina,asingekuwa
Chadema Hivi Leo
.
UFUPISHO
Dr Slaa Hafai Kuwa Raisi wa Nchi Hii kwa Sababu
1. Sio Muaminifu, Haaminiki Sio kwenye Masuala
ya Kiutawala tu bali hadi kwa Vimada wake..
2. MUHAFIDHINA, Akichaguliwa, Hata Kubali
Kutoka Madarakani,atakuwa Kinganganizi kama
Museven
3. Hana Uwazi, Ameshindwa Kusimamia
Usomwaji
wa Taarifa ya Mapato na Matumizi ndani ya
Chadema
4. Mgonjwa, Anaumwa Kisukari na
Pressure
.Taifa Linaweza Kula Hasara za
Kufanya
Uchaguzi Mwingine Katikati ya 2015-2020 Maana
Afya ya Mtu Huyu ni kama Mvua za Dodoma
..
Vijana Tutafakari kwa Kina
.Nani Anatufaa Lakini
Tusipoteze Muda Kumfikiria Dr Slaa
Viva Vijana Vivaaaaa
..