Dr. Slaa amechuja sana kisiasa

Dr. Slaa amechuja sana kisiasa

Status
Not open for further replies.
Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.

UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.

My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.

Abaki na majukumu ya familia gani???? Huyo ni msela hana majukumu wala hana mke ana girlfriend tu
 
Mrema na fahami dovutwa wamepanda umaarufu Dr slaa kashuka umaarufu!hahaha Lumumba buku7 mnalaana sio bure
 
Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.

UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.

My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.
Sure mkuu angalia hata makamanda wake walivyo kwa sasa mfano huyu morogoro choka mbaya na bangi juu.
 
ni moja kati ya post za kipumbavu ambazo nimeziona mwaka huu kama kachuja mlete yule bibi yako alie shamba asimame badala yake
 
Kikwete ndo kachoka had alifikia kusema bora mda wake uishe akachunge mbuz kojijin kwao, huyo ni Rais dhaifu wa nchi hii,
Tuliza mshono ww ccm hamna hoja zaid ya hz pumba haujui ccm hd sasa wanapasuana kuhusu urahis had magaid na wazee wa kulia bungen wanataka kuongoza Nchi hii
Kaen pemben wajinga nyie miaka 52 ya uhuru hakuna cha maana mlichokifanya haliyakuwa nchi yetu ni tajir kwl kwl,
Safar hii hamwez kuwadanganya watanzania vitenge na khanga za ccm pamoja ma kofia. Nyambafu ww uliyeza utu wako unafikra unamawazo mgando
 
barabara bora za lami nchi nzima. hospitali za rufaa kila mkoa. shule za sekondari kila kata. chezea mkweree weyee

Kenge kwl ww unapelekwa tu, ccm miaka 52 ndo hv tu, tulipaswa kuwepo hapa mara tano ya hv tunavyonavyo,
Kila kitu ni misaada hata hv vitu unavyotaja ni misaada tu na unajua den la Taifa limeongozeka? Kila mtanzania anadaiwa zaid ya Tshs:600000, ccm ilikuwa kipind cha Nyerere bhana si nyie hamna hata jengo mlijenga yote yalitaifishwa tu kenge kwl ww hujitambui.
 
Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.

UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.

My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.

Uliye chuja ni wewe na serikali yako ya majambazi wa rasilimali za watanzania
 
usiwasemee watanzania. jisemee wewe kuwa unamhitaji. maneno ambayo nadhani angepaswa kuyasema josephine

Watanzania wanamuhitaji dr Slaa dada acha kuhangaika,au unamuonea wivu Josephine?sema usikike binti.
 
Dr.W.Slaa jitokeze hadharani uwambie watanzania ni lini utaoa? Kesi yako imefikia wapi?

Mwende masasi mkamchukue mtoto wa mfalme anadhalilika kwa kunywa pombe za kienyeji (nipa) wakati mwenzake rizi moko anatanua hapo dar
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom