wabungenjaa
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,782
- 337
thread yako!!! inaonyesha ww ndie mwenye hali ngumu kimaisha.
Haina uhusiano na kuchuja kwa slaa
thread yako!!! inaonyesha ww ndie mwenye hali ngumu kimaisha.
Wewe ni msemaji wa watz kuanzia lini? Sema wewe ndio unamhitaji.ni kama wewe unayesema dr Slaa amechuja ni nani kakwambia!!? watanzania twamhitaji Dr Slaa, ndiye anayeweza kutuvusha kwenye hili tope tulimozama kama watanzania.
Ifweero na wewe fa.ra tu, mbona sentensi zako unatumia watanzania kuwa hawamtaki? kwa nini usiseme wewe mwenyewe, then unamshambulia Petro? Hovyo sana ndo maana tunasema nyani haoni kund.ule.huna authority ya kuwasemea watanzania...wewe ni dagaa baharini
Mantisa kwetu ni uch.i wa mzeeIfweero na wewe fa.ra tu, mbona sentensi zako unatumia watanzania kuwa hawamtaki? kwa nini usiseme wewe mwenyewe, then unamshambulia Petro? Hovyo sana ndo maana tunasema nyani haoni kund.ule.
acha kutumia kichwa kufugia tu nyweleHaka kaifweero tutakabatiza afi. .......rwe, maana analeta mada za kimgando,
SI USEME HATA ESROW INAFILIS NCHI, maliasili kama GESI ya mtwara KULIKO upuuzi unaousema
Pole sana mleta mada, ivi unajisikiaaje ukiandika, Dr. Ambayo ni really? Dr. Slaa hauwezi kumlinganisha na mambumbumbu yaliyojaa Ccm, yule ndie mbadala na anayeweza kuisemea Tanzania kwa kile kilichoitwa maisha bora, ya mfuko wa cement kuuzwa 20,0000 wakati material ni yet. Ewe ifwero pole sana inawezekana ni mmoja wa mambumbumbu wa nchi hii tumia ubongo kuwaza kilaza wewe
Mada hii ni chungu sana ufipaHana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.
UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.
My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.
Matusi ya nini mchumia tumbo wewe? Slaa amechuja sana
Haina uhusiano na kuchuja kwa slaa
Nadhani maccm ndiyo yamechuja,ufisadi na rushwa imeyafanya yachokwe kila mahali. Ushahidi ni chaguzi za serikali za mitaa na namna wanaolazimisha kuapishwa wanavyoshughurikiwa na raia wazalendo.
Dr. Slaa--- Ndiye Rais ajaye Tanzania!!.....yupi unayeweza kumlinganisha na DR.SLAA HAPA TZ,WEWE UNAONA RAHISI KUTAMKA LIST OF SHAME.......NDIO WALE WALE MAFISADI WANAOENDELEA KUUMIZA NCHI HII