Dr. Slaa amechuja sana kisiasa

Dr. Slaa amechuja sana kisiasa

Status
Not open for further replies.
Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.

UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.

My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.

Nae Ifweero Amechuja Sana Na Mno KIAKILI.
 
Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.

UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.

My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.

Tumia akili kabla ya kuja hapa mtumwa kilema wee! Hauna hata haya kijana wa leo kuleta mawazo finyu kama hii hapa jukwaani!
Huku tunakoelekea mafisadi hamna lenu majinga mafisadi mashetani nyie! Kwendraaaaaaaaaaaa!!!!
 
Mimi sio shabiki wa vyama vya siasa, ni mshabiki wa watu makini wenye kujali maslahi ya taifa....kipindi kidogo cha nyuma cdm ilikuwa moto wa kuotea mbali sababu ya umakini uliokuwepo,, mikutano ilikuwa na hamasa kubwa na vilikuwa vinashushwa vitu vya maana ndani ya mikutano ya cdm....mfano tu hii escrow saga ati mpaka sasa hivi hatuwajui wanufaika kupitia bank ya stanbic, kipindi kile tayari tumeshayajua kupitia dr slaa.Kipindi hiko Zitto kashika kanda ya magharibi, Mbowe anapasua kaskazini wakati dr slaa shaaaa mwembe yanga ndani ya daresalama.Ilikuwa ni combination ya hataree tofauti na hawa vijana wa sasa hivi mara kaeni kwenye tv muone nitakachofanya bunge likianza, kubali ukatae speed imepungua.

Hapana siyo kama speed imepungua ispokuwa wapinzani wao wamekuwa wengi siyo ndani ya chama wala nje yachama hali kadhalika na wahusika wa huo ufisadi pia kwa hiyo mpaka kuja kulipua bomu lazima wawe wamepata ushahidi wa kutosha.

HATA MIMI SIYO SHAHABIKI WA VYAMA.
 
Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.

UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.

My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.
Tufanye Dr. Slaa kweli apumzike!
Swali:
Hata Kama yeye mwenyewe angependa kupumzika atakula nini kwa kuwa hakuwa mtumishi ambaye kwamba atapata pension. sio mfanya biashara kwamba ataendeleza biashara zake.

Mkewe bado anahitaji soap soap. Watoto ndio wengine wako Chekechea...

Kwa mazingira hayo utapumzika je hata Kama wataka?

Kwa yeye vita ya ufisadi ni muhimu akifikiria wako watazeeka vizuri wakati yeye mhhhhh
 
Hizo hospitali za rufaa kila mkoa zinatoa huduma inayostahili kwa wagonjwa na dawa zipo? au ni hospitali za rufaa kwa majina tu?? na hizo shule za kata zina walimu wa kutosha na vitendea kazi muhimu vipo vya kutosha? usiwe unasifu vitu vingine bila kuangalia ubora wa hivyo vitu.
 
Watu wengine sijui wanafikiria nini? Hii rangi ya Kijani inatapa taabu sana kwa kipindi hiki, Tangu muanze isakama Chadema naona hakiporoki kinapaa tu....
 
Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.

UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.

My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.

kila mwana CCM angependa sana kuona dr Slaa anadhoofika kisiasa, hakuna mwana CCM anayeweza eti kumuonea huruma..

the fact kwamba wewe mwana CCM unakuja hapa kupiga kelele za "huruma" kwa ajili ya dr Slaa inathibitisha ni kwa kiasi gani mzee huyu mwenye hekma kubwa na uzalendo usio mfano anavyowakosesha usingizi CCM!

kwa taarifa yenu ni kwamba dr Slaa hautaki hata huo urais ("urahisi" from CCM's perspective) ambao huko CCM mnataka hata kuuana kuupata!!
 
usiwasemee watanzania. jisemee wewe kuwa unamhitaji. maneno ambayo nadhani angepaswa kuyasema josephine
ni kama wewe unayesema dr Slaa amechuja ni nani kakwambia!!? watanzania twamhitaji Dr Slaa, ndiye anayeweza kutuvusha kwenye hili tope tulimozama kama watanzania.
 
Nyie ndo mnawaabudu watu,kwa sababu tu yupo upinzani au CCM,wengine hatuangalii yupo CCM,UKAWA ,au chama kingine chochote kile,kama kachemcha kachemsha tu na tutamsema bila kuangalia yupo wapi?

Hakuna hatia kuwa CCM ,ila cna uhakika na wizi wa wake za watu,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom